Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Scandal as 12th wife of Swaziland king is caught with married lover Swaziland Justice Minsiter Ndumiso Mamba (left) is in jail on the orders of King Mswati III after allegedly having an affair...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Heshima zenu wanajamvi wa mmu, bila shaka mnakumbuka post yangu ya nyuma kuhusu kuolewa nashukuru sana wengi wenu mlinitia moyo mkanifariji na mkanipa mawazo kemkem ya kusonga mbele, nilikua...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
15 Reactions
226 Replies
14K Views
1. Touch her waist. 2. Actually talk to her. 3. Share secrets with her. 4. Give her your jacket. 5. Kiss her slowly. Are you remembering this? 6. Hug her. 7. Hold her. 8. Laugh with her...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninahitaji kua na mwenza sasa sifa: Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno miguu ya bia mweupe wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha 1 dini yoyote sio freemason tu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasifu wangu rangi... mweusi uzito....70kg urefu...164cm kazi.... bado sijapata elimu.... ya chuo umri 30yrs wasifu wa gf ninayemtaka ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya aamini...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
nina rafiki yangu yuko chuo kimoja maarufu hapo tz ana mvulana wake na yy pia ni mwanafunzi ila chuo ikoiko anampenda sana mvulana wake ila hamuamini sana kwasababu ya vitendo vya huyo bwana...
2 Reactions
95 Replies
7K Views
This song goes out to all JF women and all others who have been heartbroken I want you to understand that we men are proud of you and we are doing our best to show you how much we love, cherish...
6 Reactions
150 Replies
9K Views
Man Arrested For Injecting Cement Into Women’s Butts Oneal Ron Morris (photos courtesy Miami Gardens PD) Florida police have arrested a man for allegedly injecting cement into the rear-ends of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wana jf nimekua nikitatizwa na suala hili, Kijana wakiume akitoke kumchumbia Binti wa kike mala nyingi nakawaida 2livyozoe bint wakike huwa anawekwa ndani kabla ya ndoa ili kufunzwa jinsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake wote ni above 25 au hata above 30 lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi..... na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari wana JF Mimi ni kijana mwenzenu Kwa wale ndugu zangu vijana wenzangu tuliooa miaka ya karibuni kama mimi nawaomba tuwe wavumilivu tukaze tu hivyo hivyo ili hizi ndoa zidumu maana...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Hii tabia inanikera sana, unakuta ni mkaka au mwanaume mnafahamiana pengine mnaishi eneo moja au manafanya kazi sehemu moja au ofisi zenu ziko jirani au vyovyote vile, mnazoeana na mnakuwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu Binti kaniomba msaada, Naomba wana JF mumsaidie: Huyu jamaa anaishi Oman ana mke na watoto wawili. anataka kunioa niwe mkewe wa pili (Mitala) na nikaishi naye huko. Baba kaniambia niamue...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Anabwana kazaa naye. Amelazimisha kuhamia kwa bwana, anakaa chumba cha wageni. Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba. Bado...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Heshima wakuu Nimeishi miaka saba seminarini tangu nilipoanza pre-form one hadi nilipomaliza form six mwaka juzi. Tangu nimemaliza na kurudi rasmi mtaani nimekuwa na wakati mgumu wa kuzoeana na...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamani nimekumbuka kisa kimoja cha rafiki yangu wa karibu sana aliniambia amepata mchumba kwenye mtandao na mchumba mwenyewe ni mbongo anaeishi marekani basi wakawa hawajuani lakini mapenzi yao...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hellow JF members,I hope this'll be helpefull on building our relationship
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANA JF NA WATANZANIA KWA UJUMLA TUJIJENGEE MAZINGIRA YA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAJANE KAMA DINI ZETU ZINAVOSEMA....EMBU GONGA HAPA NA UFANYE MABADILIKO KWENYE MAISHA YA HAWA WATOTO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
niaje wadau wakuu humu ndani,naombaa nisiwachoshee...cse siwalipi,amnilipi!!:focus::lol:kunakundi kubwaa la vijanaa,hasaa ARUSHA,moshii,pwanii ya tangaa,wanakulaa mirungii sanaaa,kwautafiti wangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom