polen ndugu zetu wa dar na mbeya kwa janga hili la mafuriko yanayowatesa kwa sana

fmwanda

Member
Dec 15, 2011
21
1
mafuriko haya yanatokana na miundo mbinu na mipangilio mibovu ifanywayo na serikari iliyoko madarakani.Kupitia ukurasa huu nawasihi wananchi wenye mapenzi mema tusaidiane ili kuyanusuru maisha ya wahanga hawa wa mafuriko katika mikoa tajwa
 
Back
Top Bottom