Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
In her book, Dr. Holly Hein explores infidelity and teaches how to cope with its aftermath. By understanding the motivations behind the affair, betrayed spouses can learn to heal and rebuild...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
habari zenu ndugu zangu
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wapendwa wana JF..katika kuchagua mwenzi kila mtu ana criterias zake.Lakini inatakiwa ikumbukwe kwamba si lazima utakutana na ambae yupo totally perfect..hakuna mwanadamu kamili..ila baadhi yetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa safarini hivi majuzi nimesikia kupitia BBC kuwa mkenya mmoja aishiye London Uingereza amehukumiwa kwa kumbaka mkewe. Kisa, alifanya naye mapenzi bila ridhaa ya huyo mkewe. Nikawambia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi kikwete kalaaniwa ama lah'jamani huyu babu angalia shingoni si atatufia kwenye matafrija jamani?? Hivi dar ameshindwa kuongoza kijana wapendwa loh??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana JF? hivi karbuni nmekua nikifuatilia sana hili jukwaa na kusoma threads zenye mafunzo kwa baadhi ya watu {nami nikiwa mmoja wao} ila nipo hapa nikiomba msaada kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya mawasiliano yanayotendeka kwenye simu na internet asilimia nyingi mawasiliano ya mda mrefu yanayo fanyika ni ya jinsia mbili tofauti(msichana na mvulana)
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama wapenzi wangekuwa wanaoyeshana CV kabla ya kuona ingekuwaje? 1. Je wangefoji CV? 2. Je wangefoji uhalisia wa maisha yao? 3. Je ndoa zingekuwa zinadumu au zungekuwa zinavunjika kwa kasi...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
jamani hivi unajua mara nyingi ninajiuliza hili swali nashindwa kuelewa ni kwanini wakati watu wanakua wanatokeana wanakua wanaishi life ambalo ni artificial.....! kwanini wasiwe wanaishi maisha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa wanaume mli-ooa(married) hivi kwanini baadhi yenu mkeo akipendeza mnanuna? (naongelea age mate kati ya 29-35..huko kwingine sijafikia (time will tell) wakati mkiwa wote labda mmekaa mahali...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Katika kipindi cha miaka 12 ktk ndoa yangu nimegundua tatizo kubwa sana la mke wangu ambalo kwa ufupi ni chanzo kikubwa cha migogoro ktk ndoa yetu. Nimegundua kuwa wife wangu ni vigumu ku keep...
12 Reactions
279 Replies
26K Views
Looking for a relationship .. Only girls aged between 18 - 30. Your race is not important. PS: Please only PMs .. ___________________________ Get Rich or Die Tryin'
0 Reactions
12 Replies
1K Views
...most parents worst nightmare; ni pale wazazi wa binti wanapotarifiwa mtoto wao ameconceive, ni mjamzito...au hata, ameathirika kwa UKIMWI. ...achilia mbali matayarisho ya kiroho, ni mambo gani...
14 Reactions
163 Replies
17K Views
Unamfundisha mwanafunzi anakuambia sijaelewa, unarudia mara mbili zaidi bado hajaelewa, lakini baadae unagundua mwanafunzi huyu ni wa kike na wewe mwalimu ni mwanaume ufanyeje?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
50 yrs hiyo baba kumbuka makosa yaliokufanya uache na linganisha yaliokufanya uache na wapi unakoelekea happy friday usiniulize leo ijumaa kesho atuko makazini kupata pc shida
0 Reactions
0 Replies
1K Views
One day you’re going to want that specific girl who wasn't perfect but tried to be for you, The girl who wanted nothing more than to love you; The girl who sees your flaws but values them...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Mke wangu mwezi uliopita aliota ndoto. Ndoto yenyewe ni hii:- eti alikuwa ameniudhi, kwa hasira nikamwambia utanikoma. Nikaondoka kwa hasira, niliporudi nikarudi na nyoka mkubwa sana aina ya...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Nadhani itakua wiki moja imepita sasa tangu niulize kwenye thread fulani kama inawezekana mtu akapata adui hapa JF kwasababu binafsi bado sijaona uwezekano wa kumchukia mtu ambae sijui yukoje in...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Back
Top Bottom