Ukiona zana mfukoni kwa mmeo utafanyaje?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka.

Swali langu Je wewe mama au dada ukiona CONDOM mfukoni mwa suruali ya mmeo aidha wakati unafua au unapanga nguo chafu ikadondoka utafanyaje?
 
hapa ngoja ninywe gahawa kwanza ili nije nitoe tathimini

" huwa naumia sana ninapohisi naibiwa "
 
kuna dada mmoja alikua anamwekea mumewe condom kwenye bag kila akisafairi, jamaa siku akamuuliza mkewe akamwambia wewe ni mwanaume na huko uendako unakutana na mademu kibao na tamaa inakuwepo, so ni bora nikuweke ili usije kufa kwa ngoma kuliko kujidai hufanyi, so jamaa mkewe yupo free ili kuepusha kuambukiza ukimwi
 
so jamaa mkewe yupo free ili kuepusha kuambukiza ukimwi

Hehehe kwa hiyo jamaa huru kumega huyu dada anamjali sana mmewe big up sana wote igeni mfano huo jamani tutapona kwa gonjwa hili hatari.
 
Hahahaha ndo hapo sasa unakuta packet ya condom imebaki moja mfukoni teh teh teh

Japo inauma

1. Unapata faraja kuwa anajali

2. Ukikuta imebaki moja unajua anatumia sio anabeba tu, maana ukikuta box halafu jipya means alienda nazo hakutumia

Narudia inauma ila kuna kafaraja hako
 
kuanzia siku hiyo na kuendelea lazima tutumie condoms, pia ntakuwa naenda kucheck vvu mara kwa mara kama nimepata naanza kujinywea dawa mapemaa!
 
Duuh kwa kweli inauma sana lakini pia angalau anajilinda na mimba zisizo na mpangilio sio magonjwa tuu
 
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka.
Swali langu Je wewe mama au dada ukiona CONDOM mfukoni mwa suruali ya mmeo aidha wakati unafua au unapanga nguo chafu ikadondoka utafanyaje?

sitafanya kitu nitajua anajilinda anajali, ila roho itaniuma kimtindo, na kuanzia siku hiyo nitamwambia tutumie kinga ili akileta ubishi nipate jinsi ya kumpa vidonge vyake vizuri.
 
Cha muhimu ni kama zinatumika kweli vile inavyotakiwa. Kuwa na kondomu peke yake haitoshi, whether umeikuta mfukoni kwa mumeo au la!
 
sitafanya kitu nitajua anajilinda anajali, ila roho itaniuma kimtindo, na kuanzia siku hiyo nitamwambia tutumie kinga ili akileta ubishi nipate jinsi ya kumpa vidonge vyake vizuri.

mie mpaka sasa sijapata jibu itakuwaje kama nikizikuta hizo zana kwa muzee
 
kweli inauma sana tena sana ila sijui nitafanyaje hadi sasa sijapata picha nini nitakacho kifanya
 
ningekuwa mimi ningemuuliza kwanza matumizi yake
ilikuwa kwa mwanaume ama mwanamke...

akijibu mwanamke ntaangalia
induarance ya CONDOM kamaa ni mbofu mbofu nitamshauri aina nyingine badala ya kukimbilia za bei ya chin..

kabla ya kufikiria kumnunulia box za sheriiiiiii na beibei
 
jamani tusikimbilie tu kuwanunulia mabox ..ulizeni matumizi yake yawezekana kuna mwanaume anachapwa nalo ama anachapwa nalo

ikifika uko mamaruka ukuta kimbia
 
ningekuwa mimi ningemuuliza kwanza matumizi yake
ilikuwa kwa mwanaume ama mwanamke...

akijibu mwanamke ntaangalia
induarance ya CONDOM kamaa ni mbofu mbofu nitamshauri aina nyingine badala ya kukimbilia za bei ya chin..

kabla ya kufikiria kumnunulia box za sheriiiiiii na beibei

ahahahhahaha....funny indeed
 
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka.
Swali langu Je wewe mama au dada ukiona CONDOM mfukoni mwa suruali ya mmeo aidha wakati unafua au unapanga nguo chafu ikadondoka utafanyaje?

Niongezee hapo: Na nyie Wanaume mkikuta CONDOM za KIUME/KIKE kwenye mikoba ya wake/wapenzi wenu utafanyaje??
 
Niongezee hapo: Na nyie Wanaume mkikuta CONDOM za KIUME/KIKE kwenye mikoba ya wake/wapenzi wenu utafanyaje??

Very simple: Nachukua moja naitinga, tunaingia mchezoni, ikibidi tiGo inahusika. Baada ya mchezo, kila mmoja anakamata hamsini zake kwenda kuanza maisha mapya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom