makubaliano ni muhimu kwenye tendo la"NDOA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

makubaliano ni muhimu kwenye tendo la"NDOA"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Tunatofautiana muda!  [​IMG]
  Wanaume wengi huamini kwamba jinsi wao walivyo tayari kwa tendo la ndoa na jinsi wanavyohitaji tendo la ndoa basi na mwanamke naye yupo hivyo.

  Kama tulivyoangalia huko nyuma, mwanamke na mwanaume wana system tofauti linapokuja suala la sex na mapenzi kwa ujumla.
  Haina maana kwamba mwanaume akiwa tayari maana yake mwanamke naye yupo tayari na hili ni tatizo moja kubwa sana ambalo wanaume wengi huwa hawalioni.

  Hata kama kuna direct route ambayo mwanamke akiandaliwa vizuri anaweza kuwa tayari hadi kufika kileleni bado anahitaji dakika 20 wakati mwanaume huhitaji dakika 2 tu.
  Maandalizi kwa ajili ya tendo la ndoa kwa mwanamke si luxury bali ni hitaji muhimu (need/necessity)

  Kama ni mwanaume unayejali basi kuanzia leo ni muhimu kuongeza dakika 15 kumuandaa mke wako.

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Kama vile wanapigilia misumari![​IMG]

  Kuna tofauti kubwa sana ya maana na mwitikio wa mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke.

  Wanaume kawaida wanauwezo wa kutenganisha mwili na moyo

  (Body and Heart)
  Kwa upande wa wanawake tunaweza kusema wao wamekomaa kimapenzi kuliko wanaume kwa sababu kwao kutenganisha mwili na moyo inakuwa vigumu na wakati mwingine haiwezekani.

  Mwanamke anapompenda mwanaume huanza na hisia za ndani za moyo wake moyo wake then hisia za nje za mwili wake;
  wakati mwanaume anapompenda mwanamke huanza kupenda kuanzia hisia za mwilini mwake kwenda then hisia za moyo wake.
  Ni rahisi mwanaume kukwambia anakupenda kumbe hakupendi anakutamani tu na wanawake wamekuwa wanaumizwa sana na wanawake kutokana na hii style yao ya kupenda kwa kumuweka mtu moja kwa moja kwenye moyo wake.

  Utafiti mwingi unaonesha kwamba wanawake wengi huwa hawafurahii kufanya mapenzi na mwanaume asiyempenda;
  wakati wanaume wanaweza kufurahia na kupata raha ya mapenzi (kufika kileleni) hata kwa mwanamke asiyempenda.
  Ndiyo maana mwanaume anaweza kutembea na mwanamke yeyote hata kama ni mbaya kila idara ukilinganisha na mke wake.
  Ndiyo maana matukio mengi ya ubakaji hufanywa na wanaume.

  Wanaume wanaweza kutenganisha upendo na kufanya mapenzi (love and sex)
  Wanawake hutazama kufanya sex ni kitendo cha ziada baada ya upendo wa kweli na wakati mwingine hufanya mapenzi ili kuimarisha mapenzi kwa mwanaume, wakati wanaume sex ni kwa ajili ya kufurahia tu siyo lazima awe anampenda mwaname anataka kufanya naye sex.
  Kwa mwanaume kufanya sex ni kitu kinachofanywa nje ya mwili (out-of-body experience) kwa sababu viungo vyake vya kufanyia vya sex vipo nje na anapofanya mapenzi anakuwa anafanya kitu kwa mtu mwingine (mwanamke) kama vile kupigilia msumari kwenye ukuta;
  Kwa upande wa wanawake viungo vya sex vipo ndani ya mwili na kwao kufanya mapenzi ni kama kumkaribisha mtu ndani ya nafasi ya ndani yake, hivyo inakuwa ngumu kutenganisha mwili, moyo na hisia zake.

  Kama ilivyo kwa watu wote kwamba mtu mgeni akiingia nyumbani kwako hutajisikia raha kwanza au hutajisikia salama hadi ufahamiane, ndivyo wanawake walivyo.
  Kwa mwanamke kufanya mapenzi na mwanaume asiyemfahamu au mgeni au asiyempenda ni sawa na mtu anayeingilia mipaka ya shamba la mtu, (trespace)

  Kumvamia mwanamke bila kuonesha upendo wa kweli ni sawa na kuvamia mipaka ya mashamba ya watu, au ni sawa na kuingia kwenye nyumba za watu bila kukaribishwa.

  Hivyo wanawake kwao ni ngumu kutenganisha love na sex
  Wanapenda kuwa na ukaribu na mapenzi ya kweli ili kumruhusu mtu kuwa naye kitandani na kuingia kwenye nafasi yake ya siri kufanya mapenzi.
  Ndiyo maana huwa wanajisikia kutumiwa na kuumizwa na mwanaume ambaye haoneshi upendo wa kweli.

  Wanahitaji mwanaume anayewasililiza, anayewapenda, anayewajali, anayekuwa tayari wakati anamuhitaji, mwanaume anayebembelezam, mwanaume ambaye anajua kuwahudumia wao kama viumbe rasmi na maalumu Mungu ametoa zawadi kwa wanaume duniani.

  Swali
  Je Mumeo ni mwanaume anayepigilia misumari tu? au ni mwanaume anayeingia kwenye mipaka ya mashamba ya watu? au ni mwanaume anayeingia kwenye nyumba za watu bila kukaribishwa?

  Jibu
  Jibu unalo wewe kama ni mwanaume una kazi ya kufanya na kama ni mwanamke una kazi pia ya kufanya katika hili, Nawatakia weekend njema.

   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Wororo!  Mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi.[​IMG]Inatoke mwanaume anafika nyumbani kutoka kazini anamkuta mke naye yupo nyumbani anamsalimia then anaenda zake chumbani kubadilisha nguo za kazini.
  Anapata chakula cha usiku (Dinner) then anaanza kutazama TV au kupitia magazeti yake na kuyasoma.
  Muda wa kulala umefika anaenda kuoga na kuvaa pajama zake; mke naye anaenda kuoga na kufanya sawa na mume.
  Wanapanda kitandani, mume anampapasa mke, mke naya anajua mzee anataka maana ndiyo sex code yake akinigusa kwa mtindo huu maana yake anataka tuwe mwili mmoja na anajisikia kama kusumbuliwa maana alikuwa hajui kama mzee atataka kutokana na kutowasiliana hata hivyo anamkubalia.
  Baada ya dakika chache wamemaliza, wapo kimya na mzee anapiga usingizi.
  Mke anajiona kama ametumiwa tu kwani hakukuwa na raha yoyote ni kuumizwa tu kwani mwili haukuwa connected hisia.

  Kuna tofauti gani na chura hapa?
  Kuwa na mahusiano na kimapenzi kwa mtindo huu ni sawa na kuiba akili ya asili ya chura (Frog's love making instinct)

  Mwanaume ni rahisi kusisimka kimapenzi wakati mwanamke huhitaji kusisimuliwa. Mwanaume husisimuliwa na moja ya mlango wake wa fahamu kupitia kuona (sight) wakati nwanamke husisimuliwa kupitia milango yote mitano ya fahamu Kuguswa, kusikia, kuona, kuonja, kunusa na wororo (tenderness) wa mwanaume.

  Mwanaume ni mfano wa bulb ya umeme uki-switch tu mara moja inawaka wakati mwanamke ni mfano wa pasi ya umeme ambayo huchukua muda hadi ipate joto na hutumia muda zaidi to cool off.
  Hii ni muhimu sana ukitaka kuwa mpenzi mzuri na mpenzi mzuri hujua na kuzingatia jinsi ya kumridhisha mwenzake.

  Mwanamke anaongozwa na highway ya emotions, atajisikia vizuri sana kama alikuwa na idea kwamba kutakuwa na kuwasha pasi yake ya umeme mapema.
  Itakuwaje kama wakati wa kuondoka asubuhi mume akampa mke busu la uhakika na kumnong'oneza mkewe kwamba "vipi unaonaje leo usiku ukawasha pasi mapema kwani nina hamu sana kupiga pasi nguo kwani naona bulbu yangu ina mwanga wa uhakika leo".
  Nahisi mke atashinda anaweza jinsi ya kuhakikisha pasi yake inawaka chapchap usiku na ikitokea na mchana akaambiwa neon linguine mwororo inaweza kuwa jioni yenye mwako wa mahaba.

  Kwa mawasiliano mazuri na kupeana quality time mwanamke huweza kufunguka kiakili, kimwili na kiroho na kuwa tayari kwa usiku wa kufurahisha na kuridhishana.
  Ndiyo maana wakati mwingine ukipapasa usiku unaambiwa "baba nanii leo kichwa kinaniuma sana" au "nimechoka sana" au "unapata zero participation na kuambiwa maliza haraka" au pasi inakuwa kavu kabisa matokeo yake ni pasi inagoma kuwaka na kuanza kuumizana.

  Jifunze kuwa mwanaume mwororo (tenderness) wasiliana na mke, tafuta muda wa kumsikiliza, cheka naye, cheza naye, ongea naye, mpe mgusu (touch), mkumbatie na kumbusu hata kama si wakati wa sex ni wako na ni wewe uliamua kuishi naye.

  Mwanaume humtengeneza mwanamake

  SRC
  MBILINYI.BLOGSPOT.COM
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Kama una hamu basi msaidie kazi![​IMG]Katika mahusiano mengi mmoja ya wanandoa huwa na hamu (drive) ya sex na kutaka sex mara nyingi zaidi kuliko mwenzake kwa sababu binadamu tunatofautiana levels za drive ya sex.

  Kama wewe na mwenzi wako mna kiwango kinachofanana cha kuhitaji sex basi ninyi mmebarikiwa na you are luck ones.

  Ukweli ni kwamba suala la sex (sexuality) ni moja ya eneo ambalo ni tete sana katika ndoa, ndiyo maana kukataliwa sex na mwenzi wako huwa ni jambo linaloumiza sana (hasa wanaume) ingawa wapo wanawake wana drive kubwa ya sex kuliko mwanaume ambaye siku zote anaonekana anahitaji sex 24/7.

  Hata hivyo kuna sababu za msingi za kibaolojia zinazopelekea mmoja wa wanandoa kuhitaji sex zaidi ya mwenzake.

  Nini husababisha hamu ya sex?
  Hamu ya kutaka sex husababishwa na homoni ambayo kitaalamu huitwa testosterone.
  Wote wanaume na wanawake wanayo hii homoni kwenye miili yao.
  Wanaume wanayo nyingi zaidi kuliko wanawake kwa sababu wanawake wanayo homoni nyingine inayojulikana kama estrogen.

  Msingi ni kwamba kiwango cha testosterone ulichonacho mwilini huweza kuelezea ni kiasi gani au hamu ya sex itakuwaje.
  Ukiwa na kiwango kikubwa unakuwa na sex drive kubwa na ukiwa na kiwango kidogo unakuwa na sex drive ndogo.

  Mbili ya tatu (theluthi mbili) ya wanaume wana kiwango kikubwa sana cha testosterone na hii husababisha wao kuwa na hitaji kubwa la sex (stronge sex desire).
  Moja ya tatu ya wanaume wana kiwango kidogo cha testosterone na husababisha wao kuwa na low sex drive.

  Kwa upande mwingine mbili ya tatu (theluthi mbili) ya wanawake wote wana kiwango kidogo cha testosterone na husababisha wao kuwa na kiwango cha kawaida cha drive ya sex na moja ya tatu (theluthi moja) tu ndiyo wenye kiwango kikubwa cha testosterone na hawa huwa na sex drive kubwa.

  Hii ina maana kwamba mbili ya tatu ya wanaume wenye strong sex drive huishia kuishi (kuoana) na wanawake ambao wana sex drive kidogo na wapo wanaume hujikuta wapo ndani ya nyumba na wanaume (theluthi moja) ambayo sex drive ni ndogo sana.

  Je, ni homoni peke yake husababisha kutokuwa na hamu ya sex?
  Siyo homoni peke yake ndiyo inayosababisha mwanamke au mwanamke kuwa na sex drive ndogo kuna vitu vingine vingi huweza kufanya sex drive kuwa ndogo kama vile kuchoka na kazi, kulea mtoto, migogoro katika ndoa, nk.

  Pia ni jambo la msingi kutambua kwamba kwa mwanamke suala la maisha huchukuliwa kwa pamoja kwa maana kwamba yupo connected na kila eneo la maisha yake kama vile familia, kazi, sex nk.

  Kama mwanamke amekuwa na siku mbaya kazini au amekuwa na wakati mgumu na watoto wake ni ngumu sana kujisikia ana hamu na sex.

  Wanawake huhitaji muda wa kuondoa masumbufu au kusafisha mawazo yao kabla ya kujihusisha na sex na hii hufanywa na mwanaume ambaye kwake ni mtu wa karibu.
  Mwanamke huhitaji kuwa connected na mume kabla hajawa tayari kujiingiza kwenye masuala ya kuwa mwili mmoja.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  "Ni round siyo square"[​IMG]Kabla ya wiki 8 za kwanza za mimba sehemu za viungo vya uzazi; mtoto (fetuses) wa kike na kiume huonekana sawa kimaumbile katika uzazi, baada ya hapo mtoto wa kiume huanza kutoa testosterone ambazo husaidia huwezesha uume kujitokeza zaidi kuliko motto wa kike.
  Hivyo basi kilivyo kisimi na uume hufanana na vyote hufanya kazi sawa kutoa raha ya mapenzi na kufika kileleni (orgasm) linapokuja suala la mahaba.

  Kama kisimi ni zaidi ya uume kwa raha ya mapenzi kwa nini baadhi ya wanawake wakisisimuliwa kisimi bado huwa hawajisikii raha?
  Utangulizi:

  Jibu:
  Hakuna tatizo lolote na hao wanawake ingawa ni kweli kisimi/kinembe ni kiungo maalumu na cha tofauti sana kwenye mwili wa mwanamke.
  Ila kumbuka kila mwanamke na mwili wake ni tofauti na mwanamke mwingine, wengine hupenda na kujisikia raha kisimi kikiguswa kwa nguvu, wengine si kwa nguvu sana, wengine kubusiwa, wengine kunyonywa, wengine kikilambwa, wengine kikisuguliwa na wengine hawawezi kupata raha hadi kifanyiwe mazoezi kwa muda zaidi (baada ya miezi na miaka kadhaa).

  Pia kumbuka wapo wanawake amabo huwa hawasikii raha hasa mwanaume akiwahi kisimini kabla ya kusisimuliwa sehemu zingine kama matiti nk kwani huko kuna nerves 8,000 so ukigusa haraka anaweza kurusha rocket mwezini.
  Pia kuna wanawake ambao ni mbumbu kuhusu sexuality na miili yao mfano kama anaamini unampotezea muda kuhangaika na kisimi chake, je unadhani atapata raha yoyote?

  Sex huanza kwenye mind kama ameweka password kwenye mind yake utafungua vipi?
  Kumsisimua mwanamke huhusika moja kwa moja na ubongo wake au nini unaongea naye wakati mwingine hata kabla ya kuingia chumbani au kitandani.
  Ili asisimke inategemea sana nini unaongea kwenye sikio lake, kile unamnong'oneza kina maana sana katika kuuandaa mwili wake, kama hujajua kuongea maneno fulani fulani ambayo huongelewa kwenye sikio la mwanamke kabla ya sex basi huna budi kujifunza.
  Jinsi unavyoweza kumsisimua kabla hata nguo hajavua utakuwa na kazi rahisi sana wakati akiwa hana hata nguo moja na hii itakurahisishia yeye kutaka zaidi.

  Kama umeoa mwanamke ambaye hajijui mwili wake na kisimi kina kazi gani kwake jaribu hii na unaweza kuwa mbunifu zaidi ukiongeza skills inazozijua wewe.
  Kwa kuwa unajua kisimi ni nini na kipo wapi hongera maana umeshapiga hatua kubwa on this game, hakikisha ame-relax, ungana naye kuhakikisha miili inapata joto la mahaba kimwili, kiroho na kiakili.
  Jisikia comfortable, hakikisha unapumua vizuri na ukitaka hakikisha mnapumua pamoja sare na deep , ukiweza mfanyie massage mwili mzima kuanzia kichwa hadi vidole vya miguu, anza kwa kutumia ncha za vidole vyako na baadae kwa kupalaza viganja na mikono yote.
  Sasa hakikisha unalishikilia vizuri hekalu lako, uso, shingo, masikio, mabaga, mikono, kifua, matiti, tumbo, mgongo, mapaja na miguu hadi vidole.
  Huku ukimchunguza kama vile umewahi fanya kazi FBI angalia kama yupo relax na amesisimuka ( anapumua kwa nguvu zaidi, chuchu zimesimama, na south pole kunalowa kimbiza mikono yako kwenye kuta za uke na kisimi.
  Ukiaona bado hajisikii raha kwenye kisimi chake, rudi ground zero kichwani tena kwa kumbusu sawa kama ulivyompa massage.
  Then rudi tena kwenye kuchezea kisimi kwa skills zote
  Then fanya unachojua wewe!

  Jinsi ya kusisimua kisimi.
  Vidole:
  Kwanza mikono lazima iwe safi na kucha fupi zilizokatwa vizuri zisizo na mikwaruzo yoyote wala ncha mpya kali.
  Na kabla hujatujuliza vidole au kidole chako hapo hakikisha unapita kwanza kusalimia sehemu zingine kama mapaja na eneo zima la south pole (uke).
  Kujua ni pressure kiasi gani utumie wewe si bubu muulize mkeo anaweza kukujibu kwa kukunong'oneza au kwa kukupa signal, kumbuka kuna aina ya kuchezesha vidole au kidole iwe duara au square na kama hukusoma geometry au vector basi rudi shule maana hapo ndo application yake.
  Kumbuka hilo ni eneo sensitive kuliko eneo lolote katika mwili wa binadamu hivyo usicheze rough.

  Kinywa.
  Wapo ambao kwao sex si uchafu na huweza kutumia viungo vyao nyote katika mwili na kwao kufanya hivyo ni kuwa karibu zaidi kati ya mke na mume na ni mwili mmoja na zaidi tendo la ndoa ni kuwaunganisha wawili kimwili, kiakili na kiroho hivyo si kuingiliana tu bali kuwa kitu kimoja.
  Kwa kuwa ulimi ni kiungo au msuli imara (strong) kuliko yote katika mwili wa binadamu basi kisimi kikikutana na ulimi mbingu hufunguka na watu kurushwa International Space Station bila kujijua basi kama umejazwa Roho Mtakatifu unaweza kunena kwa lugha kwa raha inayotokea.
  Lubricant ya asili iliyopo kweny ulimi na joto la kinywa hutoa sensation ambayo ni kama dream team pamoja na kuzungusha ulimi kwa skills zote mke wako atakutana na lift itakayomnyenyua hewani kuelekea kileleni.
  Kumbuka
  Cleanness is second to godliness

  Uume
  Uume ni toy la mwanamke yeyote ambaye ameolewa, this is favorite toy; uume unaweza kuingia kwenye game la kuchezea kisimi.
  Ila jiangalie usije maliza haraka kwani kusugua kisimi kwa uume huweza kuupa uume sensation za kupelekea kumaliza haraka.

  Conclusion
  Kufahamu kuhusu kisimi kwa mwanaume au mwanamke ni kuonesha kwamba ume-invest vya kutosha kuhusiana na raha ya mapenzi ya mke au mume wako, kitu cha msingi ukijua utakuwa na tendo la ndoa ambalo linaridhisha na zaidi kila mmoja atamuhitaji mwenzake kila mara.

  Kumbuka ukiwa na mwanamke anayeridhika kimapenzi na yeye atahakikisha anakuwa na mwanaume anayeridhishwa kimapenzi pia na hutauliza hili kwake maana anajua.

  Without geography we are no where,
  bila kujua geography ya mwanamke huwezi kumfikisha pale anahitaji kufika kimapenzi.

  Ubarikiwe!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Kabla ya hili tunda kuliwa kuna umuhimu wa kuhakikisha linaandaliwa kwa uhakika na wewe unayetaka kulila ili uweze kulifaidi vizuri, si suala na kukurupuka na kulivamia bila maandalizi mazuri na ya kutosha.[​IMG] Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la tendo la ndoa au kufanya mapenzi au sex.
  Je, maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni nini?
  Ni kitu kinachofanyika kati ya wakati mmetoa nguo zote na kabla ya mwanaume kuingiza uume kwenye uke.
  Ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hadi mnakuwa mmesisimka vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.
  Ni kuuungana kihisia, kiroho na kimwili kwa muda wa kutosha kabla ya tendo la ndoa
  Ni msingi na kitu muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata tendo la ndoa lenye kuridhisha.
  Ni sanaa ya kuelezea upendo na kukaribishana kwa ajili ya tendo la ndoa.
  Ni muhimu kwa ajili ya kumwandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa.
  Ni kumhusisha partner wako vizuri zaidi kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba yeye kujiona mtu maalumu kwako
  Ni aina ya meditation (kutafakari) ambapo hukusahaulisha na mambo ya dunia (ulimwengu wa nje) na kuondoa strees na kukuwezesha ku-focus kwenye mapenzi moja kwa moja (connection)na yule umpendaye.
  Pia kusoma maandishi yanayosisimua, kuangalia video na picha zinazosisimua na maongezi yanayoosisimua kimapenzi ni foreplay pia.


  Je, tofauti ya kuwahi kusisimka kwa mwanaume inaweza kuleta tatizo?
  Wanaume wana mzunguko mfupi sana kuamshwa kimapenzi (arousal), wakati wanawake wanamzunguko mrefu sana katika kuamshwa kimapenzi.
  Ingawa pia uwezo wa kusisimka na kuamshwa kimapenzi unategemaa sana mambo yafuatayo:-
  Umri - unavyozidi kuzeeka homoni hupungua hivyo kutumia muda zaidi.
  Afya - kama unaumwa na dhaifu unahitaji muda zaidi.
  Uzoefu na malezi - kama umelelewa na kuelezwa kama sex ni mbaya kazi ipo
  Kuna matatizo mengi hujitokeza hasa kutokana na tofauti kubwa ya mzunguko wa kusisimuana na kuamshwa kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke na hii hupelekea hata baadhi ya wanandoa kujisikia vibaya na kutokupenda kabisa tendo la ndoa.
  Kwa kuwa wanaume ndiyo husisimka haraka na kumaliza tendo la ndoa mapema kuliko wanawake ambao wakati mwingine kwanza ndo wanakuwa waanaanza kusisimka na kupata raha ya tendo.
  Suala la msingi ili kuondoa matatizo ni wahusika kuwa na elimu au sayansi ya mwili na tendo la ndoa linavyokuwa.
  Kama wote ni vilaza (mbumbumbu) na hawajui sayansi ya miili yao basi, mwanaume anaweza kudhani kwamba mwanamke anashindwa kuitikia msisimko anaompa, wakati huohuo mwanamke naye anaweza kudhani ana matatizo kwa kushindwa kusisimka haraka sawa na mwanaume anavyosisimka hivyo kukata tamaa na kujiona wote wana kasoro kumbe ni mzima na tatizo ni ufahamu wa miili yao wenyewe.
  Hii tofauti ya kusisimka kimapenzi wakati wa tendo la ndoa wakati mwingine hupelekea kuathiri kabisa maisha ya mahaba kwenye ndoa hadi pale wote watakapofahamu vizuri mwitikio wa miili yao linapokuja suala la sex.

  Je, unamchukua mwanaume dakika ngapi kufika kileleni?
  Kawaida mwanaume inamchukua dakika 3 tu kuweza kufika kileleni tangu asisimke kimapenzi, wakati mwanamke humchukua zaidi ya dakika 15 kufika kileleni tangu asisimke, hii ina maana kwamba bila maandalizi mazuri ya kusisimuana mwanaume huweza kufika kileleni hata kabla mwanamke hajaanza kusisimka na muda ambao mwanamke alitakiwa kufika kileleni mwanaume anakuwa tayari alishamaliza kazi zamani.
  Utafiti unaonesha ni asilimia 20 au 30 tu ya wanawake hufika kileleni na tatizo kubwa ni kutokuandaliwa vizuri na wapenzi wao (wanaume) na maandalizi mazuri ndiyo siri pekee ya mwanamke kufika kileleni na hatimaye kufaidi utamu wa tendo la ndoa.
  Mahusiano mazuri maana yake ni wawili ambao wanatimiziana mahitaji muhimu na hitaji muhimu katika ndoa ni pamoja na tendo la ndoa.
  Suala la tendo la ndoa lina umuhimu sawa na maeneo mengine katika ndoa kama kazi, chakula nk.
  Ni muhimu kuwa na maarifa kuhusu mwili na tendo la ndoa kwani waingereza wanasema
  Knowledge is Power

  Je, ni makosa gani (deadly) ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke?
  (i) Kuwa na haraka
  Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
  Wanawake hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.
  Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.

  (ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezea
  Zaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
  Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akuguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
  Tumbo, ******, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma
  (kutumia mtandao wa Vodacom au tigo ni dhambi kubwa kabisa tena ukome kama una hayo mawazo, mwenye hekima na afahamu naongea nini)
  Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
  Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.

  (iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno matamu na kumsifia
  Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.
  Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile) na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty words husaidia kumsisimua na kupa nyege zaidi na maneno ya sifa husababisha atoe juice zaidi.

  (iv) Kubusu kwa kinyaa au bila Ustaarabu
  Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
  Kumbuka kuna msema ambao husema
  CLEANNESS IS SECOND TO GODLINESS


   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  UMUANDAE TAFADHALI

  Mimi ni ijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 natagemea kuoa miezi miwili ijayo kwa ndoa takatifu.
  Napenda kujua nini cha kufanya kumwandaa mwanamke siku nikiwa honeymoon kwani hii itakuwa mara yangu ya kwanza kuwa na mwanamke (mwili mmoja)
  Je, unaweza kunipa tips muhimu kumuandaa mwanamke kabla ya tendo la ndoa?


  Kwanza nakupongeza sana kwa kuwa umegundua umuhimu wa kumwandaa mwenzi wako (foreplay) ambaye kwanza ni kifaa kipya kabisa na hii itakuhakikisha anapata muda wa ku-relax na kuwa na mood kwa ajili ya tendo takatifu na matokeo wewe pamoja na mwenzi wako mtafurahia.
  Kitu cha msingi kabla kuwanza kuwa mwili mmoja ni vizuri kuwa na maombi kwanza kwa sababu ndo yako ni takatifu.

  Kumbuka wewe mwanaume ndiyo kiongozi, mnaweza kuanza kwa kila mmoja kuomba mwenyewe kwanza then baada ya muda unaweza kumsogelea mwenzi wako na kumshika mikono ya kuanza kuomba pamoja (kushukuru kwa Mungu kufanikisha ndoa yenu na zaidi kuombeana ili muweze kuwa mwili mmoja.)
  Baada ya kushikana mikono unaweza kuendelea kumkumbatia huku mnaendelea kuombeana hadi mnamaliza sala yenu.

  Baada ya hapo kuna njia panda unaweza kuendelea naye hadi mnakuwa mwilim mmoja au mnaweza kumaliza maombi na kuendelea na processs za hapa chini.

  Kumwandaa mwanamke kuwa mwili mmoja huanza kwa maneno, ongea kile ambacho kitamfanya damu yake kuwa hot.
  Pia matendo huweza kufanya kitu cha maana zaidi kuliko maneno, wakati unampa maneno mguse kwa kupalaza (lightly) kwenye mwili wake wanawake husisimka kwa kuguswa wakati wanaume kwa kuona; tembeza mkono kama mawimbi unapoongea au kutoa zile hadithi zako za kumtengeneza mood, huku ukiwa karibu kiasi cha nywele zake kugusa uso wako.

  Wakati wa maongezi mguse kwa wororo (tenderly) anza kuingilia himaya yake (siyo sehemu za siri – private parts) bali private space.
  Unaweza kugusa mkono wake au kuondoka kitu chochote kwenye nywele zake au uso wake (hata kama hakipo we si unajua unafanya kitu gani) au unaweza kushika mikono yake (au vidole ) na kufanya massage kiana kwa kutumia vidole vyako.

  Anza kumsifia jinsi alivyo ukianza na nguo au kitu chochote amevaa (hapo ndipo ugonjwa wa wanawake wengi ulipo) sifia sura yake na vile alivyo kama vile nywele, kucha, lips na vingine unavyovijua wewe, sifia kwa uhakika na kiukweli anyway ni kweli ur wife is so beautiful ndo maana upo naye hapo.

  Jihusishe naye zaidi kwa kumgusa (touching) katika njia ambayo si ya kuashiria unataka sex pia kwa hatua kama hii usithubutu kumbusu yeye bali yeye ndo utakuomba umbusu.

  Maongezi yako yanatakiwa sasa kuwa ya kimahaba zaidi, tumia sexy words, mwambie unavyojisikia kihia (feelings) ongea kwa ulaini ili akuelewe kirahisi, unapoongea mnong'oneze kwenye makisio yake kama vile unamwambia siri hata kama mpo chumbani wawili tu.
  Wakati unamnong'oneza sogeza zaidi lips za mdomo wako kwenye masikio yake na kugusisha na kumpa kabusu ka kiaina halafu achia kumruhusu yeye kujiachia kwako zaidi na kukung'ang'ania zaidi.
  Ukiona anakuegemea zaidi ongeza kabusu kengine kwenye sikio huku ukimwambia maneno matamu na yanayovutia ya kimahaba.
  Ukiona joto lake linazidi sasa usifanye kosa anza kusambaza mikono yako na kumgusa kila eneo la mwili wake (kiwanja kizima) lakini usiguse matiti, au chini (sehemu za siri) bali tumbo, mgongo, shingo, mikono, miguu, kidevu nywele nk.

  Anza kusambaza busu lako kuanzia kwenye lile sikio, shingo, kinywa huku yeye akiendelea kukuinamia na wewe unaendelea kumpoa soft kisses baada ya hapo naamini moto maji yataanza kuchemka kiasi kwamba kupoa itakuwa kazi nzito na ukiona
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  P didy ungetuwekea tu website address ya Mbilinyi ili tukasome wenyewe tungekupunguzia kazi kaka/dada kuliko kuhamisha topics zake na kuja kuzijazza humu!
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Good discussion.

  Leka
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  asante sana kwa mada hii ,
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hiyo red inatia matumaini. Lol!
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  ATUTAWEZA PATA MICHANGO YAKO MKUU...atuleti hapa kumjulisha mtu..ila kuchangia kila mtu hiyo web mbona nimeiandoka sana ndugu hapa zaidi ni kupata michango ya watu kila mtu ana ujuzi wake sehemu fulani.......
  karibu kaka
   
Loading...