kuna mtu yeyote anaweza kuniambia yupi ni baba na yupi ni mama kati ya maharusi hawa?

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
aa6A.jpg
aa5A.jpg
TOP PHOTO: A group photograph outside the registrar's office and on right Chege is shown by the best maid where to keep his money as she presents him dollar notes - "mbeca ci-igagwo nyondo-inî tiga wana wa kurîa mbeca" - Photo by NewsWatch​
aa2A.jpg
aa3A.jpg
aa4A.jpg
Chege show his man the ring on left a
 
hivi hao wanawake waliokuwa kwenye sherehe hiyo na wanaume ni malesbin na magay or hii si kawaida
 
aa6A.jpg
aa5A.jpg

TOP PHOTO: A group photograph outside the registrar's office and on right Chege is shown by the best maid where to keep his money as she presents him dollar notes - "mbeca ci-igagwo nyondo-inî tiga wana wa kurîa mbeca" - Photo by NewsWatch​

aa2A.jpg
aa3A.jpg
aa4A.jpg

Chege show his man the ring on left a

Unefingbelievable!!!!!
OMG the "wife even has some make up on...God help us. Very soon heterosexuals will be a minority, fighting for their rights to marry...its like a huge monster-a hydra- has awoken. This is just a tip of the tip of the iceberg...
 
washikaji wote wa jf nawapa bigup kwa maushauri yote mliyonipa mazuli nitayafanyia kazi mabaya nitayabwaga.BIG UP kwa nyamayao,invisible,mtu b,the boss, kimbweka,shapu,katavi,fidel80,carmel,msindima,firstlady,chrispin,joyceline and many more,keep it up.
 
Kichwa kinaniuma, kwa nini yesu asishuke atuokoe na laana hii!!!!!!!!
 
aaghghhhhhhhhhhhhhhhh,sikujua ni haya majamaa,nsingeklick humu,Wote washindwe na kulegea
 
Hapo mtu kapata cheti rasmi cha ruhusa ya kulawitiwa. Wameipigania sana hiyo haki yao ya kulawitiwa. Na wamepewa, kwa kisingizio cha haki za binadamu.

Hivi watumiaji wa cocaine wakidai haki ya kutumia cocaine, nao pia tuwape? Kwa nini wa cocaine wanakataliwa, wa kulawitiana wanaruhusiwa? Ati ni kwa kuwa anayelawitiwa hamdhuru mwingine? Kwani anayekula cocaine anamdhuru nani, si yeye mwenyewe?

Kuna wanaodai cocaine zina madhara ya kiafya, zinaharibu nguvukazi ya taifa kwa kuzalisha mateja nk. Lakini hata liwati ina madhara kiafya, na inaharibu nguvu kazi ya taifa. Hivi unategemea mwanaume shoga anaweza kufanya kazi za wanaume wa kawaida? Na gharama za kutibu magonjwa yanayotokana na kulawitiana nani anazilipa, kama sio sisi walipa kodi? Na mishoga inapoolewa ilhali ikijua haizai, halafu inataka ku-adopt watoto wa binadamu wa kawaida, huku si kumkosea haki mtoto kwa kumpeleka akalelewe na deviants? Yote haya ni uharibifu wa jamii na kutukosea haki sisi wengine.
 
Inategemea na nchi.Kwa mfano hapa TZ hata huo ulawiti haujaruhusiwa.
pale Netherland wameruhusu madawa ya kulevya na wauzaji wanalipa kodi kama biashara nyingine.Na hata ukahaba umeruhusiwa na wanalipa kodi na wanalindwa.
 
Wewe unaonaje, waruhusiwe?
 
Back
Top Bottom