Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

@arusha,baba mngoni,mama mchagga Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku na jibu linabaki kuwa mimi NISINGEKUBALI Wana JF think of mchumba wako ana kesi tena mbaya na anakutaka ufunge naye...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna dada mmoja yeye ni mwalimu na mchumba wake ni mfanyakazi katika bank moja hapa mjini, wapenzi hawa wamekuwa katika uhusiano kama miaka kumi sasa na ndipo wa kamuua kuoana mwaka huu ambayo...
2 Reactions
50 Replies
18K Views
JAMANI NILITUMIWA KWENYE MY OFFICIAL EMAIL ADRESS THIS EMAIL Hello this is Joy who contacted you before at www.jamiiforums.com about > relationship so > its my pleasure TO > CONTACT YOU...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka mpya wa kichina ndio huo umekaribia, katika jamii ya Wachina kila mchina kwa kadri awezavyo anatakiwa kurudi nyumbani kwake. Katika jamii hii ya Wachina wazazi hujisikia sifa na kumkweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wadada wanajituma jamani hadi raha!utafikiri anashida za kufa mtu..overtime job ikitokea ofcn yupo,mpaka sometimes namuuliza,why do u overwok urself?,anajibu thats the way Iam..ukikaa nae...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama wewe si mgeni katika mapenzi utakubaliana na mimi kuwa siku zote raha ya mapenzi ni kupendwa lakini si kupenda.Maana hebu angalia ikitokea umempenda demu/men wewe unayependa muda wote huwa...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Kumbe wakati mwingine unaweza ukamsababisha mwenzi wako akakucheat!Sikia hii,.Mke ni mhasibu wa shirika la umeme tanzania Tanesco,mkoa wa Tabora(sio jina sahihi).Mumemi mwajiriwa serikalini,mume...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Jaman mm sjui kupenda alaf ninae m2, nais kwa kweli ananipenda, nipo nae 2 yrs now. Huwa ata sina ata hali ya wivu kwake na zaidi nimekua nikitaman wengne zaidi ata ya yy. Na hii yote ndio chanzo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani hodi humu jamvini! Huenda swala hili limeshaongelewa huko nyuma ... mimi sijui maana mie ni mgeni. Lakini ni katika kutafuta ufahamu. Je UTANI kati ya makabila ulitokana na nini? Japo dhana...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
tangu juzi nilifunguka wazi kuwa nahitaji girlfrind.mbona imepuuziwa.contact 0782050530
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Inakuwaje wewe kijana wa kiume unaishi kwa kakayako, naye ana mke. Wewe uko pale kwa vile umeshindwa shule, sasa unafanya kuungaunga walau upate pa kujishikiza. Kaka yako na mtoto mdogo, akaamua...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Sexual activities are increasingly changing from the cultural point of view what they used to be. Knowledge of these practices among adolescents may be a basis to create awareness among...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
...you may actually understand why some of us men behave in the way we do. This is from BBC. A sex addict's cold turkey...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali! Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
I'm kind of confused if I'm at the right place or not. Let me say what I think is on my mind if this is the right place. I'm looking for a fiance that if God wishes, we become husband and wife...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Incest: The 'boyfriend and girlfriend' greeted each other with a long lingering kiss when they came on, much to the horror of the audience. Daughter: Britney, 18, said she looked for her...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo... kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi. baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna watu ambao wamefanikiwa kupata watoto bila ya ndoa na wengine wamefanikiwa kupata ndani ya ndoa ambazo hazikudumu. Mzazi yeyote yule ambae anafahamu/anaheshimu na kutimiza majukumu yake hua...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye elimu ya juu wanadharau sana?na hawajui majukumu yao kama wanawake wengine,ambao hukaa nyumbani tu?.Help.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetanguliza ANGALIZO kwamba ni Great Thinkers Membar, ndiyo ningeomba wanichangie katika agenda hii mezani. Mizaha, Utani, Kubeza, Mas'khara, Uchakachuaji wa Thread ni vitu viendeleavyo kukua...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom