"kama hivi ndivyo, basi wabongo wengi wabakaji"

nimie

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
525
104
Nikiwa safarini hivi majuzi nimesikia kupitia BBC kuwa mkenya mmoja aishiye London Uingereza amehukumiwa kwa kumbaka mkewe. Kisa, alifanya naye mapenzi bila ridhaa ya huyo mkewe. Nikawambia wenzangu ktk hali ya kulijadili suala hili. Ndipo mmoja akasema kama mambo yenyewe ndio hivyo, basi wabongo wengi wanandoa huwa wanawabaka wake zao mara kibao!
 
haikuwa ridhaa tu kulikuwa na mgogoro mwingine kati ya wawili hao. Hawakuwa katika good terms kaka
 
Wenye nguvu wanajitahidi kila mahali kuhakikisha hakuna maelewano duniani ili iwe rahisi kwa kutawala. Walianza katika ngazi ya taifa kwa taifa, sasa wamegeukia katika familia kwa kupitia kitu kinachoitwa Jinsia na Haki za Binadamu. Sasa hivi hata watoto hawaguswi, mashuleni walimu wameisha tupilia mbali viboko. Mnawaonaje wanafunzi kwenye hizo dala dala? Kabla ya ujio wa wakoloni Babu zetu hawakufahamu hilo neno la Jinsia lakini familia zilikuwa na maadili na zilidumu, tofauiti na sasa ambapo kuna ndo za miezi mitatu. Kazi ya Utandawazi hiyo, mtu utambakaje mke wako. Hapo lazima kulikuwa na kutokuelewana.
 
Hadi za siku ya kufunga tu, yaani wakimaliza tu kufunga ndoa wanapeana talaka usiku wa siku hiyo tu.
 
Kina dada mtusaidie hapo kidogo
1. kufanya mapenzi ndani ya ndoa bila ridhaa hii imekaaje?
2. Ina tofauti na ile (ya "bora amalize" nijipumzikie zangu?)
3. Na kama ali-opt hiyo ya pili na baadaye akashtaki hapo sheria ikoje sasa

Naomba kuwasilisha mada
 
wengine hizo ndo wanapenda sana...! yani unakuta alivyonuna ni balaa lakini ukimshika kidogo tu anajisogeza
 
hao lazima maelewano yao hayakuwa mazuri, sio kubaka huko.
 
hao lazima maelewano yao hayakuwa mazuri, sio kubaka huko.
Jamaa ndo kesha hukumiwa kuwa mkosa! Ishu ya maelewano yao kutokuwa si salama haihusu kabisa hapo!
 
Jamaa ndo kesha hukumiwa kuwa mkosa! Ishu ya maelewano yao kutokuwa si salama haihusu kabisa hapo!

inahusu sana,kama hamna maelewano mazuri...kipi kinachokupelekea utake kufanya ngono nae kama sio uselfish huo?
 
inahusu sana,kama hamna maelewano mazuri...kipi kinachokupelekea utake kufanya ngono nae kama sio uselfish huo?
Neema, hivi wewe na hakimu nani anajua zaidi sheria! hawakujali hilo la ugonvi wa home. sheria imefuata mkondo na mkosaji kapatikana. halafu ninavyoelewa alifanya naye mapenzi na si ngono! ni mkewe huyo. Neno ngono lina ukakasi kiasi kwa wanandoa bana.
 
Back
Top Bottom