ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Dec 16, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia je yaliyomo yamo? Nmegundua yanayo ongelewa na vitendo wanavyo fanya ni vitu viwili tofauti. Mtu unamwambia kata kiuno anakujibu "nimechoka", ukimwambia fanya hivi anakujibu "staki". Nani aliwambieni mapenzi yanataka ubabe? Mnayo yaongea humu muwe mnayaapply mnapokuwa na wapenzi wenu. ni hayo tu. Mia
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Umewafanyia majaribio au utafiti wangapi?. Wahusika watakuja kujibu.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unatuma ujumbe gani hapa? kua umeanza uhusiano na dada wetu wa JF?
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe mia
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Haya blackberi umejibiwa thread yako.
  Mbuta.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  maskini umechagua koroma la wanawake wa jf
  anyway, mbona kasema hata wewe huutumii ushauri wa wanamme wa jf?
  Eti ulikonsetrati na kupiga 18 wakati yeye hata kamoja bado

  he he he, lako hilo usipoangalia watakurowesha
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tunaomba ushuhuda.. Wewe kama lawyer mzoefu aliyosema mzee wa mia yana ukweli?
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Labda inawezekana!Mpaka mtu kasema ana lake!Sasa mtu unashughulika mwenzio anakuambia "fanya fasta nataka nikachangie kwenye siredi yangu JF" unafikiri utajisikiaje?
   
 9. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanapigaga porojo tu hawajui hata moja,yaani mapenzi yao wanafanyia mdomoni tu.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lol.... Eiyer!!!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Humu karibu kila mtu ni mtaalam, mtakatifu, na kadhalika.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nitarudi hapa,....
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  SL ndo inakuwaga hivyo!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu wengine mna matatizo kweli...
   
 15. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuopoa kimwana ndani ya JF....ingawa inaelekea huyo dada kaku-disappoint sana. Otherwise sampling yako haikujitosheleza ndo maana ukakutana na kitu ambacho hakipo real....usikute hata wewe mwenyewe ulimboa. Cha msingi jipange uopoe kingine....eeeeeeeh!
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  miaka 50 ya uhuru....bado tunasonga!
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe Hapa ukilopokwa mchumba anakimbia, acha niuchune tu, hakuna cha u lawyer wala ujaji. hili salaba atalibeba mzee wa mia peke yake.
   
 18. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo sample yako moja uliyoiokoteza gizani ndio umetujumuisha wote??? Hebu njoo kona nikuonyeshe,halafu urudi hapa usawazishe usemi wako.
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Uzuri wenu mnajua kubana waume zenu hadi mnawaanzishia mathread ya kufa mtu. Kulinda mabwana wasiibiwe hilo nawapa heko lakini mengine tumwachie Mungu. Ntakuja usijali ndugu. Mia
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  nilichukua strong and mature sample. Kama huna hata maujanja maneno nlikuwa sidili na wewe. Mia
   
Loading...