Je kuna ukweli katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna ukweli katika hili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tutor B, Jan 24, 2012.

 1. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Je kuna ukweli katika hili?
  Nilikuwa na mahusiano na mwanamke; akawa amepata ujauzito lakini motto akampeleka kwa Mwanaume mwingine ambaye mi nilikuwa simfahamu.
  Baada ya mwaka mmoja wa motto kuzaliwa, motto akawa na tatizo la kulia usiku. Amepelekwa hospital na kupata majibu kuwa motto ana tatizo lolote. Ameamua kwenda kwa mama yake (bibi wa mtoto) kuulizia kama anaweza kupatiwa suluhisho la tatizo la mtoto. Huko kashauliwa ampeleke mtoto kwa Kalimanzila – majibu ya Kalimanzila ni kwamba mtoto kapewa jina na mtu ambaye si baba yake. Eti baba yake ni mtu kutoka sehemu fulani (anataja sifa ambazo ni za kwangu)
  Mwanamke huyo ameanza kunisumbua kwa simu eti aniletee mtoto …. Kuna ukweli katika hili? Na je nifanyeje?
   
 2. triza

  triza Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nendeni mkapime DNA ukweli utajulikana mtoto ni wa nani.
   
 3. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi wangu ni kwa nini amtembeze mtoto kama njugu! Na nikiingia kwenye mchakato wa kuambatana na huyo mama eti tunafuatilia mambo ya DNA nahisi ataanza kunitega nirudie mchezo wetu wa zamani.
   
 4. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,
  Haya ni mambo ya imani zaidi kuliko ukweli wenyewe, hata kwetu baadhi ya watu wanaamini hivyo. Cha msingi hapa mdadisi kwa undani zaidi ili akwambie ukweli, mfano;
  1) Kwanini hakukwambia kwamba ana mimba aliyobebeshwa wewe
  2)Kwanini alipojifungua mtoto alimpekeka kwa mwanamme mwingine?
  3) n.k

  Majibu yake yatakuonyesha kwa kiasi gani ni mkweli au mwongo, alafu kama kuna uwezeano kapime DNA ili nawe usije ukalea mwana si wako.
   
 5. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..............kama anadai mwana ni wako nenda ukafanye DNA checkup......,kalimanzila ndo nani bwana,waongo hao
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmmmh!....mimi si_comment kitu kwa jinsi nilivyo na uchungu na hasira juu ya mwanamke huyu.
   
 7. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jitahidi uonane / umuone huyo mtoto naamini kimtazamo unaweza kuelewa ni haki yako au si yako ila kutana na mtoto na mamae
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Ndg. hayo ulowekewa rangi ndo yananifanya nisijenge mazingira ya kufanya mjadala na huyo mwanamke.
   
 9. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Mwijage; nashukuru sana kwa ushauri wako!
   
Loading...