Wadau wa JF mimi ndugu yenu nina katatizo kidogo kwenye mahusiano na binti mmoja anasoma mzumbe university. Huyu mtoto ni mkali kweli kweli, lakini tatizo lake anaomba sana pesa, voucher na...
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka...
Salim Said
KUNA utani uliozoeleka katika jamii kwamba mabinti wa Kimakonde hawajui kusema âhapanaâ pale wanapoifuatwa fuatwa na wanaume kimapenzi. "Kunkatalia ntu dhaambi!" inadaiwa...
utanisahihisha kama nimekosea....
wanaotunza nyumba( usafi,mazingira, chumbani kwa mabosi) ni mahouse girl
wanaotunza watoto ni mahouse girl
wanaofuatilia maendeleo ya watoto ndio hao hao...
TOP PHOTO: A group photograph outside the registrar's office and on right Chege is shown by the best maid where to keep his money as she presents him dollar notes - "mbeca ci-igagwo nyondo-inî...
mimi ni kijana nimeshamaliza university na ninafanya kazi ktk benki mojawapo hapa dar.nimetokea kumpenda binti ambaye mpaka sasa anasome chuo.To be honest siku nilipomwona "i thought i meet with...
Mambo vipi wana JF.
Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu...
...jamani hichi kivazi kinachoitwa 'leggings' mimi siafikiani nacho jamani, mnnnh....
nini maoni yenu, maana ishakuwa kivazi cha kawaida sasa hata kama 'camel toe' inaonekana waziwazi...
Hii kwangu ilikaa vibaya. Mwanzoni nilidhani masihara mpaka niliposhuhudia makonde na chupa zikirushwa. Kisa? bar maid.
Ni kwamba kuna ka baameid kamoja ka kimbulu kameleta zahma kwenye bar...
http://newsforums.bbc.co.uk/nol/thread.jspa?forumID=7107&edition=2&ttl=20091019143410
How young is too young to marry?
Girls in some communities in South Africa and Kenya are getting married...
Hamjambo wana JF . Naomba ushauri wenu katika hili suala.
Mimi nimeishi na mdogo wangu wa kike mtoto wa mama mdogo. Baada ya kumaliza Form IV alikuja Dar kwanngu na kuanza shule ya mambo ya...
Nilikuwa nasikiliza Radio Maria jana usiku mida ya saa mbili hivi ya usiku,
kama kawaida leo kulikuwa na kisa kingine, acha bwana duniani kuna mambo.
Kisa chenyewe ni hichi,
Nilikutia kati...
habari za jioni wana blog ya jamii, nipo hapa kuomba msaada kuna kitu kina nisumbua mimi niko na demu ambaye ni mchumba wangu ila tatizo ni kwamba tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo...
Jamani naomba mawazo na michango yenu kuhusu suala zima la picha za Pornoghraphy. Katika kukutana na watu mbalimbali nimekutana na wale wanaozipinga picha hizi kuwa hazifai na wengine wanasema ni...
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya...
Siku moja katika blog fulani kulikuwa na mjadala mkali sana kuwa dada zetu wa kibongo (walioko mtoni/majuu) wanajiachia sana kwa watu wa afrika Magharibi ambao (wawest) huja kuwatosa vibaya sana...