Wanaume tuache ulalamishi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Yaani inashangaza, kuhuzunisha, kustaajabisha na kuchekesha.
Ukiingia kwenye jukwaa hili kila siku wanaume wanalalamika juu ya wanawake wao, je ni sisi tu tunaotendwa?
Au hizi habari si za kweli ila zinaletwa kuchangamsha jamvi?
Au wanawake wana vifua vyenye uwezo wa kuhimili machungu na kutunza siri zaidi ya sisi wanaume?
 
Huwajui wanawake wewe. hapa wanaona noma coz kuna sisi wenye 'mguu wa tatu', vizia wakiwa wenyewe kwa wenyewe ndo utajua stori gani huwa wanazipiga/kuanzia zile za matatizo yao ya ndani mpaka 'live' events za 6x6.

Kuna siku ilibidi nikohoe ili wajue kuwa ndani kuna mtu ili waache hizo stori zao maana walikuwa wanavuka mipaka na marital privacy zao.............acha kabisa wewe kamanda!
 
hebu ngoja ni DUKUE (hack) PM zao
 
wanaume wanapenda kulalamika, kujiosha na kujisafisha wakati wao ndio chanzo cha matatizo katika mahusiano iwe ndani au nje ya ndoa. wametufanya wanawake tumekuwa sugu na tukijaribu kufanya wanayoyafanya wao, wanapiga makelele ile mbaya.
 
Wanawake wana kifua chakustahmili mengi,mwanamme hawezi au kama mwanamme angeweza kuhimili siri moja ktk maisha yake basi angekua chizi,mwanamke aaaaaaaaaaaa anapokea tu matamu,machungu, kusuguliwa roho na mengine mengi....Hongereni wanawake wenzangu...
 
Mshukurun sana mungu nyie wanaume,Na muache kulalamika kupita kiasi,
Km mngepewa mioyo km ya kwetu nadhani hata majanga ya vifo yangepungua duniani,
Hii ukijaribu kufikiria hata hao mababu walikuwa wanawanyanyasa sn wabibi lkn uvumilivu na busara zao leo na sie tumezaliwa,
Kwa maana hiyo wanawake tunayo mengi mnatuumiza ila tumeumbiwa uvumilivu na busara,
Ndio maana tuna uwezo wa kubeba hata siri zenu nzito msizoweza hata kuwaambia wazazi wenu.
 
Back
Top Bottom