Namtafuta mwali (binti) wa Kuoa

Iris875

New Member
Dec 17, 2011
1
0
Naitwa brian,asili ya kikenya!namtafuta mwali wa asili ya kibongo,awe na umri wa miaka kati ya 17-22.awe ni wa kufundwa unyago.aweze kuzungumza kiingereza na hasa kiswahili.asiwe na mtoto.tunaweza wasiliana kupitia barua pepe au nambari za rununu:briodawg@gmail.com simu:+254717356760,naomba uniachie na za kwako.
 
Hii ni name calling, mwali ni jina la member hapa JF. Naambatanisha na ushahidi wa picha.

user-online.png
Mwali

Yesterday 23:57
#285
JF Senior Expert Member Array
 
we una uwezo gani mkuu,mana mwali wa siku hizi bila huduma za kijamii kukamilika hataridhika,mwaga cv nitakutafutia
 
Hii ni name calling, mwali ni jina la member hapa JF. Naambatanisha na ushahidi wa picha.
Huyu katoka wapi tena???
Haya Iris 875, Ndio mimi sasa, na sijui ulijuaje ila niko kama ulivo sema hapo (and I speak some english too, nafundishwa pole pole na deskmate wangu Klorokwini)... Ningekushahuri uifanyie mada yako editing au unambie unanitafutia nini.
 
ina mana hujaelewa kweli mada?
 
Nenda bagamoyo hiiiii ndo miezi yenyewe watoto wa kike wanachezwa kichizi....wahi sasa uwapate angali elimu yao ya mkoleni haijapata mafundi zaidi. Kila kheri mkenya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom