Je niachane nae? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je niachane nae?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Oct 22, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wadau wa JF mimi ndugu yenu nina katatizo kidogo kwenye mahusiano na binti mmoja anasoma mzumbe university. Huyu mtoto ni mkali kweli kweli, lakini tatizo lake anaomba sana pesa, voucher na vijizawadi vidogo vidogo. Mimi hii kasumba ya kuombwa ombwa sikuzoea na wote nilokua nao kabla hawana tabia ya kuomba omba hadi niwape mwenyewe. Huyu bwana anaomba si mchezo. Mbaya zaidi ukimtumia hiyo voucher hata hakupigii na utashanga kesho tena anakubip. nimekua nikijiuliza sasa hii credit nayo mtumia anawasiliana na nani?

  Mbaya zaidi nikimwambia njoo basi nami niweze kuliwazika japo kwa kuwa karibu nae, utasikia visingizio kibao, mara nina mitihani, ohh nimefunga chuo lakini naenda kwanza nyumbani, sasa simuelewi kabisa, na pia sidhani kama ananipenda maana nimemmega mara moja tu.

  jamani naombeni ushauri wenu wa dhati maana nafikiria kuachana nae na kutafuta anayejua kumlea mwanaume kijana kama mimi bila ya kua na tamaa tamaa.

  natanguliza shukrani zangu wadau kwa kushiriki kwenu kunipa ushauri
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kwa mabinti wa aina hiyo....wewe ni shefa/mjomba....mtoa fedha. ujue kuna anayemega bila kutoa mia, kuna anayefaidi vocha zako na kuna ambaye ana-show-off naye (tozi flani)

  Sasa amua mwenyewe, kwani uliomba ushauri wakati unamtongoza?
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  sikuomba ushauri lakini sasa si ndo lishanifika mkuu. tena wale mabinti wanaosoma pale chuo ni njaa sana, vinapenda sana pesa yaani imekua ni hulka yao
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Si utafute 1 na uoe tu? utahangaika na hao wa ku-pass time mpaka lini?umeyataka mwenyewe.Unachomiliki mwenyewe kina raha yake,la sivyo kubali kushea na wenzio hivohivo.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kuoa bado mdada maana nami bado nasoma, hata umri haujafikia, lakini kama kijana nahitaji kuwa na mwenza na sasa ndio naanza maandalizi ya kumtafuta wa kuoa, si unajua tena vigezo wengine havijakidhi
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole Gudboy kwa yanayokusibu. sikuzote hawa wasichana wa chuo wana matatizo sana sijui kwa nini yani kati ya kumi 1 au 2 ndo utakuta hawana hizo tabia za kishenzi. wanaeka pesa mbele na zawadi wanasahau kwamba wanamuumiza yule anayewapenda ki ukweli. halafu hata ukimmega haimuumi hivo kwa sababu ndo walivyo ni part ya maisha yao ya kila siku ya chuo.Pia kummega mtu mara nyingi sio kipimo cha mapenzi kwamba anakupenda hiiivo.

  Ushauri: anza kwa kumnyimahivo vitu unavyompa. Zingatia masomo yako. ukija duniani huku baada ya kusoma utatukuta tumejaa tele wenye adabu na wasio na tabia ya kuomba omba hovyo. au imekaaje Gudboy?? and you better be a good boy kama unavyojiita.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Unasoma darasa la ngapi?
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kumbe bado mtoto?Nakushauri achana na ngono zingatia masomo.na Nani kakudanganya huwezi ishi bila demu?
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Si kwasababu mnawapa? au? haidawahi kunikuta ila tabia ya kuomba omba inakera mbaya yani!
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  ZD hujambo mchumba wangu. Habari ya asubuhi. Leo naona watoto wanataka ushauri. Dunia inakwisha.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  ZD usimdanganye! mwache aishi anachoamini......furaha ya maisha inakuwepo kwenye kuishi unachoamini na si vinginevyo.

  wewe ulikuwa humegani ukiwa shule? au ulikuwa unatafuta wa kukumega ukihitai then unalala mbele.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  We ulikuwa unanyimwa? Acha kumbania mwenzio.
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Namwona Carmel kwa mbaali. Hujambo mpenzi wangu. Msaidie huyu mtoto mwanafunzi anayemega mwanafunzi mwenzie.
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nimeamka salama, sijui wewe laazizi
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  JS, no offence intended, ulishasoma chuo chochote?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Sijambo darling. Haya, mshauri huyo mtoto. Kina FL1 najua bado kuamka.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  ZD habari ya asubuhi mchumbangu. Nakuona unachungulia.
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mimi simdanganyi ila hawa watoto sometimes wanapenda mambo ya kikubwa yasiyowahusu.Kuhusu swala la kumegana ,sisi enzi za mwalimu tulikuwa hatufanyi hayo.Ni masomo tu.si unaona maadili yanavyobadilika siku hizi?
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Dogo huyu binti wewe humuwezi hebu niPM utuachie sisi mapedeshee tumgalamie
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mchumba wewe jana uliniudhi na hukuomba msamaha,kwa kunionyesha mbele za watu.Lakini mimi sijambo ,mzima wa afya tele
   
Loading...