Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Oct 16, 2009.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
  1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
  2. Sura 50/50 tabia njema
  3....
  4....
  5....
  10....

  FL1
   
 2. M

  Msindima JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Binafsi napenda aonyeshe kujali.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  brain
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mbona mnafanyiwa hayo lakini bado mnatoka nje ya mahusiano kwa kasi ya ajabu ?
   
 5. K

  Kyatsvapi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 316
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Wanaume tu viumbe tunaopenda 'changes' muda wote. Hatuwezi kutumia kitu kimoja (ambacho kwa jinsi kilivyokuwa jana, ndivyo kilivyo na leo, na hata kesho unajua kitakuwa vivyo hivyo). Hii ina maana kuwa kama wanawake watakuwa wabunifu katika mahusiano (kwa maana ya kufanya kitu kisizoeleke), basi wanaume hawana haja ya kwenda nje. Kwa nini ukatafute vitu vipya nje, tena mbali ilhali hivyo vipya unavyo ndani?
  Wanawake wengi huwa wanakuwa wabunifu siku za kwanza za mahusiano (wanafanya kila kitu kipya). After a while, sijajua ni kwa nini, wanakuwa 'constant'.
  Mfano; Upo katika ndoa. Mpangilio wa sebule yako uko vilevile kwa muda wa hadi mwaka (Unaweza hata kuichora sebule yako hata ukiwa mbali na nyumbani). Wanaume wakizoea hali hii, hawatatulia 'home' hata kidogo. Watatoa visingizio ili mradi tu aende hata kwa marafiki zao ili wakaone vitu vipya.
  Mwisho: Umbile na uzuri wa nje, vyaweza kuwa sababu ya wanaume kutulia. Lakini si mara zote.
  -Tafakari-
   
 6. sifa

  sifa Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sasa kwani wewe huwezi kumsaidia mkeo idea ya kuchora sebule yenu? Jamani kwenye ndoa mnasaidiana na kuelekezana.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  SIFA nimechangia kwenye MADA moja hapa nikaonesha jinsi ninavyomsaidia mamsap kuna mtu kanishauri niende kwa MGANGA eti nimewekewa dawa Inaonesha kwa mwanaume kumsaidia mwanamke eti LIMBWATA, lkn kwenye nyumba ndogo huko watu wanajituma balaa kuna zee moja lilikuwa Wizara ya MAJi enzi hizo na MIFUGO alikuwa na nyumba ndogo yake inasoma magogoni na inakaaa pale Hostel ya KICHWELE buguruni yule mzee hata apigiwe simu saa nane ya usiku atatoka kumfuata yule demu hapo kamuacha mke wake amelala home, hizi ni tabia tu mbaya za wanaume Msaidie mwenzio kupanga hiyo sebule au hata room kama kitanda kilikaa mtindo huu basi weka mtindo mwingine mwenzio akija anakuta mabadiliko
   
 8. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi mwanamke hata akiwa na kilakitu(kakamilika)utashangaa nitataka kwenda kujaribu kilema nione naye anakipi?Nikiona vipi nawatafuta akina Semanya ili mradi nisipitiwe na ladha tuu!!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mchajikobe umenichekesha hapa nilipo ahaaa ahaaah aahaha du iko kazi
  kwa hiyo hata mtu ajitahidi kukufanyia maarifa ya kila namna lazima ukatest zali nje
   
 10. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  na wewe uwe mbunifu kwenye mapenzi usitegemee kubuniwa kila siku.
  wakati mwingine na wewe unakuja na idea leo tufanye hivi, siyo unakaa tu unataka kila kitu ufanyiwe hata wanawake tunapenda wanaume wabunifu.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda mwanamke aliye mkarimu. Mwenye maadili yanayokubalika na jamii kwa ujumla (mainstream society). Mwenye maarifa ya kawaida (common sense). Anayejiheshimu na kuheshimu wengine. Mwenye hulka na tabia za kike (feminine). Haivutii hata kidogo kuwa na mwanamke anaye-act kama dume. Big turn off!!

  I don't ask for much. Akiwa na sifa hizo tu mimi niko tayari to take the bad with the good.
   
 12. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sifa zote ulizozitaja mimi ninazo sasa upo tayari??
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  NiPM...
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kuna baadhi ya wanaume ni viumbe vya ajabu, hata apate mwanamke mwenye tabia nzuri, sura nzuri, umbo zuri na elimu lakini bado atachomoka kwenda nje. Hivi viumbe kuridhika ipo tabu.
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
  2. Sura 50/50 tabia njema
  3....
  4....
  5....
  10.LIMBWATA

  Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa, Dada FL1 hilo muhimu ingawa wengi wataponda
   
 16. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  FL1 hebu mwaga SIFA zako hapa ili tuanza na wewe, halafu mi nilishakushauri huyo jamaa achana nae atakupasua kichwa bure, mbona tupo tupo watu kibao hapa, PM
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mwanamke yeyote yule atayekuwa na sifa tofauti na mama watoto.

  ...i.e, hata mama watoto akiwa na sifa zote, mwanamke yeyote (iwe ni house girl, Barmaid, changudoa, secretary, co worker, hata intern kama Monika Lewinsky etc) almuradi mwenye sifa tofauti na mke, anavutia!

  Habari ndio hiyo!
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hata kinywa kuna siku kinachoka nyama na kauzu, kinatamani ngogwe!

  kwanini kuikalifisha nafsi bana?
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Haya wakaka!
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Dah, mkuu ndo kuisha kwa mfungo ama nini..hebu taratibu na hizi 'kauli' tusije tukajikwaa bure!
   
Loading...