Kwani mkeo akipendeza kuna shida gani?

lolyz

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
339
199
Kwa wanaume mli-ooa(married) hivi kwanini baadhi yenu mkeo akipendeza mnanuna? (naongelea age mate kati ya 29-35..huko kwingine sijafikia (time will tell)
wakati mkiwa wote labda mmekaa mahali akipita mwanadada kapendeza zake tuseme kiumri hawapishani sana na mkeo mnajiiba- iba kuwatizama,haya mimi name nikipigilia vivazi vyangu na kaleswig kangu+ mekup zangu we unanuna..kwanini lakini au ndio eti mwingine anapenda wadada wanaovaa min sket ila mkewe anampelekea midabwada kisa mke wa mtu ?mi ukileta sivai ng'o au ntapeleka kwa fundi atengenezee vizuri - Kwani nani kasema kuwa mkeo hatopendeza na hizo min sket ? hebu ushauri wenu jamani
 
Kwani ananuna kwakuwa umependeza? Jaribu kutokupendeza uone kama pia atanuna.
 
We kikahe kila siku wanasema ukiolewa usijiachie asa nisipopendeza itakuwaje lol..aa
 
ishu ni kupendeza au kuvaa vivaz vya utata,maana ni vitu viwili tofauti,nijibu ntarejea
 
l JNRL Kupendeza nikisema min sket sio zile za juu ya magoti aa ile inayoishia magotini sasa unakuta unaletewa sket ukienda hujulikana wala ukirudi haieleweki hivo ..
 
Kwa wanaume mli-ooa(married) hivi kwanini baadhi yenu mkeo akipendeza mnanuna? (naongelea age mate kati ya 29-35..huko kwingine sijafikia (time will tell)
wakati mkiwa wote labda mmekaa mahali akipita mwanadada kapendeza zake tuseme kiumri hawapishani sana na mkeo mnajiiba- iba kuwatizama,haya mimi name nikipigilia vivazi vyangu na kaleswig kangu+ mekup zangu we unanuna..kwanini lakini au ndio eti mwingine anapenda wadada wanaovaa min sket ila mkewe anampelekea midabwada kisa mke wa mtu ?mi ukileta sivai ng'o au ntapeleka kwa fundi atengenezee vizuri - Kwani nani kasema kuwa mkeo hatopendeza na hizo min sket ? hebu ushauri wenu jamani
mhh mi napata wasiwasi kama hata ulifanya utafiti juu ya hili...maana mbona mimi tunapotoka tu na wife huwa ni lazima mimi nilidhike kwanza kama kapendeza ili hata tunapokuwa tunatembea zetu barabarani natembea kifua mbele...binafsi yangu napenda sana mke wangu apendeze muda wote...nyumbani au tunapotoka na waife mwenyewe analijua hilo...na nanajitahidi sana kupendeza mpaka mwenyewe nakubali...so hata mimi nashangaa kama wapo kweli wanaonuna wake zao wakipendeza...!!
 
wanaogopa,kama ambavyo wao hutamani vya watu kuvifuatilia kuvipata na kuvitafuna,ndivyo ambavyo wao uhofia vyao kufanyiwa hivyo.
 
Sorry sijaeleza vizuri (mkitoka pamoja hapo kweli mnakuwa na amani akipendeza) ila nasemea ile kila mtu anaenda na safari zake kama ofisini/biashara na mnakutana tena jioni
 
daughter hata wewe umeona ee afadhali umenielewa maana wanajifanya hawaelewi
 
Lolyz nafikiri mwanaume wa namna hiyo ni wale wenye wivu na wake zao na ambao hawawaamini wake zao. Nafikri kuwa mawazo yao ni kuwa mke wake akipendeza atawavutia wanaume wengine kitu ambacho kitapelekea wanaume kumfuata/kumtafuta. Binafsi ninapenda mke wangu apendeze na kweli anatoka mpaka mwenyewe namuaminia kwa hilo. Mara nyingi sana watu watamuangalia sana na wengine wake kwa waume wanamuambia UMEPENDEZA. Akifika nyumbani ananiambia jinsi watu wanavyomsema including wanaume, kwangu sioni shida kwani ni haki yake kumpendeza na mtu akimpa feedback kuwa amependeza kwangu sioni shida.
 
katika kupendeza tunatofautiana mitizamo. binafsi yangu mke wangu huwa sipendi avae mavazi yanayomchora mwili wake hata kama yakiwa mzuri mfano vimini, suruali, vibues vinavyoonesha matiti yamejipanga kama mapapai, n.k. kwahiyo lazima nihakikishe yupo vizuri ndio tutoke. ikitokea labda akakaidi makubaliano yetu na kuvaa nguo za hovyohovyo hata nikimkuta barabarani wala siwezi msemesha na hata akinisemesha sitamjibu na mengine yatafuata home
 
Sorry sijaeleza vizuri (mkitoka pamoja hapo kweli mnakuwa na amani akipendeza) ila nasemea ile kila mtu anaenda na safari zake kama ofisini/biashara na mnakutana tena jioni
eeehh hata hivyo...mi mke wangu ni pamba kwa kwenda mbele..(ila za heshima) hata kama ni min skirt lakini ambazo zinampa heshima mbele za watu (bahati nzuri mke wangu ni mstaarabu na anajali sana heshima yake) na akipiga pamba kama anaenda saluni au town hivi mi mwenyewe namtamani...!!
 
Lolyz nafikiri mwanaume wa namna hiyo ni wale wenye wivu na wake zao na ambao hawawaamini wake zao. Nafikri kuwa mawazo yao ni kuwa mke wake akipendeza atawavutia wanaume wengine kitu ambacho kitapelekea wanaume kumfuata/kumtafuta. Binafsi ninapenda mke wangu apendeze na kweli anatoka mpaka mwenyewe namuaminia kwa hilo. Mara nyingi sana watu watamuangalia sana na wengine wake kwa waume wanamuambia UMEPENDEZA. Akifika nyumbani ananiambia jinsi watu wanavyomsema including wanaume, kwangu sioni shida kwani ni haki yake kumpendeza na mtu akimpa
feedback kuwa amependeza kwangu sioni shida.

Manyovu hongera sana wa hilo basi mkeo ana bahati keep it up
 
katika kupendeza tunatofautiana mitizamo. binafsi yangu mke wangu huwa sipendi avae mavazi yanayomchora mwili wake hata kama yakiwa mzuri mfano vimini, suruali, vibues vinavyoonesha matiti yamejipanga kama mapapai, n.k. kwahiyo lazima nihakikishe yupo vizuri ndio tutoke. ikitokea labda akakaidi makubaliano yetu na kuvaa nguo za hovyohovyo hata nikimkuta barabarani wala siwezi msemesha na hata akinisemesha sitamjibu na mengine yatafuata home

Haa haaaa Malova ..nimeipenda ila ukimnyamazia haiondoi mahusiano yenu na kwakuwa mnaheshimiana mm sina tatizo na mavazi ya heshima lakini ya kupendeza..wako wale ambao hataki mkewe apendeze ..au ndio hawako MMU labda basi wote mmestarabika ila wako mitaani huko walionifanya niseme leo
 
eeehh hata hivyo...mi mke wangu ni pamba kwa kwenda mbele..(ila za heshima) hata kama ni min skirt lakini ambazo zinampa heshima mbele za watu (bahati nzuri mke wangu ni mstaarabu na anajali sana heshima yake) na akipiga pamba kama anaenda saluni au town hivi mi mwenyewe namtamani...!!

mmhhh big up kaka ..na hongera kwa mke mzuri anayejiheshimu ..haa haaa ila umenichekesha nimefurahi
 
Back
Top Bottom