Tangu nifunge ndoa na mke wangu, yeye amekuwa akisisitiza kuwa na house girl, kila anayekuja anakuwa na vituko vya jabu, na wa mwisho ambaye tumemfukuza jana alikuwa eti ana majini tukisali na...
NI siku nyingine tena tunakutana katika safu yetu bora ambayo inazungumzia mambo ya mapenzi. Inapanua uelewa na kujenga kujiamini zaidi katika uwanja wa mapenzi. Wengi wamenufaika kupitia hapa...
Habari za masiku wana-MMU?
Katika hali ya maisha ya kutafuta mpenzi nilikutana na msichana mmoja na tukakubaliana kufunga ndoa ila kinachonitatiza katika mazungumzo yetu kuna siku alidai kuwa...
Namtafuta.
sijuwi nitamuona wapi na vipi, nikiwa msichana wa miaka 16 tulikutana kariakoo ZANZIBAR kwenye viwanja vya sikukuu, siku ya pili tulikutana hapo hapo na kuelekea alikokuwa akiishi...
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama...
Jamani nisaidieni wapi hapa Bongo naweza kupata hii kitu, cause kuna demu mmoja huwa mara zote nikimmega hana mzuka kabisa, mimi kila nikikukukuruka yeye huwa katulia tu tuli!
huenda nikimpa hii...
za jumapili ndugu zangu! naomba tusaidiane mawazo katika hili,ninapenda sana kukaa peke yangu ninapokuwa home, yani napenda personal space yangu,kwa sababu kazini nakutana na watu wengi, napenda...
Sex according to Pastor Khathide (Ugandan)
A lot of people don't associate sex with God - they associate it with Satan and darkness, as if sex weren't holy... The bible is explicit when it...
Utakuta mtu kakuona siku 2 au 3 mkisalimiana na bf wake au muwe wake bs kesho yake anakuja kukuattach et una nn na bf wangu we ni nan kwake! yan inaboa afu kisa anakuona uko competent zaid yake bs...
Kwanza ifahamike mapema ninapozungumza dalili za asiyekupenda kwa dhati, sina maana nachonganisha watu katika ndoa zao, ila kuwatanabahisha kaka zangu kugutuka katika maisha yao ya kila siku...
the advantages are endless, here are a few ones:
- no lack of intimate activity (if one has a headache, just go to another one)
- a great way to keep women on their toes (if they know that you are...
Naitwa brian,asili ya kikenya!namtafuta mwali wa asili ya kibongo,awe na umri wa miaka kati ya 17-22.awe ni wa kufundwa unyago.aweze kuzungumza kiingereza na hasa kiswahili.asiwe na mtoto.tunaweza...
Kuna wakati inatokea ukawa na mpenzi iwe mpenzi wako wa kike ama wa kiume.
Kama ilivyo kawaida mapenzi kati ya mtu na mtu mara kadhaa hua yanakuja kwa misimu au awamu (seasonal).
Nikimaanisha...
I just ended a six-month relationship because the person whom I believed to be the man of my dreams turned out to be a cheater. At this point in my life, I have given up all hope in men.
It's...
NIMEKUWA nikilieleza hili mara kwa mara kwamba mapenzi yanapoangaliwa kila upande, unakuja kupata jibu kwamba hakuna uhusiano uliokamilika. Muhimu kwako ni kumkubali mwenzi wako kama alivyo na...
Nina gf ila shida ni kwamba mara nyingi huwa nikipanga appointment nae huwa analeta excuse, na pia mara nyingine nikimuandikia sms au kumpigia cm huwa anaweza asipokee cm au asijibu sms,sasa hiyo...
Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa na wana mpango endelevu na wenza wao
Wadada wengi wanashindwa kutambua wapi wanapendwa na wapi wanadanganywa...
leo itabidi niwaseme kupitia nafasi hii,jamani kuna baadhi ya wanawake wanatakiwa wajitambua thamani ya utu wao na miili yao,nasema hayo kutokana na research yangu isiyo rasmi.Kuna akina dada...
Katika pita pita yangu angani, nimekutana na hii habari,
uchunguzi mpya uliofanywa na kiwada kimoja cha CONDOM nchini UINGEREZA umeonyesha kwamba, wanawake wa NIGERIA, wanaongoza kwa kutokua...
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.