Wadada mnapenda tutokeje...

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Wana MMU,

Wote mnafahamu umuhimu wa first impression especially kwenye ki date. Kipindi nina date date nilikuwa kabla sijatoka lazima nijicheki jicheki najiuliza atanionaje nikivaa hivi?

Nauliza wadada hivi ni swaga zipi kwenye First date utazifagilia? (Assume ni weekend )

1)Casual simple (Mshikaji katupia Jinzi na shati mkono mrefu na snickers au viatu casual)
2)Simple kawaida(Jinzi na Tshirt simple tu labda na saa mkononi , chini viatu casual au snickers)
3)Formal ( First date jamaa katupia suti tayari, halafu we binti unatokea na jinzi na T-shirt :lol:)
4)Too simple ( Kaptula , sandels na T-shirt)
5)African attire (Jamaa katupia kanzu ya ki Nigeria, au shati lina picha za pundamilia na sandels)
6) Official kidogo (Shati na suruali kitambaa kachomekea , chini moka)
7)Complicated (Mchizi kaweka suruali tumboni (Papaa ya motema na bandeko), Viatu vya bluu, shati la njano ,suruali nyekundu)
8)Cheki bobu aka Sharobaro (Jamaa kaja na suruali zao hizi za pinki, T-shirt yani inambana baala, Viatu vyao vile vya ulimi nje kama mbwa wa polisi):biggrin:
 
No mbili na no sita kidogo
Ila inategemea toka mwanzo wakati mshaonana alikukuta na hali gani
Maana nafikiri kama ni date mshakutana katika mazingira mbalimbali na akakuona mivao yako na akajua na kazi yako na the way unavyotoka
Ya kwangu ilikuwa more casual maana was weekend na always weekend niko kwenye No 2 sana
 
Kaa as natural as possible. Kama kawaida yako unavaa suti mara 5 kwa wiki usilazimishe short and sandals.
Nataka nikuone kama ulivo, hakikisha upo comfortable.

Mwali hapa umesema
Sidhani kama hujazoea kuvaa suti siku hiyo ukaazime suti ya mtu kisa una first date
Au hujazoea kuvaa short miguu yako kama chelewa ulazimishe kuvaa kaptula na sandals
Kuwa simple as u can na usilazimishe mambo
Kuna wengine mpaka perfume ambazo sio zao wanaenda kuazima au kuazima nguo kwa watu kisa aonekane tofauti kitu ambacho sometime kinapoteza ule uhalisia wako au umakini wako au kujiamini kwako kwa kuwa kile ulichovaa au ulichipulizia hujakizoea
Date ni yale ambayo mnaenda kuyafanya na kujiamini kwako kuwakilisha ujumbe muonekano wa nje usitafute sana kuubadilisha zaidi ya vile ulivyozoea au ulivyozoeleka
 
Wana MMU,

Wote mnafahamu umuhimu wa first impression especially kwenye ki date. Kipindi nina date date nilikuwa kabla sijatoka lazima nijicheki jicheki najiuliza atanionaje nikivaa hivi?

Nauliza wadada hivi ni swaga zipi kwenye First date utazifagilia? (Assume ni weekend )

1)Casual simple (Mshikaji katupia Jinzi na shati mkono mrefu na snickers au viatu casual)
2)Simple kawaida(Jinzi na Tshirt simple tu labda na saa mkononi , chini viatu casual au snickers)
3)Formal ( First date jamaa katupia suti tayari, halafu we binti unatokea na jinzi na T-shirt :lol:)
4)Too simple ( Kaptula , sandels na T-shirt)
5)African attire (Jamaa katupia kanzu ya ki Nigeria, au shati lina picha za pundamilia na sandels)
6) Official kidogo (Shati na suruali kitambaa kachomekea , chini moka)
7)Complicated (Mchizi kaweka suruali tumboni (Papaa ya motema na bandeko), Viatu vya bluu, shati la njano ,suruali nyekundu)
8)Cheki bobu aka Sharobaro (Jamaa kaja na suruali zao hizi za pinki, T-shirt yani inambana baala, Viatu vyao vile vya ulimi nje kama mbwa wa polisi):biggrin:
Akiwa na mwonekano wa no 2 hapo,
Twaweza kaa mahala na kupiga stori mbili tatu lol!
 
wadada tupeni maujanja basi.

kwangu mimi ukitokea kisharobaro utanikera zaidi 1&2 poa suti na kaptula sio kwa first date hiyo ni kwa mtoko wa matembezi kwa watu wenye mahusiano halafu una mguu wa kuvalia hiyo kaptula kama Fernando Torres huku umevaa soksi na raba bomba sio unakuwa kama mwichi umechomekwa kwenye kinu.
 
no 1 na 2 imetulia,
ila jitahidi kuwa ww yan sio unaleta pozy za kina kanumba tena. be yourself . usifake fake mambo sio ishuu.
 
mtu anakuja katoka na mikanzu ya kinaigeria eti,usafiri bajaji jamani ? khaaa
 
Mimi napenda mwanaume anaeweza vaa vyovyote vile... for ni gurantee kua anaweza mazingira yoote na anaishi according to circumstances... nataka ikiwa weekend tumeenda for a stroll avae casual, napenda kama anaenda ofisini na ni ofice work avae formal, napenda kama ni field work avae ki-field work (ambayo mara nyingi ni casual OR Formal casual napendaga kuita) napena kama tutaongozana tunaenda kwenye sherehe kama ni cock tail basi atoke na suit ya Cock tail, napenda kama siku hio twaenda kuangalia shamba letu avae casual na ikiwezekana atupie hata shamba boots, napend kama kashinda siku hio nyumbani awe free na awe him self, kama atavaa kaptula/pensi, kama atavaa mshipi then well and good. Na of coz sitapenda avae chochote kama ni usiku (I kid). Enways mwanaume wa kung'ang'ania vazi la aina moja tu kila mahala... It tells a lot na pia inafanya kua awe anachemka saana.

In short napenda mwanaume ambae anashikilia maadili hasa katika mavazi kiasi kwama Mazingira yoyote he is home. Napenda tukienda kijijini a losen up kidogo sio avunje saana kabati. Napenda kama ni an international gathering hasa za kuonesha utaifa anaweza kua comfy kuvaa shati la kitenge. Wanaume mashoro baro si mbaya saaana tatizo hua most ni washamba! anadhani kua usharobaro upo kila mahala... ndio maana it is better kuwaachia vijana wauza sura.

Kwa mtindo huo ni kwamba napenda mwanaume wangu avae Kila ambacho umeorodhesha hapo kutegemea na mazingira. Naomba tu asitoke na mshipi kwenda nao mahali....
 
Mimi napenda mwanaume anaeweza vaa vyovyote vile... for ni gurantee kua anaweza mazingira yoote na anaishi according to circumstances... nataka ikiwa weekend tumeenda for a stroll avae casual, napenda kama anaenda ofisini na ni ofice work avae formal, napenda kama ni field work avae ki-field work (ambayo mara nyingi ni casual OR Formal casual napendaga kuita) napena kama tutaongozana tunaenda kwenye sherehe kama ni cock tail basi atoke na suit ya Cock tail, napenda kama siku hio twaenda kuangalia shamba letu avae casual na ikiwezekana atupie hata shamba boots, napend kama kashinda siku hio nyumbani awe free na awe him self, kama atavaa kaptula/pensi, kama atavaa mshipi then well and good. Na of coz sitapenda avae chochote kama ni usiku (I kid). Enways mwanaume wa kung'ang'ania vazi la aina moja tu kila mahala... It tells a lot na pia inafanya kua awe anachemka saana.
jibu swali sis
Nauliza wadada hivi ni swaga zipi kwenye First date utazifagilia? (Assume ni weekend )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom