Kwa yeyote anaejua kutafsiri ndoto anisaidie tafadhali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa yeyote anaejua kutafsiri ndoto anisaidie tafadhali.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Dec 19, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nimeota niko na my ex gal porini,mara simba huyoo,ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi akamrukia,akamrarua then yule mmanzi akawa analia sana huku analiita jina langu bt it was too late for me coz nlikua mbali kdogo,akawa kauliwa ...ndoto ikaishia hapo baada ya mimi kushtuka toka usingzni..naomba kwa mtaalamu yeyote anisave kunipa tafsiri ya hii ndoto..
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280


  Kuota uko na ex wako maana yake utarudi nyuma kimaendeleo, angalia sana assets zako.
  Kuota uko porini maana yake utapotea, angalia sana mienendo yako.  Simba ni alama ya vita na nguvu, angalia sana kuna kishindo cha nguvu cha upinzani kitakufuata.  Hata hivyo, haya matatizo yatakayokuja yatakuwa ni "blessing in disguise" kwani yatakutoa katika matatizo yako mengine ya kurudi nyuma kimaendeleo.  Matatizo yako ya kurudi nyuma kimaendeleo yatashindwa nguvu na hii nguvu mpya itakayojitokeza.  Matatizo yako yatakushawishi lakini hutaweza hata kuyarudia tena.  Ukija kupita experience hii naomba urudi hapa kueleza usahihi wa tafsiri yangu.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
   
 4. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  ...pole sana mkuu,mtaalam wa hayo mambo ya kusadikika(ndoto) alisha faliki.Mambo ya mapenzi hayaitaji mambo ya kubuni kama ndoto,njia nzuri ya kujua afya ya penzi lako ni kuwasiliana na umpenzi wako tofauti na hivyo labda kama unataka kujiingiza ktk mambo ya nguvu za giza ndo uendelee kutafuta tafasili ya ndoto yako...
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  daaaah!!hayo unayoyasema ni kweli au mkwara tu?
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Du!Bonge la tafsri.Halafu hizi ndoto wakati mwingine zinakera sana.Nakumbuka siku moja niliota niko uchi mtaani.Nilipozinduka usingizini kwanza nilishukuru kwamba kumbe ni ndoto tu,lakini pia nilikasirika sana!
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  halafu ndoto zingine ni nshenzi kweli. Unakuta ndoto inakwenda taratibu, tena hatua kwa hatua utadhani mkanda wa filamu. Ukiamka mpaka unachanganyikiwa na kutokwa jasho kwamba si kweli ila ni ndoto tu. Ah, mindoto haifai kabisa.
   
 8. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  upo obssessed sana na ex-g wako, though wajifanya kuilazimisha nafsi yako kumwona si chochote

  kuvunjika kwa uhusiano wenu, unaona yeye ndio sababu
   
 9. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli mindoto mingine noma..
   
 10. m

  mhondo JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndoto nyingine ni za kweli ndiyo maana kwenye biblia Yusufu alipata sifa kwa kutafsiri/kufasiri ndoto alipokuwa Misri pamoja na Danieli. Wakati mwingine Mungu husema na watu kupitia kwenye ndoto na mapepo nayo hutumia njia hiyo hiyo. Ila hautakiwi kuamini kila ndoto kwani nyingine zinatokana na mambo uliyoyawaza sana kabla ya kulala. Kumbuka pia kwamba mwili ndiyo uwa unalala wakati Roho ipo kazini muda wote.
   
 11. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa kawaida ndoto huwa zinatoa msg kinyume-nyume. Huyo mmanzi aliyeliwa na simba ujue hahusiki kabisa na hicho kisanga. Bali uwe na uhakika mhusika hapo ni GF wako wa sasa. Yapo mabaya yanamjia. Kaa chonjo! It is a warning.
   
 12. marida

  marida Senior Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naona ex-gal fnd wako anapata shida sana,either mgonjwa,au anateseka kwa namna moja au nyingine,na wakumsaidia ni wewe na uko hampo pamoja,ndiyo maana,ukamwona yeye analiwa na simba,wakati wewe upo mbali ukimwangalia.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Inawezekana huyo simba ni bodi ya mkopo. Huyo ex mnasoma wote?
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Maana ya ndoto yako; utakuwa chizi!
  Yakitimia rudi humu utoe ushuhuda lol

  But seriously nenda kaombewe!
   
 15. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Teh teh mjukuu wa shekh yahaya!
   
 16. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ikb ndoto ni viceversa ukiota msiba ujue itatokea harusi, so hapo umeota x wako analiwa ujue ni ww lol! bt kuliwa sio kwamba utaliwa na simba kwel. utapitia tu ups n downs na vijichalange vya hapa na pale. so get ready! ol in ol muombe mungu bana atengue mabaya yote mbele yako.
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Duuu, mi nafikiri kwa kuwa huyo X wako mlishaachana, ndiyo maana ndoto imeonyesha yuko porini ....
  na huyo simba aliyemrukia kumrarua maana yake kuna wajanja wengine huko wako naye kwa sasa ingawa kilio chake na kuita jina lako yumkini bado anakukumbuka ....
  Am joking, sina utaalamu wa kutafsiri ndoto ... Hahaaaa
   
 18. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160

  Kiranga nenda kaombe kazi ya 'ULINZI' mbadala wa ikulu....
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Haaaa mkuu kapime malaria
   
Loading...