Mapenzi Mapenzi Mapenzi aah jamani aua sababu ya penzi zito kwa...

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..??
katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye after 1 month akaolewa na kijana wa miaka 30 wakati yeye alikuwa na miaka 35
Huyu mama ni jirani yangu tukio la kuolewa ndani ya mwezi baada ya kifo cha mmewe limenifanya niamini ni kweli alimuua mmewe

Nini siri ya penzi la hatari na lenye kutisha namna hiii??

FL
 
Hakuna cha dini hapo Limbani. Ni mapenzi yameua. By the way nimeipenda sana avatar yako, hasa hako kakinywaji.

Chrispin nimegundua una viugonjwa viwili .
1. Pampula
2.. Totoz hazikatizi usawa wako :)
 
Alimuua kwa njia gani? Na ni dini gani huyo mama?

Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha

kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..

Ni penzi au upofu ??
 
Sasa kipi bora, kusarandia mabaameid au kuvuta mwanakondoo ukamchunga kwa raha zako?
 
That is very dangerous. Ila inaonyesha ni jinsi gani binadamu tulivyo wabaya kama wanyama!
 
Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha

kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..

Ni penzi au upofu ??

Inaonekana walikuwa wanabanjua amri ya sita mapema sana! Tatizo wanaume tukifika 40plus performance inapungua mno na wenzetu 30plus mnakuwa more active na woga/usista duu wote unatoka
 
Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha

kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..

Ni penzi au upofu ??
Ki vipi hapo maana umesema "amemua" so kaletewa gonjwa au? na hiyo ndo aliofunga na jamaa ni ya aina gani Kikristo? Kimila? au Kiserikali? vp anakaa na watoto wake hapo au hakua nao?
 
Kimey jamaa aliugua one day na kukata roho watu wasivyo na dogo walidai wakadai my wife katia mkono

lakini kilichoshangaza ndani ya mwezi mmoja mama na jamaa yake serengeti boys wakaanza kuishi kiunyumba pasipo hofu yoyote

hii ndo love iz blind??
 
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..??
katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye after 1 month akaolewa na kijana wa miaka 30 wakati yeye alikuwa na miaka 35
Huyu mama ni jirani yangu tukio la kuolewa ndani ya mwezi baada ya kifo cha mmewe limenifanya niamini ni kweli alimuua mmewe

Nini siri ya penzi la hatari na lenye kutisha namna hiii??

FL

Sijaelewa vizuri,unasemaje inasadikika kuwa alimuua mumewe? Kwani si ni jirani yako? inakuwaje tena utwambie kuwa inasadikika? kama ni jirani yako inawezekana unajua undani wa habari,hebu tupe habari kamili,maana nikijaribu kuisoma hii thread ni kama vile ni story ya kubuni.
 
mkuu hii Nyama Chebaz i wapi??

Dah nitakupeleka mkuu watu tuna funga safari na kwenda kunywa viwanja vya mbali. Hicho kiwanja nakipenda sana upepo mwanana safi sana.

F1 Mapenzi ni kichaa mapenzi ni uwenda wazimu yaani usiugue ugonjwa wa mapenzi utageuka mwehu ogopa sana neno mapenzi F1 yapo na utayaacha.
 
swali langu ni je kama umemchoka mwenzio kuliko kukatili maisha yake kwa nini msikae chini na kuambizana kama love haipo tena mkionana ni kama vile simba na chui ili kila mtu aanze ustaarabu wake ..

kila mmoja aanze kuonja maisha yake binafsi katika mwanga bora ?
 
Inaonyesha wewe hujui kupenda wewe huyo unae sema wampenda kumbe geresha tu muulize MJ1 anavyo teseka utapata jibu.
 
Sijaelewa vizuri,unasemaje inasadikika kuwa alimuua mumewe? Kwani si ni jirani yako? inakuwaje tena utwambie kuwa inasadikika? kama ni jirani yako inawezekana unajua undani wa habari,hebu tupe habari kamili,maana nikijaribu kuisoma hii thread ni kama vile ni story ya kubuni.

Msindima mie sikuwepo wakati jamaa anakata roho nilipika tu kama jirani na kuhudhuria mazishi :)
 
Back
Top Bottom