HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...!
Leo hii, kuna ndg kani-PM kunionya kuwa nisiandike tena mambo yanayohusu infidelity maana vita ya kupambana na infidelity ni ngumu kama kupambana na UFISADI na kamwe sintafanikiwa kama ambavyo siri-kali imeshindwa na ufisadi!
Swali langu ni hili, je kuna ubaya wwowote kuleta mada hizi zenye lengo la kujenga jamii yenye kuheshimiana kwenye mahusiano na kupunguza ugomvi wa kila siku wa kufumaniana na kuchomana visu? Kosa langu ni lipi hasa? Niweke jina lake hapa jukwaani?
Wenu ktk Majonzi,
HorsePower :whoo: