Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu. Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
KAMA WAZURI SIO UONGO UMEWAZIDI NAMI NAAPA KUKUPA THAMANI YA PENZI MAPENZI SIO PESA ILA NI UKARIMU BUSARA NA IMANI NIKIKUPATA,MILELE NITAFURAHI,NITAIMBA NAKUPENDA HADI MWISHO WA UHAI NASHINDWA...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekuwa nasikia kila kona watu wakiongelea kichinichini kuhusu siri za familia ama ukoo ambazo huwezi kuzijua hadi ukioa ama ukiolewa huko, ama mtu wa karibu sana akwambie. Je ni kweli kuwa kila...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo...
1 Reactions
26 Replies
48K Views
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka. Ombi kwa wadau wa mmu: Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa...
5 Reactions
758 Replies
37K Views
Chukulia kuwa wewe ni miongoni mwa wanawake 'waliotendwa' tena kwa sana tu na zaidi ya mwanaume mmoja. Sasa una hamu sana ya kumpata mwanaume mwenye sifa na matendo uyapendayo na yakupayo raha...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Mapenzi ya dhati hawana. Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie loh sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje? Sio...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Mrembo nimemfuatilia kwa muda mrefu sana hatimaye kaamua kunipa tunda, cha kushangaza baada ya kula tunda mrembo kaniuliza "una mpango gani na mimi? Nami nikamuuliza unataka mpango gani toka...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
asalaaam. Jamani wana jf hivi mwenzi/mume/mke asiporudi au akachelewa saana zaidi ya saa sita usiku nyumbani kwa sababu ya hii mvua inayoendelea. Utamlaumu na kumshutumu? Swali la ufahamu
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona! Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
mafuriko haya yanatokana na miundo mbinu na mipangilio mibovu ifanywayo na serikari iliyoko madarakani.Kupitia ukurasa huu nawasihi wananchi wenye mapenzi mema tusaidiane ili kuyanusuru maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeota niko na my ex gal porini,mara simba huyoo,ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Naitw dick-masomoni dodoma.Natafuta msichana atakayekuwa tayari kwa uchumba!awe na tabia njema na mcha Mungu!pia awe na sifa zifuatazo 1.umri 22-26 2.awe na elimu f4 na kuendelea 3.mkristo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii (kama sijakosea kwa uzi wake wa kuwanoa wake zetu aliouweka hapa siku kadhaa...
8 Reactions
32 Replies
35K Views
I met my husband 3 years ago; he was introduced to me by a mutual friend. We started distance dating for 6 months as he was far away from me, although I had not met him before my instincts told me...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini unaamua kuingia kwenye maisha ya mtu kama unajua fika kuwa hauko tayari kukaa naye? Nawasilisha
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...! Leo hii, kuna ndg kani-PM...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
uchunguzi nilioufanya hivi karibuni, nimegundua kuwa baadhi ya wanaume walioa hawapendi kutoka outing na wake zao na badala yake hupenda kutoka na rafiki zao wengine wa kike au marafiki wa kawaida...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom