Kwa nini?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
uchunguzi nilioufanya hivi karibuni, nimegundua kuwa baadhi ya wanaume walioa hawapendi kutoka outing na wake zao na badala yake hupenda kutoka na rafiki zao wengine wa kike au marafiki wa kawaida wa ofisini. Na ukikuta wanaoongea kwa furaha sana kwenye gari, basi ujue huyo anayeongea naye ni rafiki na siyo mke.

Inakuwaje unakuwa na mke halafu hupendi kutoka naye? Ni kwa nini?

HorsePower
 
Mke si umeshamzoea sasa yanini kufatanafatana wakati yupo tu... Unajua kubanana sana inapunguza mapenzi....
 
Mi nafikiri wanaume tubadilike na tutoke na wife zetu banaaaaaaaa

sixlove:a s 465:
 
Hivi HP unafikiri kuna ambae hapendi kutoka na " Mama ya boma" ? Twapenda mno! Lakini baaba wanizungua si polepole na siajabu mkarudi hom kwa usafiri tofauti. Mf last wik tuko katikati ya Mechi Real madrid Vs Vilarial mwenzetu kaja na wf wake, mara tunamsikia Shem kamkomalia jamaa mi nirudishe hom tena kwa mikelele jamaa nae anamwambia mi siondoki huu mpira wa leo nimeupania. Mimi nikaenda kumpoza Shem nijui na chanzo cha tatizo, Shem ananiambia tatizo Barmaid alikua anamrembulia macho jamaa ! Hapo chacha!
 
dah nae ana mind sana barmaid c wakupita tu, au alikuwa anaboreka apendi mpira?
 
Alichokifata shem ilikua amefata shari tu, unajua haya mambo ya mgao wa umeme hutufanya sie wapenda mipira tuifate kwenye ma'bar hom umeme nehi, Bar kuna generator. Sasa tunapowaaga kwenda kuangalia wao wanajua unaenda kuto*b*na!
 
Mke si umeshamzoea sasa yanini kufatanafatana wakati yupo tu... Unajua kubanana sana inapunguza mapenzi....

Hata ww jaman! tabia mbaya io. unadhan mkeo hapend kutoka na ww anapenda sana sema nyie mnawakwepa ka ukoma mnatoka na vi escot vya mtaan. mh kwel badiriken jaman muanze kujali wake zenu sio fresh wanaumia bs tu. me mwenyewe kuna libaba tunafanya nalo kaz juz likaniomba tukachek match ya man city n arsenal nikajb si utoke na mkeo! yukoje dah.
 
Mgagaa na wali hali upwa mkavu! Hilo libaba usiliache yanajua kupenda na kuhudumia bilivu mi !
 
mm wangu raha 2, sometym romance mpka kwenye gar, 2na miaka 7 lakn ndo km yestaday!
 
mimi mke wangu anachoniuzi kutoka naye ni marangi ya machoni anakuwa kama ana tongotongo afu nikimwambia mbishi kama nini.
Bora nimpe hela aende mwenyewe
 
Kongosho wewe ni mwanamke au mwanaume? Na kama ni mwanaume je wewe
ni straight, homosexual au bisexual ?
 
suala la mtoko kwa mme na mke si lazima mwanaume apange huo mtoko hata mwanamke naye ana uwezo na haki za kupanga mitoko ...
 
mm wangu raha 2, sometym romance mpka kwenye gar, 2na miaka 7 lakn ndo km yestaday!

mkuu wape wana JF uzoefu uliokufanya ufikie miaka saba nakuiona ndoa kama jana vile, I hope itakuwa faida kwa wengi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom