Wanawake wa Kinigeria waongoza kwa kutokuwa waaminifu

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,313
7,728
Katika pita pita yangu angani, nimekutana na hii habari,

uchunguzi mpya uliofanywa na kiwada kimoja cha CONDOM nchini UINGEREZA umeonyesha kwamba, wanawake wa NIGERIA, wanaongoza kwa kutokua waaminifu kwenye mapenzi DUNIANI.


gazeti la DAILY NEWS naija, limeandika kwamba Uchunguzi huo ulifanywa na kiwanda cha DUREX, ambapo wanaoshika nafasi ya pili ni THAILANDA, huku wanawake wa MALAYSIA wakishika nafasi ya tatu, ya nne ni URUSI, namba5 waHONG KONG.

Hongereni dada zetu wa kibongo kwa kutokuwa top 5
 
sasa condom maker atajuaje kuwa wingi wa condom ndio ukubwa wa kualiti?
 
Hujaweza kujibu swali nililokuuliza kwahiyo nakupotezea. Wengine wakilala wengine wanaamka.
Aliesema wagonjwa huwa wanalala mchana pekee ni nani?
Can u Justify wanaolala Mchana wote ni wagonjwa?. Ndo mana sikukujibu swali lako
 
Back
Top Bottom