Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, Oct 1, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,Jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mama wee!
  Tunaachana hapo hapo na amfuate jamaa wake aendelee kufanyiwa anachofanyiwa.
   
 3. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa hutopenda kujuwa nini hukifanyi ?inawezekana ni kajambo kadogo tu kama vile kukisi vidole vyake vyamikono NK.
   
 4. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Is obvious kuwa pressure itapanda na kushuka ila hata kama utampiga chini ni vema ujikaze upate kujua ni vitu gani ambavyo umeshindwa kumfanyia ila ukautumie huo uzoefu huko uendako.Inaweza tu kikawa kitu kidogo tu kuwa ubadilishe mtandao unaotumia huenda ni wa bei ghali madhali ni Voda uende tigo!!!!
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kabisa bana, haya mambo ya kuogopa umande yaliwakosesha elimu wengi sana... unaulizia tu kilichozidi nini halafu nawe unatafuta mwanafunzi wako mpya...
   
 6. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli jamaa ana mpa raha za dunia ambazo mie siwezi kumpa kinachomfanya asihamie hukohuko ni nini.Ingawa wadau wanasisitiza kujua hicho anachofanyiwa huko,lakini pia ningependa kujua kinachomuweka kwangu ni nini?Kwa kweli no matter what huo ndo utakuwa mwisho wa safari.Hawa viumbe huwa hawanipi tabu na ninamshukuru Mungu kwa kuwaumba wengi
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mazee hapo ni heartbreaking, hasa kama mwanaume unjisikia uko defeated and not good enough, lakini kama mwenzako anamegwa nje, lazima utahisi japo kwa mbali even before yeye kufikia hatua ya ku-disclose huyo wa nje.

  Mie kwenye hilo nitajaribu kujua jamaa anavyofanya na nitatumia njia ya kuwa a better man with good time ili atoe siri zake [lakini moyoni ntakuwa tayari najiandaa kuachia mchuma], then ntajaribu kila hali nifikie ubora wa jamaa.

  Siku atakapokubali nimefikia, then natosa mzigo kwani ile active search itakuwa inaendelea, hapa lengo langu ni kuonyesha kwamba ubora wa haya mambo hutokana na wote wawili ku-share hisia kila wakati na pia kumuonyesha machungu ya betrayals

  Lazma ntamtosa, lakini itakuwa baada ya kuongeza mapenzi na kumuharibia huko nje
   
 8. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2009
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  ubadilishe mtandao unaotumia kama ni Voda pekee, uende tigo pia!!!!
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Kwa nini asiniambie nimkiss vidole ili aridhike? wengi wetu huwa hatuwi wazi kwenye kutaka kuridhishana unataka iwe automatic kuwa mwenzi wako atajua yeye tu jinsi ya kukuridhisha mwisho wake ndio huu...Ni kosa.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Labda karatasi za talaka ziwe zimeisha.
  Ni siku hiyohiyo kwao....shiiit!
  Kwanini asitafute namna ingine ya kuwasilisha jambo hilo hadi a`refer kwa mpenzi wake...!
  Siwez lea upumbavu babaake!
   
 11. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2009
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  makubwa haya ya bata kuvaa nepi
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Huu ni uvunjifu wa maadili, na ni ulimbukeni wa kipumbavu sana ambao watu na akili zao wanaiga bila bila kuchuja na kujua madhara yake.

  Pornography imekuharibuni sana ndugu zanguni.
  Tumeingia kwenye hii teknoloji ya mitandao bila kujiandaa.

  I hate every one who mentions the right words in opposite meanings.

  Tigo itaendelea kuwa Tigo, na ni mtandao bomba.

  Mshindiliwe na mlegee!!
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Now you are talking bra!! tigo ni mtandao bomba! abadilishe tu mambo yatakuwa safi.
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  eeehhh........tupo wengi lakini utakuta huyo ndio umefika mwisho wa reli.....
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda

  Kama anaona kule ndo kuko sawa basi talaka inamfaa ili aende huko apewe hicho anachokipata
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,009
  Likes Received: 23,720
  Trophy Points: 280
  Aaaah wapi, mi lazima anieleze anachopewa ili nami nimfanyie nithibitishe. Akipatwa maruhani naongeza ufundi halafu nasepa. Naenda kuupeleka huo ufundi kwa wengine ili kulipa kisasi.
   
 18. N

  Nanu JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nadhani ilivyoandikwa ni vivyo hivyo. Tigo ni tigo na voda ni voda. Yote ni mitandao na yanafaida zake na hasara zake na pia zina uhusiano fulani fulani, yanalandana ktk mambo fulani.
   
 19. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu huo ulikuwa ni mfano tu wa kukisi vidole,kuna mengi wasichana wetu huyatamani lakini huogopa kutuliza kwa kuhofia tutakasirika na kuwa karipia moja wapo likiwamo scoope diving .
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wewe mbona una roho ya kifisadi kabisa (fisadi wa penzi sio wa EPA)
   
Loading...