akichelewa kurudi

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
asalaaam. Jamani wana jf hivi mwenzi/mume/mke asiporudi au akachelewa saana zaidi ya saa sita usiku nyumbani kwa sababu ya hii mvua inayoendelea. Utamlaumu na kumshutumu? Swali la ufahamu
 
Hapana. Kwanza akiweza kurudi salama ni jambo la kumshukuru mungu manake hali ni mbaya kwakweli.

Jibu la ufahamu.
 
hapo wengi wataleta kisingizio hicho mke wangu mi akichelewa nitamfuata hivyo hivyo siwezi kumuacha akasumbuka wakati mme wake nipo
 
asalaaam. Jamani wana jf hivi mwenzi/mume/mke asiporudi au akachelewa sna to saa sita na zaidi usiku nyumbani kwa sababu ya hii mvua inayoendelea. Utamlaumu na kumshutumu? Swali la ufahamu

Mhhh..kutokurudi hiyo itakuwa kesi nyingine..ila akichelewa sio wakulaumiwa au kushutumiwa maana leo hali ni mbaya jiji zima. Vyombo vya habari vinazungumza bila hata utetezi mwingine.. Ni kumpa pole na kumliwaza na adha aliopata coz of usafiri...:poa
 
Mwache mwenzio ajifiche mvua huko (nafasi/kisingizio kizuri cha kulala kwa nyumba ndogo ), au unataka achukuliwe na mafuriko akiwahi nyumbani?
Inabidi mvumiliane tu maana kwa hii mvua wakati mwingine kujibanza sehemu hakuzuiliki.
 
It's an opportune moment for infidelity under the pretext of torrential flooding.
 
hee, binti umerudi weye?
Hope uko poa sasa
mlete na TF
Mwache mwenzio ajifiche mvua huko (nafasi/kisingizio kizuri cha kulala kwa nyumba ndogo ), au unataka achukuliwe na mafuriko akiwahi nyumbani?
Inabidi mvumiliane tu maana kwa hii mvua wakati mwingine kujibanza sehemu hakuzuiliki.
 
hao wenza waogelee tu kwa kweli
kutulaza roho juu haiwezekani

bora wafanye infi siku nyingine si leo
nani ataokoa watoto in case nyumba yetu ikifurika?

It's an opportune moment for infidelity under the pretext of torrential flooding.
 
mie niko home
nimemwambia aogelee arudi
eti anataka kulala nyumba za wenyeji?!?
Ana visa sana
bora acheat kesho kutwa

Fynest kalala,enhee na wewe leo unamdanganya mwenzio mafuriko yamepamba moto ulipo?
 
Na wabongo tulivyo na mashauzi...utasikia 'hun...I'm stranded...I have no way of getting out of here...ntaenda tu kwa mwaflani'.
 
Ni kama naota, kwamba uzinzi unafanyia siku za mvua tuuuuu!!!! KUNGURU HAFUGIKI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom