Wanawake muwe mnajiamini jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake muwe mnajiamini jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by obsesd, Dec 18, 2011.

 1. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Utakuta mtu kakuona siku 2 au 3 mkisalimiana na bf wake au muwe wake bs kesho yake anakuja kukuattach et una nn na bf wangu we ni nan kwake! yan inaboa afu kisa anakuona uko competent zaid yake bs ful kujiami. jiamin mama kama ipo ipo tu, utakuwa unawaattach wangap ss dunian hapa mwishowe ni kama unajidharirisha tu. huyo m2 wako hakuish kisawan ana marafik wa primaly, o level, a level n vyuon. kwaio utakuwa m2 wa ivo had ln! kwel inaboa. jiamin mama kama ipo ipo tu. ni hayo tu.
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kama yamekukuta hivi.....kuwa tu muwazi,maana umeandika kwa hasira kweli yaani! Dah..
   
 3. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  pole sana kama yamekutokea ila ni kwel sio wanawake hata wanaume pia wapo hvyo hvyo kusema ukwel inaudh mana mtu anakukuta akakukunja mashat bila sababu yoyote kisa cha kijinga tuu kisa umemsalimia mtu wake na amekuchekea
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  alafu kweli usemayo yaani mtu anataka kuwa na wewe lakini maswali kibao kuhusu marafiki zako. sasa wewe unatakuwa nami basi kubali kuwa hawa ni marafiki.....ila napo ukaribu ukizidi itabidi ujielize. mie nina rule moja. hamna rafi yoyote yule kumkumbatia demu wangu.
  hayo mambo ya kizungu pelekeni huko huko....a platonic hug cn be the genesis of all evil
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  :lol::lol: Jealous Boi.....i lov that!
   
 6. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Et yamenikuta hahaha.... me sifunguk zaid bwana. ila inaboa bs.
   
 7. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  No hugs...... teh kwel una wivu ww!
   
 8. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni kutojiamin tu, mwisho wa siku utakunjana mashati na dunia nzima which z stupidity.*
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mwanadamu let alone mwanamke hachagui kuto jiamini.... Kuna circumstances ambazo huchangia mtu kutojiamini... Kikubwa ni kwamba we can not change the past ... But we can change the future... Wazazi wahakikishe wajenge kujiamini kwa watoto wao wa kike.
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Asha una viji'point vyenye mashiko, siku Jf wakianzisha Bunge la humu vote yangu umeilamba
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama unataka salam zimfikie mlengwa siumwambietuu unajiumauma nini? kama anakutia kichefuchefu mtapikie yaishe......
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sio tu wanaboa bali wakome, from no where tu unamvagaa mdada au mkaka wa watu eti kisa kakumbatiwa ama umemuona na mpenzi wako............ inahusu??? Mkataze mpenzi wako na sio kufakamia watu, unajichosha bure!!!
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna wanawake akiwa tu hajajaaliwa hips tu haijaamini. Kuna wengine wenye mitindi mikubwa utakuta lazima wanaifunikafunika mara mtandio au khanga inapitishwa kifuani ! Yanini yote unaficha nini ? Achia tindi ! Jiamini mfano mie big tindi ndiyo oooh ! Nimefika sisuuziki na vijitindi vidogovidogo.
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Siku wakianzisha bunge la masharobaro humu kura yangu umeilamba! Ooh...maaama, kwa melodysound ya kisharobaro! SOURCE: JUDGEMENT
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Asha una viji'point vyenye mashiko, siku Jf wakianzisha Bunge la humu vote yangu umeilamba
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Leo ntapona mie umenianzia uchokozi mchana! wakati mida yako naijua ! Ngoja kwanza nipeleke pwani yaani leo nakula ugali wa ule mtama mwekundu then full mboga zilizopikwa asilia Samvu, Tembere, Jani la boga nakuoneaje pole kama umekula wali.
   
 17. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwe.... mh una visa ww.
   
 18. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yan v big point, deal na mpenzi wako jaman unaniparamia mie unanijua! inaboa mh.
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kuna uhusiano kati ya kupenda na kumiliki. Mimi hayajawahi nikuta kwani sina urafiki na jinsia nyingine. Lol.

  Hivyo wanawake/wasichana wanaojiamini na wasiojiamini wote wananipenda kwani sijawahi kuwa threat to any of them. Naheshimu sana wanaume kwani najua they belong to someone else sitaki kuwa kiwingu; nna wangu yanini ning'ang'ane na wa wenzangu????
   
Loading...