kwanini kwenye mawasiliano asilimia nyingi mda mwingi wa maongezi ni ya jinsia tofauti?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya mawasiliano yanayotendeka kwenye simu na internet asilimia nyingi mawasiliano ya mda mrefu yanayo fanyika ni ya jinsia mbili tofauti(msichana na mvulana)
 
I don't think so.
Mi mbona hua naongea na wadada mpaka nasahau muda.
 
.....basi kwangu imekuwa tofauti, siwezi kuongea muda mrefu na mwanaume, ila mashost zangu naongea nao kwemye simu muda mwingi.
 
duh, wanawake huongea muda mrefu zaidi, huu utafiti wako ulikuwa located wapi?
Au was a wondering and tangatangaring utafiti?
 
Maongezi marefu ya jinsia moja kisayansi yanaitwa umbeya, tetea hoja yako kabla wazembe hawajafanya name calling

Umbea sio maongezi ya jinsia moja bali ni maongezi kati ya jinsia yoyote yanayohusu kuponda na kusema watu wengine.
 
Umbea sio maongezi ya jinsia moja bali ni maongezi kati ya jinsia yoyote yanayohusu kuponda na kusema watu wengine.
Umeidefine kitanzania au kishekoslovakia. Mimi nimetoa definishen kibongo na inakubalika kabisa na JF rules
 
Wanawake wana desturi ya kusema uongo!Ona humu wanavyodanganya!
 
Back
Top Bottom