Msaada tutani ninamchumba wa kikinga

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama nk)na tamaduni zingine,ili nijipange kabisa,ila huyo bint ni mkinga(wazazi wake wamelowea mbeya) mim mwanaume ni YAHO,
 
muulize huyo binti
atakueleza vizuri zaidi

Nimemuuliza mda mrefu,bado ajaniambia,huwa ananiambia bado sijamuuliza baba,coz baba yake ndo mkinga,mama yake n mnyakyusa,mwezi wa pili nataka kupereka mahari
 
Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)
 
Ila huyu kwao wameelimika,wako sita wote graduate,baba yao alikua mtumish,amestaafu,mama bado n mtumishi,wote wako wanapiga mzigo,vp hapo iman zitkuwepo
 
Bwa-mdogo hayo aliyokueleza KINGKONG yapo yanasemwa, na mie nnayo ya ziada lakini nafunika kombe! Kama waoa oa usidodosedodose customs of that tribe!
 
Akhsante bro,ila nilitaka kujua tamadun,au hata mahari zao,ni ng'ombe,anayejua tafadhar
 
Kama ni brideprice haitofika 1.5m coz ana nyuzi(degree) hayo ya ng'ombe usiogope hata ukitajiwa mia wewe utacovert kwa Tsh let's useme kila m1 me ntalipa buku 10 then total 1m na mazagazaga mengine kilo 5,mkaja wa babu,bibi,kitambaa,hela ya barua ndani inakua hata na paluu(pauni aka buku 20) kusoma hakumuondolei mtu ushirikina kama hauamini ikifika kipindi cha uchaguzi angalia ma dr dr na ma prof wanavyoenda kwa waganga
 
Nimemuuliza mda mrefu,bado ajaniambia,huwa ananiambia bado sijamuuliza baba,coz baba yake ndo mkinga,mama yake n mnyakyusa,mwezi wa pili nataka kupereka mahari

unataka peleka mahari kwa suprise? Si usubiri hadi uambiwe au kama una haraka waulize wakwe.
 
Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)

Poleee eti sisi wakinga washirikina hakuna kitu kama hiyooo, tunajua kutafuta pesa vevee no ushirikina...!!
 
Akhsante bro,ila nilitaka kujua tamadun,au hata mahari zao,ni ng'ombe,anayejua tafadhar

Hayo mambo ya mahari unayotaka kuyajua sio muhimu kama hilo uambiwalo mkuu,
Tena sio kwamba utapoteza mke, bali wewe ndio utakaepotea.
Yaani hapo anawekeza tu, baada ya kupata mali unaondolowa duniani.
Nawaonea huruma sana watoto wenu watarajiwa, kwani ni yatima wa baba watarajiwa vilevile!!
 
Tafuta Mkinga (Mtu wa makamo) akupe kiundani mila na desturi zao zinasemaje kuhusu hili suala. Kama utashindwa kumpata mkinga basi tafuta watani wa wakinga, (wahehe, wangoni, wanyakyusa) pia wanaweza kujua mila na desturi za wakinga.

Ila ukweli ni kwamba 85% ya wakinga wana amini sana ushirikina, lakini hili si la kuangalia wala kukuvunja moyo. Kila kabila kuna mambo kama haya siku hizi (mpaka wachaga nao ni wachawi).

Huyo mchumba ni "F" aliyekuwa mzumbe hivi karibuni?.
 
Kama ni brideprice haitofika 1.5m coz ana nyuzi(degree) hayo ya ng'ombe usiogope hata ukitajiwa mia wewe utacovert kwa Tsh let's useme kila m1 me ntalipa buku 10 then total 1m na mazagazaga mengine kilo 5,mkaja wa babu,bibi,kitambaa,hela ya barua ndani inakua hata na paluu(pauni aka buku 20) kusoma hakumuondolei mtu ushirikina kama hauamini ikifika kipindi cha uchaguzi angalia ma dr dr na ma prof wanavyoenda kwa waganga

Kweli mkuu,shule haiondoi ushirikina wa mtu,ila nashukuru kwa kuniashauri
 
Tafuta Mkinga (Mtu wa makamo) akupe kiundani mila na desturi zao zinasemaje kuhusu hili suala. Kama utashindwa kumpata mkinga basi tafuta watani wa wakinga, (wahehe, wangoni, wanyakyusa) pia wanaweza kujua mila na desturi za wakinga.

Ila ukweli ni kwamba 85% ya wakinga wana amini sana ushirikina, lakini hili si la kuangalia wala kukuvunja moyo. Kila kabila kuna mambo kama haya siku hizi (mpaka wachaga nao ni wachawi).

Huyo mchumba ni "F" aliyekuwa mzumbe hivi karibuni?.

Hapana cyo "F"huyu amemaliza udsm2010
 
Kama ukoo wao unaendesha biashara yoyote ya maana jiandae kugeuzwa msukule, nenda tu hata Iringa town peleleza historia za wafanyabiashara wakubwa 'ki Iringa' utaskia huyu ka du na binti yake, yule ana chumba ki1 hakifunguliwi nyumbani kwake, mara huyu dada akiolewa lazma mume wake afe ktk mazingira tatanishi,...fuatilia ila ni watu walio tayari kufanya lolote ili wafanikiwe kibiashara.
 
Ila huyu kwao wameelimika,wako sita wote graduate,baba yao alikua mtumish,amestaafu,mama bado n mtumishi,wote wako wanapiga mzigo,vp hapo iman zitkuwepo

utatwangwa hela tu! Wajua thamani ya mahari inategemea mwanamke mwenyewe pia..kama ni std vii leaver thamani inapungua kulinganisha na graduate.. Hata yeye anaulizwagwa,mchumba yuko vizuri kiasi gani? So inategemea..
 
Poleee eti sisi wakinga washirikina hakuna kitu kama hiyooo, tunajua kutafuta pesa vevee no ushirikina...!!

mpe jamaa dodoso za mahari za kwenu achakujitetea kwa pointless.weka wazi mahari zinakuwa je? Kama utasema auju nitakuona aujui mila zenu so hata kama utasema amtumii ushirikina sintokuamini.
 
Ushirikina inategemea na malezi,mazingira anayokulia mtu. Hata wewe ingawa si Mkinga,ukienda huko ukazaa watoto,usishangae wakawa na vitabia vya mazingira hayo[not only ushirikina]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom