Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ila wanaume ki ukweli wengi sio.( kwa wanawake tu)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Dec 21, 2011.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mapenzi ya dhati hawana.
  Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
  utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
  loh
  sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
  Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
  Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
  Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
  Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
  Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  watoto 9?
  kwani ana mpango wa kujaza darasa?
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  naona huyo ni zaidi ya majani producer wetu loh!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  acha tu shosti inaelekea darasa la condomu limempita kushoto
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  majani na yeye yumo eeh?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,564
  Likes Received: 19,132
  Trophy Points: 280
  Dayuuum! Jamaa inaelekea mbegu zake ziko potent kinoma noma.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,621
  Likes Received: 16,562
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini
  lakini watanzania huwa hawaelewi kabisa vitu vya msingi na taarifa zinazotangazwa mara kwa mara
  takwimu rasmi ni kuwa watanzania wenye 'matatizo ya akili ' ni zaidi ya milioni moja na nusu.....
  now go figure....
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  kwani wengine hawana au upuuzi tuu?
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  ujue mbaya boss kamdanganya dada wa watu mtoto ni mmoja wamejenga wote tena mdada ndo kachangia zaidi maana jamaa hana kitu sema kiwanja kilikuwa chake. sasa toto tisa bado anaendelea huyu dada ana kitu kweli hapo?
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  The boss unamaanisha na huyo ni sehemu ya hao wenye 'matatizo ya akili '? Lohh!
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,222
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Zaeni mkaijaze dunia..
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,077
  Likes Received: 1,324
  Trophy Points: 280
  Ana shabaha kama Mkwawa,lol!
  Na haogopi ngoma!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,564
  Likes Received: 19,132
  Trophy Points: 280
  Kila akilenga hakosi!
   
 14. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,878
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  ah nyie wanawake mkiambia tule gud time tuu na msitutegemee kuwa gud husband mwakataa ...haya sasa ndio yawakuteni hayo
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,771
  Likes Received: 12,186
  Trophy Points: 280


  ....Hehehehehe NN usikute kabambikiwa labda watoto wake wa kweli ni watatu tu au wanne

  :focus:
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Haswaaaa....kama mtu unao uwezo..zaa wengi uwezavyo. Vitabu vyote vya dini tunavyoviamini vimesupport hili suala la kuzaana!!
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  sijui tutumie vipimo gani sasa?
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  sasa wataishije watoto wote hao?
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa akifariki kaburi lake liandikwe shujaa halaf serikali iweke siku 2 za maombolezo. Lengo kubwa la mwanaume ni kueneza DNA.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,564
  Likes Received: 19,132
  Trophy Points: 280
  You know what...you could be right! Nowadays you can't put anything past anybody. These females lie a lot too.
   
Loading...