RE: kufanya mapenzi mbele ya macho ya mtoto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: kufanya mapenzi mbele ya macho ya mtoto.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babamu, Dec 22, 2011.

 1. Babamu

  Babamu Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo nimewahi kupitia katika vitabu vya kidini (auislamu) ni kuwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W). amekataza kufanya mapenzi ndani ya chumba hata kama yumo mnyama alimtaja kuwa ni paka basi usifanye mapenzi mbele yake. FUNDISHO : tujue kuwa paka ni mnyama na hatoweza kusema ila tuone umuhimu wake suala hilo.
  Amani juu yako, Kuna siku si
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kujua kuwa kufanya hivyo ni haikubaliki, basi soma saikolojia yako mwenyewe wakati unafanya tendo mbele ya mtoto (hata akiwa mchanga wa siku 10)...Utagundua wazi kuwa stimu inapotea kiaina...
  Paka ni mwerevu kuliko sisi!...Hafanyi mapenzi mbele ya macho ya mnyama yeyote zaidi ya mkewe!....huh!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  je chumba chenye mmbu?
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbu tena? lol :lol::lol::lol::lol::poa
   
 5. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hapo ruksa kudinginyana mdada
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si kadai kusiwe na kiumbe yeyote jamani?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mosquito_634_600x450.jpg
  Huyu sidhani kama ana muda na kitakachokuwa kinaendelea,,akishajifaidia tu anatambaa zake,, na raha zaidi mkiwa kwenye game hamuwezi hata kumsikia!!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  dinyaneni ila msidinyuane!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  na mijusi je?
  inatazama mno ,,,,lol
   
 10. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  KWELI HESHIMA YA JAMII FORUMS INAZIDI KUSHUKA. GREATTHINKER HAJUI TOFAUTI YA MNYAMA NA MDUDU? Ni aibu iliyoje jamani
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu ! Umenitatiza Paka ana mke ? Au umejielekeza Paka we mwenyewe kwa maana ya jina lako ? Samahani lakini, not big issue ni ufafanuzi tu!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Leo kaaz- kwel'kweli ! MBU nae mnyama ? Tabasamu ni aje ?
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Muasisi uzi kasema Mnyama hakusema Kiumbe.
   
 14. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,047
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Ningechangia mada bahati mbaya sina muda yaaani very busy
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo mbaya zaidi kuliko vyote sasa
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanza hata kwenye ile kikiri kakara hawezi kutulia anyonye
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Is it mnyama na mdudu ama kiumbe?
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Imetosha na tumejifunza sio vyema kufanya hivyo mbele ya mnyama tujadili maruala mengine yenye maendeleo zaidi
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kweli wewe paka jimy. Ushawahi kuona couples za paka? Wale wanalambana wao kwa wao, njiwa tu ndo yko makini katika suala hilo ingawa anafanya mbele ya public
   
 20. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kufanya hivi kukosa adabu na kuwapa laana watoto wetu wenyewe tunaowazaa! Mwisho wanakuwa machangudoa au vibaka kwa laana tunazozitoa kwa kufanya mambo ya aibu mbele yao.
   
Loading...