Afrika imeharibika - Gay Parade in Ghana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Hivi wAfrica tumelogwa like yale yale ya jirani zetu pale kwa Kibaki? Duh utadhani kina dada kabisa usipoangalia mironjo yao.​

kls-wmk.php

kls-wmk.php


Mapicha zaidi http://www.kenyanlist.com/kls-listing-show.php?id=24952 na http://www.kenyanlist.com/kls-listing-show.php?id=24953
 
Kumomonyoka kwa maadili na ukata wa maisha, utumiaji wa madawa ya kulevya na kukithiri kwa kuto kumcha MUNGU
 
dah...its so sad, waafrika tunaoaminika duniani kwote kwa kuwa na nguvu leo hii tunakua mdebwedo kiasi hicho...? i cant believe this, ingekua wazungu,wahindi,waarabu ingekua poa lakini waafrika duh...hata hatupendezi we chek mwenyewe.
 
Tena hao ni mchana kweupeeee, hapa Bongo at least wanajitokeza sana usiku... tena kwenye Klabu. hawa jamaa wako one step ahead.
 
Some mipipo bana!
Nani kakwambia ushoga ndio unaenea Africa sasa hivi?
Does ''coming out'' mean a thing to you?Social-cultural reforms?Human rights may be?
Na,ni nani aliyekutaarifu kuwa one's sexuality ina uhusiano na waafrika kuwa na nguvu or whatever you thought you were saying?
Think outside the box,work from the edge.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom