Wapenzi wenye kujituma sana ndiyo wasababishao machungu makali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenzi wenye kujituma sana ndiyo wasababishao machungu makali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Judgement, Dec 17, 2011.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati inatokea ukawa na mpenzi iwe mpenzi wako wa kike ama wa kiume.
  Kama ilivyo kawaida mapenzi kati ya mtu na mtu mara kadhaa hua yanakuja kwa misimu au awamu (seasonal).
  Nikimaanisha mnaweza kutongozana leo na muda mchache ujao mkaanza kupeana miili yenu kama ilivyo ada.
  Mwanzoni mnapoanza mapenzi hua si rahisi nyote wawili akatokea anaejua penzi husika litadumu kwa muda upi, na pale inapofikia mkatafautiana ofcoz ndiyo inapokua hatima ya penzi lenu, endapo hapajatokea wa kuthubutu kuanzisha dialogue opology baina yenu.
  Aidha kwa kua nyote biologicaly maungo yenu ya yapo kamili na haiyumkiniki au haiwezekani ukawa ndiyo mwisho wenu wa kuingia kwenye mapenzi na wapenzi wapya.
  After steap aside each other inatokea kila mmoja kati yenu ana mwenza mpya hivyo matukio haya ya kuwa na wapenzi tofautitofauti hutokea mara kadhaa zinapotokea sababu za kuachana, hivyo inawezekana ikatokea ukajikuta kwa mwaka uwe She/He ume'Run/deal na wapenzi kati ya wawili au wa3-4 inategeme na upepo utakavyokua.
  Kwa maana hiyo maadamu umeshatembea na She/He zaidi ya mmoja ni dhahiri wapenzi hao hawawezi kuwa sawa katika utundu wa yale mambo flani, kuna watakaokua mahiri sana, mahari wa wastani, na wazembewazembe wasiojituma vilivyo at the lovepitch.
  Na hapa hasa ndiyo nilipopalenga mfano nijitolee mie mwenyewe kuna kipindi nilikua na Gf ambae alikua yu'mahiri si kawaida, m'bunifu mtundu inshort alikua mtaaluma kupita sana kunako germ!, nikiwa bado nikonae mtaaluma huyu katika mahusiano mazuri wavimbamacho (wambea) kuna siku wakanitonya kua kuna Mshua ananipigia Mtaaluma wangu, nikachukua hatua ku'followup as soon nikathibitisha kwamba habari zile ni za kweli.
  Hakika nilipata maumivu makali ambayo siwezi nikayaandika na nikajiridhisha kwamba nitakavyo yaeleza ndivyo yalivyokua.
  Sio siri kubwa lililoniumiza ni yale Mataaluma namna ambavyo nae Mshua anapewa nikihisi huenda kama si kiasi vile navyopewa mie au zaidi, na mwisho wangu na Mtaaluma ukahitimia hapo.
  Kwa nyakati tofauti nikaja nikapata mwingine ambae huyu alikua si mahiri ndiyo katika wale wazembewazembe kwenye germ, huyu nilikua nae kwa muda na nilimvumilia kua nae penzini pamoja na ugoigoi wake.
  Kilichonipata kwa huyu hakina tofauti na Mtaaluma, lakini cha kushangaza huyu Mzembe nilifanikiwa kumfumania live anajitoma guest na jamaa na sikuumia nafsi kivile nilivyoumia kwa Mtaaluma. Nina hakika kwa mfano huu ukiugeuza visse-vessa kwa wenzetu wanawake hautotafautina, story itakua ni hiihii.
  Kama yupo atakaenipinga hili hapa Mkekani namkaribisha aje na vigezo toshelevu kwamba wapi si sawa.
  Naomba kutoa hoja.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi unajua GERM ni vijidudu vinavyoambukiza magonjwa?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  ulimpenda mtaaluma, huyu mzembe hukumfeel kivile,ulikuwa nae kujaza nafasi ndo maana haikukuuma sana.
   
 4. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  maujanja +++ nikilio cha wengi pole sana ila kumbuka mwanamke ni kama mchicha kadri utakavyo umwagilia maji kwa wingi ndivyo utakavyo kuwa kwa kasi so hata mzembe unaweza ku mu update na maisha yakaenda.
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  GERM=Anything that provides inspiration for later work
   
 6. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,349
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkali kwenye show au anayekufanya uweze kuenjoy hupelekea upendo kuwepo au kuongezeka sana so anapokutenda mara nyingi huwa inauma
   
 7. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,349
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  teh teh!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ohhhh that's what he meant ehhh?
  SORRY then.
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  jamani kuna mtu amenionea mama Tully leo?
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hujui leo w/end?
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  am too old here

  @bishanga, kumbe umetoroka kuja huku, rudi home haraka
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa hata kidogo. Unaweza kusummarize kwa mistari isiyozidi miwili? Ahsante.
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks Lizzy ! Due amended, eventhough spell errores it's a minor uncertainty involving matter! Also am already declared recently from the one of my thread that am still yet trainer of Kingereza so far am repeat to indicate for any Jf Membars to correct me any time from my mistake i make! Else don't forget that word "GERM" have a meanin' result more than one.
  1. Germ- desease where by producing organism (microscopic reveal)
  2. Germ - seed
   
 14. M

  Mussa2000 Senior Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  GERM =kijidudu,GERMS=vijidudu
   
Loading...