MMU thread ya kufungia mwaka

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
 
Bishanga utulivu zero! Yaani umeona huo ndio uzi wa kufaa kufungia mwaka:lol::lol::lol:
 
Hivi ile ya Gazeti la Udaku ilikuwa jukwaa gani?

Mie ile ndo thread yangu ya mwaka
mimi ni ule wa Aspirin:'sisi wanaume bana'Lakini hiyo haizuii Aspirin kutuangushia'sisi ndo wanaume bana,part2'.
 
Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol.

rusha basi,halafu usisahau kumsifia Bishanga Abashaija kwa jinsi anavyom care eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wanawake wa mmu.
 
Bishanga utulivu zero! Yaani umeona huo ndio uzi wa kufaa kufungia mwaka:lol::lol::lol:
ujue unani disturb maana niko bize nauandaa,huo ni special kwa wakware wa mmu wakiongozwa na TF,Fidel na Bujibuji.
 
Ukitaka kumtongoza mke wa mtu .... anza kwa kumnunulia zawadi ndogo ndogo kama chocolate, perfume, maua ... alaf nunua underpants umpe when u want to leave with her old underpants after having a gr8 gr8 sex. Nawasilisha
 
Ile ndo funga mwaka ya kweli, hakuna wa kuipiku
usijaji Mkuu,tarehe 31 dec bado,ngoja kina Aspirin wajikunje.
by the way Mod kwa nini asitengeneze ka software ka ku vote thread of the year?
 
Back
Top Bottom