Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 462
- 304
Habari zenu wana MMU!
Kuna binti rafiki yangu nimeonana nae jana anasema ana mimba ya miezi mitatu na jamaa yake hana mpango nae na kashakimbia bongo hii. Yeye anasema hawezi kurudia makosa aliyowahi yafanya mama yake miaka hiyo alipomzaa yeye hivyo hiyo mimba lazima itoke.
Pia anasema huyo mtoto hawezi kumpenda na mama yake hana kipato cha uhakika kwa sasa. Mama yake pia ni mkali sana atamfukuza nyumbani akijua na yeye hana pa kwenda.
Ndugu zangu wapenda maisha tunaweza kuzuia hii mimba ambayo imepangwa KUTOLEWA IFIKAPO JUMATATU? Doctor ameshapatikana na kapewa advance ya kutosha. Wale wote ma pro-life tusaidiane ktk hili. Mi binafsi naumia sana kwa mauaji haya yanayoenda kutokea.
Hints:
1. Ashawahi taka kunywa sumu akaghairi
2. Doctor aliyekubali ni wa ile ile hospitali maarufu kwa abortion bongo - Mwananyamala.
3. Kama umeguswa, nini kifanyike?