A Friend Like You(TO ALL JAMIIFORUMS MEMBERS)

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
A friend like you is like no other friend
A friend like you is a friend I'm happy to have met
A friend like you is a friend I can't scream at or fight with
A friend like you is like having no worries in my life
A friend like you is a friend that I don't want to lose
A friend like you is like being in comfort all day
A friend like you is a friend I always wanted
A friend like you is truly awesome
A friend like you is random and funny
A friend like you is a friend that I love to death and I will never let go
A friend like you is a friend I can tell all my secrets to
A friend like you is like the little brother I've always wanted
A friend like you is like the little sister I've always wanted
A friend like you is like having no dark days because you brighten them up
A friend like you is a friend that opens up my eyes and helps me avoid bad things
A friend like you is a friend who laughs at dumb things I say or do
A friend like you is a friend I am proud to call my best friend.
 
More than kusadikika
Marafiki wa aina hiyo hawapo siku hizi
Hata hivyo asante sana kwa kutukumbusha juu ya marafiki
 
More than kusadikika
Marafiki wa aina hiyo hawapo siku hizi
Hata hivyo asante sana kwa kutukumbusha juu ya marafiki

I have two or three friends who are like that. . .
Ila wengi ni wasanii tu, watu wakupiga nao story basi.
 
I have two or three friends who are like that. . .
Ila wengi ni wasanii tu, watu wakupiga nao story basi.

Lizzy i have only one naweza kusema anatimiza vigezo vya kuwa friend
hao wengine ni wa kupiga nao story mnakutana viwanja mnapata kinywaji na kila mtu anashika hamsini zake
 
unafki, una run TZ.
Wakati wa matatizo ndo unawajua, nina uzoefu katika hilo.

Mkuu tunaongea from experience
kuna watu ambao wanakuwa marafiki zako unawasaidia sana na unawanyanyua sana ila at the end wanakuona kama takataka
Ukipata jambo lolote hawako na wewe na wala hawako tayari kuwa na wewe
Wanafiki wasiopenda uwe na maendeleo wala kufanikiwa
Wakiona umepiga hatua ya maendeleo ni kero kwao
 
Lizzy i have only one naweza kusema anatimiza vigezo vya kuwa friend
hao wengine ni wa kupiga nao story mnakutana viwanja mnapata kinywaji na kila mtu anashika hamsini zake
Sasa kumbe na wewe unae mmoja alafu unasema hawapo?

Watu wazuri bado wapo bana. . . sema kuwapata na kuwatambua ndio kazi.
 
Sasa kumbe na wewe unae mmoja alafu unasema hawapo?

Watu wazuri bado wapo bana. . . sema kuwapata na kuwatambua ndio kazi.

Lizzy ni ngumu sana kuappreciate hata huyo mmoja mpaka uone kabisa kuwa kweli anastahili
Jua kwamba unawez ahata kukaa miaka kumi na mtu still bado akawa hajaaminika kihivyo na kufikia vigezo vyako
Ndo maana nasema yahitaji muda kukubali kuwa huyu ndie
 
Hahahaha. . miaka 10? Aisee. . .

Binafsi sidhani kama kuna mtu anaweza akamaliza miaka kumi bila kuhitaji support ya rafiki yake. Na ukihitaji , ukapata basi unajua rafiki unae. Ukikosa basi unmwongeza kwenye list ya washkaji wa kulewa/piga nao soga.
 
bora wewe unae japo mmoja.

Kweli ninaye na naweza kusema tumekua wote na hadi leo ni rafiki na kwangu ni zaidi ya rafiki ni ndugu yangu kabisa

Hahahaha. . miaka 10? Aisee. . .

Binafsi sidhani kama kuna mtu anaweza akamaliza miaka kumi bila kuhitaji support ya rafiki yake. Na ukihitaji , ukapata basi unajua rafiki unae. Ukikosa basi unmwongeza kwenye list ya washkaji wa kulewa/piga nao soga.

Lizzy usishangae
Kuna mambo aise unatamani umwambie rafiki yako ila unaona hapana bado hajafikia
Yaani mambo yako ya ndani kabisa unaogopa kumwambia kwa maana bado hajafikia vigezo
 
Kweli ninaye na naweza kusema tumekua wote na hadi leo ni rafiki na kwangu ni zaidi ya rafiki ni ndugu yangu kabisa

Lizzy usishangae
Kuna mambo aise unatamani umwambie rafiki yako ila unaona hapana bado hajafikia
Yaani mambo yako ya ndani kabisa unaogopa kumwambia kwa maana bado hajafikia vigezo
Kama mambo gani kwa mfano Mr R?
 
Kama mambo gani kwa mfano Mr R?

Kwa mfano issue za ndoa na migogoro ya wanandoa
Unajua huwezi tuu kama umegombana na mwenzi wako ndani ya nyumba ukakimbilia kumwambia kila mtu
Sometime unahitaji mtu kweli unayemwamini kumweleza akupe ushauri
 
Ohhh kama ni hayo hata sishauri sana. . .
Mtu unaweza ukakuta unajichoresha tu kila siku.
 
There is only one true friend, unataka nikuambie ni nani, tega sikio lako kwa makini. Rafiki wa kweli ni YESU(Yehova Sure) Kristo aliyekubali kumwaga damu yake ili tusamehewe dhambi zetu. Roman 5:8 "God demonstrates his love in that, while we were still sinners CHRIST died for us".
 
In jamii forums sina rafiki aliyefikia hizo qualities...but in the life out of JF am proud to say i have one true friend that i can count on for all that....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom