Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,396
7,968
Mrembo nimemfuatilia kwa muda mrefu sana hatimaye kaamua kunipa tunda, cha kushangaza baada ya kula tunda mrembo kaniuliza "una mpango gani na mimi? Nami nikamuuliza unataka mpango gani toka kwangu hakunijibu. Toka siku hiyo anakuwa haeleweki eleweki kuwa anataka nini? Tunda ananinyima. Nimemuuliza kama anataka Vitz hasemi kitu, nimlipie kodi ya nyumba? Ameniboa. Nimejikuta natinga kwenye hili jukwaa kwa mara ya kwanza ili wadada wazoefu na mahusiano mnisaidie kujua huyu mrembo anataka mpango gani toka kwangu? Ila ushauri kwa wadada ni kuwa go straight to the point unataka nini badala ya kujizungusha kama traffic anayetaka rushwa ila anashindwa kusema straight anatumia vitisho. Kama anataka ndoa si aseme, na ndoa gani inatangazwa kabla hamjajuana vizuri, tunda mara moja...
 
Kwahiyo ndoa hitaki kabla hamjajuana vizuri ila mwili wake unautaka kabla hamjajuana vizuri? Watu mna mambo.

Neway sisi hatuwezi kujua anachotaka.We mpe kila kitu achague.
 
Kwahiyo ndoa hitaki kabla hamjajuana vizuri ila mwili wake unautaka kabla hamjajuana vizuri? Watu mna mambo.

Neway sisi hatuwezi kujua anachotaka.We mpe kila kitu achague.

Haahahahahaaaaa.........lol, kuna watu wamepinda hapa jamvini sina hamu. Ati "mpe kila kitu achague" lol
 
Haahahahahaaaaa.........lol, kuna watu wamepinda hapa jamvini sina hamu. Ati "mpe kila kitu achague" lol
Lolzzz!
Sasa je. . . tunda ashapewa sasa na yeye aonyeshe uwezo wake.
 
Tabu ni mpango anaotaka. Hasa ukizingatia haeleweki kabisa, inakuwa kama ngoma inaanza upya kubembeleza na sitaki kumpoteza ingawa ni mapema mno.

kumbe bado unamaindi zigo nini ndio hapo sasa umeingia kichwa kichwa sasa utaisoma mzee..
kama vipi piga chini ulielie kwa viduu vingine mbona baridi tu..
 
Lolzzz!
Sasa je. . . tunda ashapewa sasa na yeye aonyeshe uwezo wake.

Si unamuona anavyojitoa fahamu ati hajui anataka nini, ampe bana anachotaka yeye si kashapewa...lol
 
Kijana chapa ilale...miyeyusho huyo lazima kuna mpango wa kando ogopa sana videmu vyenye mipozi ka hivyo..backup 10 na kuendelea
 
mpe elimu,ukielimisha mwanamke utafanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi
 
Me cjaelewa,hii ni story umeamua kututhmulia jinc ulivopewa tunda au ni kitu gani unachotaka sis tukwambie?
 
mrembo kaniuliza "una mpango gani na mimi? Nami nikamuuliza unataka mpango gani toka kwangu hakunijibu

Yani najaribu kuvuta picha alivyokuwa anakuuliza, na ulivyomjibu kikaxi, ahahahaha khaaa, ulimpa jibu la kibandidu, kweli we kinega!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom