Natafuta mchumba (mke). | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba (mke).

Discussion in 'Love Connect' started by Mmasihiya, Jan 25, 2012.

 1. Mmasihiya

  Mmasihiya JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Natafuta mchumba msichana awe na umri usiozidi miaka 26, elimu yoyote ila asiwe na zaidi ya masters, rangi yoyote, dini yoyote, umbile urefu asizidi ft 5,4", asiwe mnene au mnene aliye tayari kufanya mazoezi.. Mimi ni mtanzania, mweupe, elimu shahada 1, umbile mnene kiasi, dini mkristu, urefu ft 5,4",....mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 'pm' na wale mnaoingia jf kama wageni itabidi mjisajili tuwasiliane kwa PM.. Mungu nibariki'
   
Loading...