Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukikutana na watu wanakimbia huku wanalia na wewe unajiunga nao huku unawauliza wanakimbia nini au unawasimamisha wasikimbie ili wakuambie kinachowakimbiza au unaendelea kwenda kule ambako wao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hello JF, Naomba kueleweshwa hii kwa niaba ya rafiki yangu ambae ana mtoto mchanga wa miezi mitatu mmewe anamwambia kuwa wamzibue mtoto masikio. Je ni kweli huwa masikio ya mtoto yameziba? na ku...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Nategemea kuanza maisha ya ndoa hivi karibuni,nahitaji mafundisho ya Ndoa jinsi ya kuishi na mwanamke kila mtu kwa jinsi anavyojua yeye,unaweza kunitumia notes,kuni PM,kunipa websites na blog na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamann... Mie mwenzenu umri unakaribia kunitupa...sasa nahitaji wife wa kuishi nae .. Yeyote mwenye contacts za msichana mzuri, tall, midweight (60-70kgs), any natural colour, educated ani PM...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Bila shaka JFs wote mu buheri wa afya. Wahenga waenziwe kwa msemo wao wa mficha uchi hazai. Mwenzenu najivua gamba baada ya kumpata diaresti ambaye nilimsaka kupita foramu hii ya jamii. Nilipata...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Napata wakati mgumu ninapokutana na email kama hii,hasa kwenye sparm.Hawa watu ni wakweli au? Dearest one, I am more than happy to read your reply to my mail, How is your day?i hope you...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
natafuta mchumba wa kuwa nae kiukweli nijibu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sio mimi jamani nasikiliza redio ya mama rwakatare watu wanasema shida zao ili waombewe kuna dada anaitwa katherine wa tegeta anaomba maombi yenu ameporwa mchumba wke na binti wa kichaga msilamu...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Unaingia bar ukiwa mpole, mstaarabu na adabu zako zote. Tena kumbuka umetoka kwako kwa heshima kuwa baba kaenda matembezini, ofisini kwako mchana uliondoka kwa adabu zote kama boss. Hapo bar...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi ni kama mkimbizi nyumbani kwangu. Kabla ya kuoa, nyumbani kwangu kulikuwa ndio kimbilio baada ya mihaingaiko yangu ya kutwa nzima, lakini tangu nimuoe mke wangu huyu ambaye nimedumu naye kwa...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka. Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho. Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako. Bwana wee hata...
4 Reactions
104 Replies
10K Views
Ni ushauri tu kwa akina dada: Leo nikiwa njiani kuelekea kwenye deiwaka kulitokea jambo ambalo kidogo ni la kusikitisha. Akiwa kwenye daladala ambayo ilijaza kupita kiasi dada mmoja alianguka...
4 Reactions
76 Replies
11K Views
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mi nahitaji mchumba kutoka Rwanda. Awe na sifa zifuatazo 1. Mcha Mungu 2. Anafahamu Kinyarwanda na lugha nyingine yoyote inaruhusiwa ingawa Kinyarwanda kitapewa kipaumbele. 3. Miaka 21-23...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu KATIKA gazeti la Uwazi, toleo la wiki iliyopita tulitoa habari za mtoto Mustafa Ally, 12, (pichani), mkazi wa Mtoni Mtongani, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
He's got his knickers in a twist: Brazilian councillor proposes law demanding brides wear underwear when they marry Some brides believe their marriages will last longer if they go knicker-less at...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nionavyo mimi ni busara tutumie jukwaa hili kuelimishana mambo ya msingi ya maisha badala ya mizahaa na mambo yasiyo ya kujengana,tuzungumze mambo ya kiroho na mwili pia ili mradi msomaji ajegwe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu wa Jukwaa, Heri ya Mwaka Mpya 2012. Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana ingawa hatujafikia hatua ya mahusiano ya kimwili. Napenda kumwita A. Kinachonitatiza...
0 Reactions
188 Replies
13K Views
  • Poll Poll
.jpg"]...nisaidieni mawazo wanandugu. Baina ya kipato na familia kwa mtazamo wako, kipi unakipa uzito mkubwa kuliko kingine?... ...kabla wenye muono 'tofauti' hamjanitoa jicho, kipato namaanisha...
6 Reactions
91 Replies
8K Views
Back
Top Bottom