msaada tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tutani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chickdee, Oct 13, 2009.

 1. c

  chickdee Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za jioni wana blog ya jamii, nipo hapa kuomba msaada kuna kitu kina nisumbua mimi niko na demu ambaye ni mchumba wangu ila tatizo ni kwamba tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo la ndoa) hata hakati kiu yangu hali kadhalika kwake hata mimi sikati kiu yake, nimeshataka kuachana naye ila napewa ushauri kuwa kila kitu kitakuja kukaa sawa kadri tunavyokwenda na tumeshakaa muda wa miaka 3 na wengine wanasema ndoa sio kufanya mapenzi ila mimi naamini ndoa ni tendo maana kama simridhishi ina maana tukija kuwa mke na mume atakwenda nje ya ndoa kutafuta mtu atakaye mkata kiu yake. naombeni ushauri wadau ila yeye demu ananipenda sana na wakati huo huo niko na demu mwingine ananifurahisha kinoma na yeye anafurahishwa na mimi kwa kwenda mbele na nina mpenda kuliko mchumba wangu. Je nifanyeje?????????????????? nipo njia panda
   
 2. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa hapo unajichanganya mwenyewe,wewe unakuwa umeshaonja huko kwingine kweli kwa mchumba wako patanoga?embu jaribu kumuacha huyo wa pembeni ,concetrate na mchumba 100%
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wee kaka, tafadhali sana for heaven's sake kaa chini na huyo dada mueleze kwa utaratibu na kila mtu achukue ustaarabu. hivyo ulivyoabnza tu hakuna ndoa hapo zitakuwa frustrations kwenu ninyi wote.
  Halafu its open humpendi maana unasema yeye ndo anakupenda sana na wewe tayari una kifaa kingine. mwache dada wa watu kwa ustaarabu usimpotezee muda, najua itamuuma lakini its for the best. you dont deserve her.
  as usual always kuna kidumu pembeni, wanaume bwana,yani mtu akishapata mwanamke mwingine huko nje anaanza malalamiko ooh, haniridhishi, ooh simpendi sana. grow up.
   
 4. c

  chickdee Member

  #4
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  carmel naomba unielewe toka naanza uhusiano naye ilikuwa haturidhishani tukajua kuwa tukishajuliana mambo yatakwenda sawa sio kwamba baada ya kupata demu mwingine ndo nimemuona yeye si mtamu hapana nieleweni wana jamii
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,583
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Sasa kinachotakiwa ni kukaa na kuzungumza kitu gani ambacho kinawafanya mshindwe kuridhishana.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kiu gani hiyo ya kukatiana

  hebu mdiscuss unataka akufanyie nini na wewe umfanyie nini

  kama nyie hamuelezani sisi tutajuaje au uwe specific na kitu gani unataka usaidiwe
   
 7. c

  chickdee Member

  #7
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye tendo la ndoa hakuna anayesikia raha si yeye wala mimi. na nimeshajaribu kuongea naye ila ndo na yeye akaniambia kuwa hata yeye mwenyewe huwa hasikii raha ya kufanya mapenzi
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Be specific hapa haiwezi ikawa kwa pande zote lazima ni mmoja tu hapa goigoi! we unaweza sema kwa huyo demu wako mwingine unasikia raha labda yeye anakutega tuu hapati kitu ila kukwambia anaona soo!
   
 9. c

  chickdee Member

  #9
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala jogoo hawiki.
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa maelezo yako haya naona we ushaamua moja na mawazo umeyadirect kwa huyo mwingine so ili usizidi kumuumiza huyo mchumba wako mpe live! ingekua vizuri ungeleta hii stori kabla hujapata huyo demu mwingine na hapa kukubadili wewe naona itakua shida!
   
 11. c

  chickdee Member

  #11
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si hivyo kimey nipo kwenye njia panda maana hata huyu demu niliyenae nimeanza kumpenda siku za karibuni na pia nafikiria jinsi nitakavyomwambia huyu mchumba wangu maana alishatishia kunywa sumu kipindi fulani nilitaka tuwe kaka na dada kutokana na hili tatizo linalotuface kwa sasa
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hakati kiu kivp? Hazungushi kiuno?
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  wee chalii bana! sasa kama hum-feel unafikiri uta-enjoy aje sasa?

  pia elewa ni kawaida kuona kitu kipya ni kitamu zaidi ya ulichozoea.
   
 14. c

  chickdee Member

  #14
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiuno anakata sana ila ndo hivyo yaani naona niko kama nafanya mapenzi na dada yangu.Na mbaya zaidi ni kwamba nimeshamchukia na huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi itakuwa ni ugomvi kila siku maana kwa sasa hata sina naye mawasiliano zaidi ya yeye ndo huwa ananipigia na akitaka kuonana na mimi namwambia sina muda na wala hakati tamaa.
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  This is what i am talking about. wewe ushaonja huko na kufikia conclusion kuwa huyu hakufai so be honest to her and let her go. Haya mambo pyschology inachangia sana, ukiuambia ubongo wako huyu haniridhishi na wenyewe unact hivyohivyo so hata huyo jogoo hawezi kuwika. na ndoa hapa haiwezekani nionavyo mimi msipotezeane muda na kuumizana nyoyo maana hata mkifunga ndoa mtacheat tu kutafuta kuridhisha roho zenu.
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135


  Wewe ushasema unamchukia na humpendi sasa unafikiri kuna raha utakayoipata hapo?Unataka msaada wa nini?
  Unampotezea muda dada wa watu, wewe kichafuzi huna lolote. Mwambie ukweli dada wa watu kwamba humpendi na tayari una mtu mwingine.
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Dogo sasa kwa nini upo naye in the first place?

  Kukusaidia ebu kuwa mwanaume japo mara moja mwambie kuwa kutokana na hali halisi hamuwezi kuendelea pamoja. hilo la kunywa sumu lisikusumbue mweleweshe taratibu na mpe ukweli kuwa umependa kwingine.

  halafu ole wako uje tena kutuambi uyo mwingine 'hamridhishani' tutakutoa baru!
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wewe kumbe shida ni kwamba unafanya sana na huyo mwingine kiasi kwamba ukienda kwa mchumba wako unakuwa umeshachoka, kama ni hivyo hutakaa umridhishe na wewe hutakaa uridhike. Mimi naona tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi unahitaji kutulia na kuamua yupi unataka uwe nae. Amua leo unayemtaka, kwani huyo anayekuridhisha hafai kuwa mke?
   
 19. M

  Madenge Member

  #19
  Oct 13, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  carmel???????
  U r turning me on big time,
   
Loading...