Mimi baba, sipendi mambo ya Housegirl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi baba, sipendi mambo ya Housegirl

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ng`wanakidiku, Dec 18, 2011.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tangu nifunge ndoa na mke wangu, yeye amekuwa akisisitiza kuwa na house girl, kila anayekuja anakuwa na vituko vya jabu, na wa mwisho ambaye tumemfukuza jana alikuwa eti ana majini tukisali na kulitaja jina la yesu anasumbuka, eti akawa anaomba tusisali na tukienda church tumuache. Sasa mimi nimemueleza wife tutafute mtu wa kuja kwa kutwa ila yeye eti anasisitiza mpaka mtu wa kuishi naye, unajua namshangaa, na ndiyo utamaduni wa wanawake woote sijui, mambo eti housgirl, housegirl, wanawake mtakoma lini?
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ebwana wee mie nakubaliana nawe...pata yue wa kuja na kusepa zake ila sasa mwana akikisha vile vyombo vyakidhungu vipo ndani...washing mashine, rice cooker deep frier vacum cleaner ili mama asipate ugumu sana.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hutaki hausigelo
  afu usiku unataka pafomensi ile ile
  afu wewe inaonekana ni mna faza, kazi za home is a taboo
  unanishangaza.
  Hausi gelo muhimu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Una experience ya mahausi gelo?
  Wana watoto?
  Usalama wa nyumba yenu ukoje?
  Wote ni wafanyakazi?
  Na kama wote ni wafanyakazi mnarudi saa ngapi home?
  Ni watokaji?maana hii ni ligestyle haifi sikumoja

   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mmh.huyo mkeo nae ana lake jambo...aidha mvivu sana au anataka company kama ni mama wa nyumbani!
  Housegirl anatakiwa awepo nyumbani aki-act kama msaidizi tu..lakini wa mama wengine wanapenda kuwazoesha hadi majukumu yasiyowahusu mwishowe hata mume anapopata majaribu na kutembea nae wanakosa wakumlaumu.. Ila kama nyote ni wafanyazi wakuajiriwa itabidi uzingatie ombi lake. Na kama mna mtoto mdogo ndo kabisaaaa....
   
 6. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Great thinker! big up.
   
 7. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asanteni kwa ushauri
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi kama mimi sifagilii kabisa haya mambo ya kuwa na 'housegirl' na huwa sieleweki na wengi humu kwa nini nina msimamo huo.

  Kwanza sipendi kutumikisha wengine. Maadili yangu yananikataza kabisa. Naonaga hao wasaidizi wa ndani kama huwa hawatendewi kwa haki.

  Pili, yote anayofanya huyo 'housegirl' nami naweza kufanya. Napika, nasafisha, nafua nguo, napiga pasi....you name it, I do it.
  So why hire someone to do my house chores when I can do them myself they way I want to? I see no need to!

  Tatu, unaweza kuta mtu hana hata familia, labda yupo yeye na mumewe tu lakini eti ana 'housegirl' nyumbani. Really? What for? I guess maybe having one is a status symbol or something.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukiwa na mfanya kazi za ndani hata kama huna pesa sana na wewe unakua boss.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  And I hate bossing people around because I don't like being bossed around!

  Have you seen how some of these maids get treated? It's shameful!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hamna watoto mnaweza ishi bila.Yani hata huyo wa kuja anakua sio wa kila siku bali mara chache ndani ya wiki kuwasaidia kufanya usafi labda na kufua.Chakula na vyombo vyenu mnashughulikia wenyewe.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lakini Lizzy, kama hamna watoto maid wa nini tena? Hamuwezi kufanya usafi wenu wenyewe?

  Mimi naamini kabisa mnaweza. Ni kiasi cha kufanya time management nzuri tu na hakuna litakalowashinda.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I know,it's bad. But then what can we do?Wenyewe wana shida ya pesa na wengine wanahitaji watu wakuwapelekesha.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yep..you are right. I guess I can just speak for me. I just don't see myself hiring one.

  It's the 'can do spirit' in me. I believe I can do without one.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo maana angalau wafanye yule wa kuja na kuondoka.

  Ila bongo bwana, ukute mke alizoea kufanyiwa kila kitu kwao alafu ghafla anaishi na mtu ambae hata kupeleka viatu vyake chumbani hawezi/hataki(mwenyewe unajua mwanaume kusaidia kazi nyumbani kunavyopingwa) alafu wote ni waajiriwa. Mke atafanya nini na nini aache?
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  mna watoto? Mkeo anafanya kazi? Anatoka saa ngapi? Unamsaidia mkeo kazi za nyumbani? Anapata muda wa kupumzika? Kama mke anakazi mkitoka kwenda job au outings usalama wa nyumba yenu ukoje?
   
 17. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,168
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Lakini na mwanamume si anapafomu? Tena nguvu inayotumia kwa bao 1 ni sawa na kutembea km 7! Fikiria atakapo piga bao 3 na zaidi....
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  NN, hutaki hausi gelo sababu ya lifestyle ya huko

  chakula cha supamarket almost kimetayarishwa vizuri wewe ni kwenda kumalizia tu
  hapa siku nakula kuku nina kazi ya kumkimbiza, nimchinje, nimnyonyoe na kumpika

  huko mna maharage ya kopo, mie nina masaa 3 ya kusubiri maharage yaive kwenye mkaa

  huko mna dishwasher hapa nika kazi ya kusugua sufuria kwa mchanga wa bahari

  mna washing mashine, nina kazi ya kufua, na kuanika nisubiri zikauke

  maji na umeme 24/7 hapa maji yakitoka hatulali tunajaza hadi vijiko.
  Siku nyingine zote ni ya kuchota kisimani au bomba la kijiji
  umeme ungekuwepo ningechemsha maharage ya wiki nzima lakini siwezi andaa vitu na kutegemea kutunza kwenye friji sababu umeme sio wa uhakika
  hata hivyo familia ngapi zinauwezo wa kumiliki friji?

  Huko unasafisha nyumba labda mara moja kwa wiki, hakuna vumbi lakini huku kudeki ndani kila siku is a must, kufuta madirisha na vitu vyote ndani vinginevyo utakuwa kama unakaa chini kwa vumbi

  haya una watoto wadogo, huko mnapeleka day care centre, kwanza day care ni chache, ni gharama kubwa mtanzania wa kawaida hawezi kuaford hata kama inawezekana kuaford bado hazina usalama kwa watoto wadogo sana

  bado uende kazini na trafiki jam kama uko dar, sure you need someont to help you somewhere

  lifestyle ni tofauti na mazingira ni tofauti.

   
 19. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umenena vizuri. Nadhani wakati mwingine ni uzembe. Tena utakuta wanawake wanashindana eti nina msichana wa kazi, yaani unamtumikisha mtoto wa watu kwa elfu30! Ni aibu kwa wasomi.
   
 20. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mhasibu mama ni mchumi! muda wa kurudi home ni saa 4:30pm kwa wote. Huwa nipo tayari kumasaidia ila sema anapokuwepo housegirl nashindwa kumsaidia. ila napenda kumsaidia
   
Loading...