Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe...
Wadau mi naona kuwa na rafiki wa kike ambaye si
mpenzi wangu inaniwia ngumu sana sasa sijui ni
mimi tu au hata nyie inakua hivyo hivyo .
maana unaweza kukuta unae rafiki wa disign hiyo halafu...
Baba X aliondoka nyumbani kwake miaka 7 iliyopita na kuambatana na nyumba ndogo yake,na kumwacha mkewe akiwa mjamzito miezi tisa na watoto wakubwa wawili, ,bila hata huruma,na hakuwa na...
Kama mnakumbuka kuna kijana aliniomba mtoko juma lileee lililopita, nikaja hapa kuomba ushauri wa kivazi cha kutupia. Nawashukuru saaana, maana kila aloniona alinisifu kuwa nimependeza, maana hata...
Habari za wakati huu wananchi wenzangu.ebana,nina rafiki yangu wa kike{urafiki wa kawaida}ambae bahati mbaya ye hana bumu so anategemea kila kitu toka kwa wazazi wake,cha kushangaza huyu bidada...
kama umezoa kulala na mwanaume bila kumpenda jua wewe ni kahaba
sasa basi kama unaishi na mume ambae umpenddi na unajua huna mapenzi yake
rudi tu kwenye ukahaba muwachie nduguyo aendelee na...
Sijui ni maisha au nini!
Style za mahusiano siku hizi yanaenda kinyume nyume.
Kijana(ME) anataka aliyemzidi umri(JIMAMA/SUGARMUMMY) ajitimizie mahitaji yake.
Kijana(KE) anataka...
hasira za mkizi hutuponza kujenga makusudio ya kulipiza kisasi..............................lakini hayo huwa ni kivuno cha mvuvi................kisasi humfunga mlenga kwa...
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda...
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Kama mjuavyo ndoa za nyakati hizi zimekta tofauti kabisa na kipindi cha wazazi wetu na bibi na babu zetu.Ndoa za enzi hizi zimekua ni kama mbwembwe tu ila watu wengi hawadumu kwenye ndoa zao ,nini...
Sielewi kwa nini wazo hili limenijia kichwani ghafla sasa hivi, ila ngoja niwashirikishe!
Nafikiria kama ningekuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya system ya utendaji kazi wa akili, utu, upendo...
Kauli kama hii hutoka vinywani mwa wanaume wengi. Lakini, je, unajua ni kwa kiasi gani kauli hii huwa haina ukweli hata chembe? Huenda hujui kabisa, au inawezekana pia nawe ni mmoja kati ya wale...
Umri wangu ni miaka ishirini na mmoja. Wazazi wangu hawakuwahi kuoana wala kuishi pamoja kwani nilipokuwa conceived (wazazi) wangu walikuwa bado kwenye late teens, wakati huo wanafunzi. Katika...
Ndugu Wana JF,
Jana baada ya kutoka safari, jirani yangu alinipigia simu akinieleza kuwa amekorofishana na mke wake na kuamua kuondoka nyumbani mpaka yule mke wake atakapoondoka nyumbani...
Natubu kwa MWENYEZI MUNGU NA KWA MKE WANGU, NAMWOMBA SANA ANISAMEHE. nilimwoa mke wangu nikiwa sina chochote na kwa msaada wake wa mawazo na msaada wa Mungu tulifanikiwa kujijenga...
Wapendwa uvaaji wa suruali huku shati umechomekea kwenye chupi ni sahihi?
Kuna brazameni mmoja nilimwona kaulamba safi ila shati kachomekea kwenye chupi sasa bahati mbaya au nzuri ile chupi...
Kwenye mahusiano/ndoa watu hua wanapiga picha pamoja . . . kwaajili ya ukumbusho.
Kwa wale mlioko facebook mnajua siku hizi hizo picha haziishi kwenye album makabatini tu na ukutani ila mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.