Hofu ya Ukimwi na Tatizo la upungufu wa Nguvu za Kiume!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa vinakufanya muda mwingi ujisikie mgonjwa wakati kiuhalisia sio mgonjwa.

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni kubwa sana kwa sasa na limekuwa likiongelewa sana kuanzia miaka ya 80. Hiki ni kipindi ndich ugonjwa wa ukimwi ulipoanza 'kuvuta kasi' ktk jamii yetu ya kitanzania na duniani kwa ujumla. Binafsi nadhani kuna sababu nyingine ambazo hazijafanyiwa utafiti ambazo nazo zinaweza kuwa zinachangia hili tatizo.

Hebu fikiria, ktk elimu dunia kijana anaambiwa ukimwi hauna tiba na kwamba condom sio salama 100% kama kinga ya ukimwi. Ukienda kanisani/msikitini unaambiwa usitumie 'condom' kwa kuwa ni dhambi. Hapo tayari mtu anakuwa na 'moral and mental conflicts'. Mbaya zaidi, mtu pengine ktk kufanya hiyo ngono anakuwa anamsaliti mkewe-hiyo ni conflict nyingine. Hebu tujiulize, hatuoni mtu anapokuwa ktk mazingira haya, hvi hakuna uwezekano wa 'sex performance' yake kupungua? Hivi mtu ambaye ameshamsaliti mkewe anarudi nyumbani na mawazo yale ya kidini na kidunia-kwamba condom is not 100% preventive to AIDS na kwamba ametenda kinyume na mapenzi ya Mungu-kumbuka lile tangazo la mwanaume anayemuangalia kwa huzuni mkewe aliyekuwa anampigia pasi nguo zake. Hivi ktk mazingira kama yale, hata kwa mkeo unaweza kweli ukaenda raound zaidi ya moja kwa jinsi ulivyo na msongo wa mawazo kichwani?

Nadhani kuna haja ya watafiti wakaliangalia hili. Najua kina Dr. Riwa, hii maneno kama haijafanyika ni vyema mkaiangalia. Kuna haja ya kufanya kitu kama hakijafanyika. Binafsi naona hili linaweza likawa tatizo lingine la 'sick building syndrome' linalochangia upungufu wa nguvu za kiume. Twende mbali zaidi ya kutaja vyakula na life style zetu kama vyanzo pekee vya tatizo ili.

Mjadala uko wazi kwa 'critics'!
 
Mkuu umenigusa kabisa ,
binafsi hili jambo limenitesa sana karibu miaka 10 sasa, japo hapo mwaka 2008, nilipima na kujipoza kwa muda lakini badae mpaka sasa nilichafua zaidi rekodi ila kwa sasa namuomba mola anisaidie niwe salama kwani nimeazimia kuacha zinaa,
back to the topic hilo jambo la hofu kwa upande wangu ni kweli na mara nyingi hunifanya nipunguze kujituma,pia nimejikuta hata nikivunja uhusiano mara kadhaa kwa kuohofia kujenga kibanda then hatari ikanikuta simnajua kuwa the more an event occur the high for the possibilty of an event occurs
 
Ni kweli.binafsi nina rafiki yangu aliniambia siku 1 alikubaliana na demu, unaambiwa walipoingia tu kitandani jamaa akaanza kuwaza juu ya ukimwi, unaambiwa jogoo alilegea hadi dk 90 mechi haikupigwa, japo condom alikua nazo. So it sounds true sex has to do with psychology
 
Hebu fikiria, ktk elimu dunia kijana anaambiwa ukimwi hauna tiba na kwamba condom sio salama 100% kama kinga ya ukimwi. Ukienda kanisani/msikitini unaambiwa usitumie 'condom' kwa kuwa ni dhambi. Hapo tayari mtu anakuwa na 'moral and mental conflicts'. Mbaya zaidi, mtu pengine ktk kufanya hiyo ngono anakuwa anamsaliti mkewe-hiyo ni conflict nyingine. Hebu tujiulize, hatuoni mtu anapokuwa ktk mazingira haya, hvi hakuna uwezekano wa 'sex performance' yake kupungua? Hivi mtu ambaye ameshamsaliti mkewe anarudi nyumbani na mawazo yale ya kidini na kidunia-kwamba condom is not 100% preventive to AIDS na kwamba ametenda kinyume na mapenzi ya Mungu-kumbuka lile tangazo la mwanaume anayemuangalia kwa huzuni mkewe aliyekuwa anampigia pasi nguo zake. Hivi ktk mazingira kama yale, hata kwa mkeo unaweza kweli ukaenda raound zaidi ya moja kwa jinsi ulivyo na msongo wa mawazo kichwani?

'moral and mental conflicts'....................hiuzi zinatoka wapi wakati mhusika tayari kesha aamua kujenga uadui na Mwenyezi mungu kwa kufanya ngono?
 
Yaaaaaap! Hii habari ndo ilinifanya nikaacha kusaliti ndoa yangu kwani mara ya mwisho nilishindwa kabisa kumtoboa " bonge" la demu pale uhalisia wa ukicheche wake ulipozidi haja ya mwili. Big up.
 
Yaaaaaap! Hii habari ndo ilinifanya nikaacha kusaliti ndoa yangu kwani mara ya mwisho nilishindwa kabisa kumtoboa " bonge" la demu pale uhalisia wa ukicheche wake ulipozidi haja ya mwili. Big up.

hongera sana kaka.
 
kiukweli serikali yangu haina hizo vitu zenu za sikuhizi mnaita "moral and mental conflicts", nakula kitu roho inapenda na kila mtu nampa dozi kwa nafasi yake ingawa nyumba kubwa inapata nafasi ya upendeleo. Pole sana Kande Kavu kwa kushindwa kunyanyua kuwika, kwa upande mwingine haukumtendea haki huyo binti ingawa nae anastahili lawama kwa kushindwa kumchokoza Jogoo
 
Back
Top Bottom