ivi kuna ukweli hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ivi kuna ukweli hapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by obsesd, Dec 21, 2011.

 1. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana.

  Nauliza sababu kuna shosty wangu alikuwa na boyfriend wake engineer sasa wamemwagana, sasa kapata mngwini ndio ananiambia kua wana tofautiana kabisa. Anajuta anamkumbuka Mpennzi wake wa awali.

  Je hii ina apply pia na kwa ladiez or? naomba kuuliza ili jaman.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  si kweli
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi kuna masomo magumu na marahisi?siyo kujiendekeza tu?reasoning huwa haiangalii umesoma nini,but human being tuko na utofauti atii
   
 4. semango

  semango JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hakuna masomo magumu wala marahisi.wapo vilaza na wali-opt engineering na wameweza na wapo waliokua vichwa (o' level and A' level) na wame-opt ungwini na wameambulia pass
   
 5. marida

  marida Senior Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achen dharau nyie,chai chai ndo nini?.
   
 6. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hakuna mahusiano kati ya tabia au hulka ya mtu na masomo atayochukua chuoni...kama mtu ni mtata ni mtata tu hata akisoma udaktari au uhasibu au masomo mengine yoyote....na kama mtu anajua kuimbisha kwenye mapenz ndo yuko hivyo..na kama hajui hajui tu,labda kama atabadilishwa na marafiki ambao atakutana nao lakini sio masomo..
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tofauti ipo moja tu............wakati wa kushusha mzigo, engineer analia ki mathematics wakati ngwine wanapiga makelele haooo
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ebwana tofauti ipo...hawa wa ngwini bwana nawakuwa waongeaji sana lafu sasa katika ile mechi yetu ya sita kwa sita unakuta wao ndio screamers wakati hawa scientists bana wanakuwa wanatafakari wee jambo la hisia wao wanataka leta calculus pale na inaharibu mood nzima
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hakuna ukweli wowote na hii hoja yako
  hizo ni hulka za mtu na sio masomo aliyosomea.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  I think wa Engineer less understand the woman than the other...
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Not sure kama kuna connection kati ya Mapenzi na elimu, ngoja nitafakari nitakujibu baadaye!
   
 12. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahaha mwe.
   
 13. sixlove

  sixlove Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  hakuna lolote wizi tu
   
 14. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  lakini sasa huyu mtoa maada anaonyesha kuwa huyo wa engineer ndo anaye kumbukwa.
  ni vigumu kuhusisha fani ya mtu na tabia tabia/haiba yake. kuwa na engineer ukamwacha halafu kwenda kwa asiye engineer na kuhitimisha kuwa kuna tofauti ya tabia inayotokana na fani au aina ya taaluma zao si sawa. labda ningemshauri huyu mtu atembee na mainjinia kama sita hivi, kisha ahamie kwa hao wengine nao wawe ktk mafungu ya sita tista hivi. halafu atengeneze matokeo yake yakiwa na ushawishi wa kitakwimu. hapo aah nitakubali hiyo hypothesis yake
   
 15. a

  antimipasho New Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo hakuna ukweli ma' dear
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  msidanganyane humu

  masomo anayochukua mtu yana reflect tabia zake
  na kazi anayofanya mtu inamuathiri tabia zake
  na hata kampuni au ofisi anayofanya mtu inamuathiri saana tabia zake....

  ma enginerr wengi hawapendi ubishani
  kwa sababu wamefundishwa 'ku solve tatizo na kufikia muafaka'
  wakati wanasheria wanapenda kubishana kwa sababu wamefundishwa 'kushinda' argument na 'kumnyamazisha'
  mwenzio kwa hoja...
  get it??
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Hakuna uhusiano baina ya masomo ya arts au sayansi na mambo ya mapenzi, hizo ni tabia za binadamu kutegemeana na malezi aliyolelewa na aina ya marafiki zake. Viipi kuhusu wale walioshia form IV au VI ambao hawakufikia huo uinginia au ungwini?
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu wale ambao hawakupata nafasi ya kuufikia uinginia au uanasheria, waanadhiriwa na nini? Consider form Iv or VI leavers kwa Tanzania, halafu mambo yakamchanganyia hata shule asindelee nayo tena.
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  itategemeana na kazi unayofanya
  why do u think walimu wanaonekana ni 'better wives'?????
  jiulize hilo....
   
 20. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  asante mkuu.
   
Loading...