President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Hunter, Jan 26, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa Wabeba na Wakimbiza Box, leo ningependa Uutaarifu umma wa wabeba Box sheria na procidure za kudili na mademu wa Kinugu,kwa upande wa wanaume wabeba box, na ma men wa kinugu kwa upande wa mademu wabeba box
  Hii ni kutokana na visa tofauti tofauti wanavyokutana navyo wakimbiza box hasa wanapokuwa wanafanya nao dili za karatasi.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kuwa raisi na utaalam wa kudili na mademu sioni kama vinaendana.

  Anyway, NN tupe wosia wako.
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndoa za makaratasi ngumu sana aisee...
   
 4. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Unapokuwa raisi means unakuwa na ufahamu mkubwa katika mambo yanayotokea yaliyotokea na labda yatakayotokea, pia unafahamu kiini cha challenges nyingi zinazowakumba watu wako, unaweza usiwe na majibu ya moja kwa moja bt ukawa na shahidi ama marejeo ambayo yanaweza kutoa majibu.

  Masela kibao wamelizwa ama wanalizwa kila kukicha so hili ni tatizo so ndugu zetu hawa lazima waelimishwe na wafahamu tabia za jumla za wanugu na nini cha kufanya inapotokea mbeba box kalizwa ama anazinguliwa
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe na watu wa kabila lako (tu) mna tabia za jumla?
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndio "tabia ya jumla" ????!
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Pia ule udhahifu wa kiafrika kujifanya uko humble inabidi uupotezee kwani hawa watu hawana utamaduni so usijefikiri watakuonea huruma
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani nyie mnaenda ulaya kuonewa huruma?
  Uanaume wenu mnaachaga Afrika ehhh,
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwani we unadefine vipi tabia?
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tofauti sana na unavyodefine wewe.
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tabia za jumla ni zile ambazo watu wengi katika jamii husika huwa nazo. Hatusemi kuwa wote wana tabia hizo, ila wengi huwa nazo kutoka na background zao za kimalezi n.k

  Tukisema Wasukuma wanapenda ugali kikawaida, hatutakuwa mbali na ukweli licha ya kuwa sio wote wanaopenda ugali


  Mkuu Ngabu aje atoe mafunzo na wale wasiokuwa na Wanugu wao, awatafutie :lol:
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi sishauri mbeba mabox yeyote yule ajihusishe na wanugu katika kusaka makaratasi.

  Wanugu siyo reliable kabisa. Kuna wabeba maboksi kibao wameachwa njiani kabla hata ishu zao hazijaeleweka. Wanugu wakishajua wewe shida yako makaratasi watakutesa sana aisee. Utajuta kuzaliwa.

  Nina mshikaji alikuwa anateswa sana na mchuchu wake wa kinugu. Mara afungiwe nje wakati wa winter. Mara aitiwe polisi kisa wamedundana. Weekends mchuchu anatoka na wanugu wenzake wanaenda club.

  Mijamaa inakuja kumchukua demu na mi Cadillac Escalades yenye 24 inch spinners jamaa anabaki nyumbani tu anaugulia maumivu. Yaani full drama kwa kwenda mbele.

  Mpaka leo hii mshikaji hajapata makaratasi na bongo kurudi hawezi na unyamwezini ana miaka 12 sasa. Yaliyobaki ni majuto tu.

  Makaratasi ya uhakika na yasiyo na drama yanapatikana kupitia kwa wachuchu wa kizungu hususan wale vibonge. Yaani kwa mfano ukilipata tunye tunye lenye kilo kama 300 hivi hapo lazima uirambe kijani yako kiulaini sana.

  Haya ma XXXL huwaga hayako demanding kama jinsi vi beauty queens vilivyo. Hayajali kama wewe una hela au huna. Unachotakiwa kufanya ni kuyapa dozi ya uhakika walau mara mbili kwa wiki hivi. Si unajua tena haya huwaga hayana soko kihivyo...sasa yakimpata mtu anayegawa dozi ya ukweli....utakuwa umemaliza kila kitu.

  Ukiliridhisha utatendewa kama mwana mfalme. Utapikiwa, ukirudi toka kwenye boksi unakuta msosi mezani. Halafu uzuri wake haya huwa yako tayari hata kujifunza jinsi ya kupika wali nyama. Yaani utatunzwa kuliko hata wazazi wako walivyokutunza.

  Sasa haya ma XXXL yanapatikana maeneo ya Midwest na kule Pacific Northwest. Pande za East Coast na Deep South hayapatikani kiurahisi. Kwa hiyo mtu kama haupo maeneo hayo na una mahesabu ya kujikamatia kijani yako mimi nashauri ufunge virago uhamie pande za Minesotta, North na South Dakota, Illinois, Wisconsin, Iowa, au hata Michigan na Indiana.

  Halafu epuka miji mikubwa mikubwa kama Chicago na Minneapolis-St.Paul. Tafuta miji midogo midogo kama Winona, Schaumburg, Dubuque, Forest City, n.k.

  Huko kwenye hivyo vi miji vidogo mtu mweusi yeyote wenzio wanakuona kama P Diddy. Na mkiwa wachache basi mtaila sana hiyo mi XXXL.

  Na hata ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kwamba wabeba mabox wengi walioko pande za huko Midwest makaratasi wanayo. Na ukiangalia wabeba maboksi walio kwa mfano huko Texas, ni wachache sana wenye kijani na ndo maana wanaishia kuwa wazungu wa chip.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Uraisi zigo la misumari!!!
  Na nimeamini ukiwa raisi jiandae kutoa lekcha hata ya kupika bajia na uwe unajua.
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hahaha Ngabu bwana!

  Tatizo umekuwa political in correct kwa kuwaita hao wanawake wanene 'haya', 'li', ....

  Lakini ujumbe kutoka kwa rais umefika :lol:
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheee....wanugu hawaaminiki. Hata mi XXXL ya kinugu nayo imedata! Haifai kabisa.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mh. Rais na wananchi wako wa kike vipi?
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0

  Sasa mbona umetoa sifa za wanawake tu, wanaume wa kinugu jee?

  Au unatubania sisters tusipate makaratasi?
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe si hukubaliani na sifa za jumla au?
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  prezaida utafiti wangu unaonesha wabeba maboksi kibao tumepata marakatasi kati ya 2007-2011 na hivyo tumeweza walau hata kurudi nyumbani baada ya miaka mingi ya kuishi ukimbizini; lazima kuna kitu kimetokea hii miaka mitatu kilichofanya wanugu walainike.
   
Loading...