Anadai huwa anachelewa kushika mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anadai huwa anachelewa kushika mimba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Baba Erick, Dec 18, 2011.

 1. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za masiku wana-MMU?
  Katika hali ya maisha ya kutafuta mpenzi nilikutana na msichana mmoja na tukakubaliana kufunga ndoa ila kinachonitatiza katika mazungumzo yetu kuna siku alidai kuwa yeye anachelewa kushika mimba ile hali anadai hajawahi kuzaa wala kuolewa. Jamani nisaidieni inawezekana mtu kujitambua anachelewa kushika mimba bila kubeba mimba au ndiyo nanunulia mbuzi kwenye gunia? Naombeni mawazo yenu tafadhali
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahaha shtuka!
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  haahahahahaha.....anachelewa labda alikuwa anajaribu wakati yupo na hao wengine lol
  toka nduki tuu ndugu yangu
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mchunguze vizuri kuna kitu anakuficha na hapo karopoka....! Au labda kaenda kavu na jamaa yake wa zamani mara nyingi hadi zile siku za danger lakini hakushika mimba...#Mchunguze vizuri...
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kuna weza kukawa haya:

  1. Ana matatizo ya kizazi, na katika kutibiwa alishawahi tamkiwa na Gynacologist kua atakua na matatizo ya kuchelewa kushika mimba.
  2. Ni very reckless wakati wa kufanya tendo/ama huwa na majamaa hawajali akipata mimba ama Lah; hivo kumsababishia mimba za mara kwa mara - hivo katoa.
  3. Kisha wahi zaa.... tena hata zaidi ya mara moja.... Ila kaweza siri, ila sababu akili yake ndogo hajui lipi la kuongea kuficha siri na lipi la kutoa.
  4. Hazai.... Na kisha gungua you are the type of guy wa bila Ndo... Hivo hio ni as a way ya kukuambia kua if we do it usishangae sishiki mimba.
  5. Labda tu alikosa ya kuongea....
   
 6. z

  zovyonzoziginzi New Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dalili ya mvua ni mawingu na Nyota njema huonekana asubuhi,huyo mama kasha kupa majibu kwamba hapo mimba hakuna,yawezekana alikuwa bingwa wa kutoa mimba na badae wakamghoa kizazi,sasa anajaribu kukuweka katika mazingila ya kumuani,don't accept this....kama mapenzi yako kwake yako juu,bac peleka Hospitali ukamcheki,Maake watoto wakike wamekuwa wasanii sana katika suala la mahusiano,ukisha gonga Ndoa tu ndo unaanza kuuona mziki wake ndani.
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  hahahahaa mambo mengine yanatufanya tujenge imagery kwakweli! Bize tu unapelekwa kupimwa eti aone kama unaweza kushika mimba, with just a boyfriend??? Dah.....
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Angalia mfano huu alafu jibu utalipata.
  Gaspar alikubaliana na mpenzi wake wakafanye mapenzi guest, wakachukua chumba, wakiwa chumbani Gaspar akawa anamwita muhudumu amuoneshe choo muhudumu akaonekana kuchelewa mara mwanamke (Amina) akamwambie hebu twende nikupeleke chooni ilikua hivi :-
  Amina : Twende swity vyoo viko kuhu nyuma.
  Gaspar : We Amina umevijuaje vyoo vilipo umeshawahi kulala hapa?
  Amina : Aaata sijawahi kuna siku nilikua napita njia kufika maeneo haya nikawa nimebanwa nikaomba msaada.
  Waliporudi chumbani Gaspar akawa anataka Malta anywe.
  Gaspar : Aisey mpenzi ngoja nitoke nikatafute duka karibu ninue Malta najua na wewe mpenzi wa Malta.
  Amina : Wala usihangaike Malta zinauzwa humuhumu ndani. Piga picha hiyo wakati Gaspar hakuwahi kuingia hiyo guest hapo kabla. Na Amina lile la kujua choo alilitolea maelezo la vinywaji je? Jibu unalo ! Huwezi kumuuliza Shekhe utamu wa Nyama ya Ngurue akakupa majibu sahihi.
   
 9. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka umenimaliza ila nimekuelewa.
   
 10. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks mumy you are a really gt!
   
 11. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani Moyo nilijaribu kumwuliza maswali ila akawa haeleweki
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mambo mengi yanakuwa na maswali mengi kushinda majibu.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  @AshaDii
  niimeipenda namba 5

  @babaerick
  ongea naye vizuri, kuna kitu anajaribu kukuambia
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kama moja ya malengo yako ya kuoa ni kupata mtoto, hapo sio penyewe kaka! Ila kama ni kwa ajili ya temporary 'human consumption' unaweza ukaendelea naye. Ila la kudai huchelewa kushika mimba ili hali bado hajaolewa, unaweza ukajikuta unafakamia maugonjwa hapo!
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Baba Erick, hapa tunaweza kutoa mawazo mengi. Pengine kati ya 100 moja likawa sahihi, au yote, au hata moja.
  Lakini kwa kuwa una maelewao mema naye, nafikiri hukuishia tu kusikiliza aliyokuambia bila kuuliza kulikoni. Ikiwa bado,
  basi mwulize usikilize atasema nini. Baadaye pima atayokuambia, weka pamoja na baadhi ya maoni ya WanaJF na
  uchanganye na yako. Na kama unampenda kweli fanya uintelijensia kidogo kwa wanaomfahamu lakini kwa hili pia
  usiwe subjective. Kusanya angalau samples 5 toka pande tafauti. Ukipata 3/5 inawezekana kuwa huo ndio ukweli
  ingawa si lazima.

  Tusimmhukumu huyu Dada kabla ya kujua ukweli.
   
 16. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks lol! yaani ni haeleweki lol nikimwuliza ananiambia alizaliwa na hilo tatizo eti yaani haeleweki
   
 17. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hahahhaaa..umeona eeeh! akitoka hapo akakutangazie vizuri....Otherwise kipimo cha kuoa au kuishi na mwanamke kinaenda sambamba na uwezo wa mwanamke huyo kuzaa?? wanaume wabaya nyinyi..
   
 18. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kumbe hata wewe umeshaona kuwa haeleweki..then usipoteze muda na nguvu zako..#Chapa lapa tu.
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  HEART ! Tutake Razi (radhi) kabla jua halijazama sie TUWAZAENI kisha tuwe wabaya ? Kabla ya kuwazaa tunahangaika kutafuta pesa za mahari kwa MBINDE tukawaoa mama zenu tena some times panatokea competetion wanaume watatu kumfatilia mchumba mmoja hatimae mmoja anaoa tunaanza maisha na mama zenu nyumba za kupanga nyie tunawalea tunawasomesha leo mmekua unachukua simu/labtop ambayo siajabu nimekununulia mie Baba yako kisha wasema wanaume (means Akinababa) WABAYA ? Ndiyo shukurani yenu hiyo ?
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  @judgement
  umeongea kwa uchungu?
   
Loading...