Why me? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why me?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sika, Oct 20, 2009.

 1. sika

  sika Member

  #1
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi wana JF.

  Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu

  Chanzo cha haya matatizo yote ni huyu demu mwingine kwani alishawahi kuniambia endapo nitakuja kumwacha ataniloga niliamini hvyo kwn kuna cku moja nilimkuta na hirizi ambapo nilipomuuliza aliniambia alipewa alipokuwa anaumwa, nikamuuliza si umeshapona vp bado unayo akanipa maelezo ambayo hayakuniridhisha na hivyo kuamua kumuacha kwa kumwambia kuwa naomba muda wa kuwa peke yangu, akaniuliza kuwa niesharudiana na demu wangu wa awali, nikajibu hapana. Lakini ukweli ni kwamba nimerudiana na demu wangu.

  Tatizo ni kwamba tangu nirudiane na huyu demu wangu nimekuwa nashinwa kwenda round tatu. Je, yawezekana yule demu ni kweli ameniloga? Nilishampiga stop kuwasiliana na mimi kwa kuhofia kunigombanisha na demu wangu, lakini kwa sasa natamani nimuombe msamaha kama ni yeye kweli lakini nashindwa jinsi ya kumuanza

  So wana JF naombeni ushauri wenu kwani naumia kisaikolojia.
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  imebidi nicheke tu...MJ1,Agika,Carmel,Msindima,VC jamani njooni mumpe kijana ushauri huku....
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Oct 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Salama, na Karibu!
  Kwa hapa tu ushanikatisha tamaa! Umeambiwa wanawake ni wa kupooza machungu? Kivipi? Wewe unaleta mjadala ndani ya mjadala! Huyo ulomwendea ulimwambia kuwa kazi yake ni kukupoza machungu baada ya kuachwa?
  Kha! Sasa unaona athari ya kutafuta vipoozeo? Umeoa? Bado msela? Kama ukioa kamwe usikimbilie kutafuta mwanamke nje ati ndo atakupunguzia matatizo katika ndoa, unaongeza matatizo juu ya tatizo. Nafurahi yalikukuta haya! Safi sana, ni ili ujifunze. Wala sishangai kusikia ulimkuta na hirizi, labda alikupata hata wewe kwa hirizi. Uliyemkimbilia ukamwacha ukarudi ulikotoka, sasa huoni wewe ni mchafuzi mkuu?

  What's round tatu? Ili iweje?

  Inaelekea una kamchezo hako sana mkuu, kaache mara moja!

  Kamwombe msamaha kwanza uliyekuwa naye awali, usimfiche, mweleze ukweli ambao najua wazi utakugharimu, kisha ukishamwomba msamaha na kumweleza ukweli wa mambo ACHA mara moja tabia hii chafu itakupeleka pabaya sana na utawaua wengi.

  Kisha, kamwone huyo uliyemwendea kama kipoozeo, mweleze ukweli wa mambo na mwambie makosa yako, usifiche, kinachoweza kuwa kinakuathiri si hirizi, ni hisia zako chafu juu ya hirizi yenyewe uliyoiona.

  Aidha, kama uko kwenye ndoa, moja ya vitu vinavyopelekea mwanaume kukosa nguvu ni msongo wa mawazo. Msongo huu wa mawazo unaweza kutokana na kutokamilisha mambo kadhaa, mfano; kutomaliza kazi za kiofisi, kutokamilisha kazi zako binafsi na ukawa unajua unadaiwa kumalizia, kutokuwa na pesa mfukoni n.k.

  Njia mbadala ya kupunguza mambo haya ni kuhakikisha unafanya jambo moja kwa wakati. Ukiwa na mwenzi wako ACHA kufikiria lolote juu ya mambo kama haya, kama wewe ni mzee wa vicheche basi nayo ni athari kubwa sana, unakuwa unafanya tendo hilo ukiwa na mawazo kuwa unaiba na hivyo daima utakuwa na wasiwasi. Jiepushe na uzinzi, kuwa na mmoja unayempenda, kama hamjaoana kaoe. Itakusaidia kuepukana na upuuzi wa kuwa rambaramba.

  Ningeandika zaidi lakini, post yako haijakaa vema, sipendekezi kuwa tabia kama hizo... Nashauri jaribu kubadilika, muda unao, ukiamua unaweza!
   
 4. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na utalogwa sana! Babu yangu aliniusia kuwa ukishaamini kulogwa hata kuku atakuloga.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  well said invisible.
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kale mbegu za matikiti maji utakwenda raundi 4.....kazi kwako
   
 7. laussane

  laussane JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sika we kiboko! sasa round 2 hazikutoshi mpaka unataka 3? unafanyia starehe au kukomoa? aaah ktk starehe ya kawaida 2 zinatosha saaaaana tu! usiendekeze round utajiumiza tu na haujalogwa wewe sema una hulka ya round!
   
 8. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mkuu USIYEONEKANA<
  Sikujua kama na huku kwenye "Uelimishaji Rika" umo. Nilidhani ni kwa akina nyamayao, chaku, mwanajamii one .. tuu..
  duu big points!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Acha kabisa habari za mademu mkuu, utaumia sana tu kisaikolojia. Concentrate na kujijenga kimaisha.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehe duh Invisible umekuwa kama mama yetu mpendwa WOS sijui kajificha wapi.
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yaani hii inachekesha zaidi. ah vijana wa siku hizi, eti anataka round tatu, na wakati kwenye kazi za kujenga taifa hawezi kutia nguvu yote hiyo. halafu aliyekwambia wanawake ni viumbe wa kupoozea machungu yako nani? umelikoroga mwenyewe linywe na ushindwee, usipende kuchezea wanawake wewe, acha kabisa.
   
 12. M

  Msindima JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umenena mkuu,hivi kumbe kuna watu wanaamini kuna kulogwa eeee nawapa pole zao.

  Jamani huyu jamaa vipi,na inavyoonekana hujaoa ukioa wewe hutakuwa mwaminfu kwenye ndoa yako maana ukikorofishwa tu kidogo utaenda kutafuta kipoozeo, hivi tabia gani hizi jamani?
  We kaka mi nimekushangaa eti bao tatu, unafanyia sherehe? na lengo la hizo bao tatu ni nini? ili uonekane mwanaume wa shoka au?
  Kaa jifikirie hayo unayofanya mwisho wake ni nini?
   
 13. M

  Msindima JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Carmel yaani nimemshangaa sana huyu jamaa,nina wasi wasi sana na mwenendo mzima wa maisha yake.Unatia shaka sana.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,477
  Trophy Points: 280
  Just for my personal interest: Carmel we unapenda raundi ngapi?
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,477
  Trophy Points: 280
  Msindima upo mama? Habari za masiku. Nimekumiss upeo. Ulipotelea wapi?
   
 16. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu hajua anataka nini? na hivi amejua unaogopa kulogwa utalogwa sana
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu kama unaishia round 3 na unataka round zaidi niPM nikupe mbinu achana na uchawi ingawa upo oooh kama ulisahau kufuri yako kwake basi mzee utakuja kushtukia unapiga nusu round nayo hufikishi unaishia 1/4 robo tu.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mpwa unataka ufanyaje sasa?
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,477
  Trophy Points: 280
  Mpwa usimpe maarifa hayo. Tutapata wapinzani wengi bana. Acha tufaidi peke yetu.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,477
  Trophy Points: 280
  Mpwa taratibu. Huwezi jua mipango ya Mungu. Hahahah!
   
Loading...