Kina dada mnaoishi kama mke na mme (wanandoa), jamani hebu tujuze kwa uzoefu ili kuponya ndoa

Ishaka

Member
Nov 1, 2011
74
12
Hii nikwa habari ya mechi ya chumbani. lazima tukubaliane kwamba tendo hili ndio muhimili muhimu wa ndoa, hivyo kwamba kama kuna mushkeli katika hilo basi hata mawasiliano ndani ya nyumba hudorora. Lakini tofauti na mechi za mipira nje uwanjani ambapo matokeo mazuri ni pale mbabe mmoja anapomshinda mwenzie, mechi ya ndoa inafana tu pale ambapo mke na mme wanapomaliza kwa ushindi wa sale ya kufungana mabao mengi! yaani kila mmoja kufikia kilele cha mlima wa mechi hiyo pasipo kumuacha mwenzi na maumivu au hamu ya kuendelea zaidi sababu ya msisimko wa mwili. Na jambo hili kusema kweli limeacha ndoa nyingi mguu pande kama sio solemba. Naamini, ili mechi ipate kuwa huru na haki yenye ufanisi kwa wote wawili na hatimaye mwisho muweze kupogezana au kupeana pole kwa shughuli pevu, kuna vitu muhimu (maandalizi) yanatakiwa. Aidha, mwanzishaji wa mechi muda huo ndiye anaweza kusababisha aina ya matokeo yatakayopatikana mwisho wa mechi. Sasa kina dada mliokwishayavulia maji nguo (ndoa) tuelezeni wanajamii na hasa wale mfumo dume hata katika tendo takatifu la ndoa, ni vipi ungependa kushauri nani amuanze mwenzie, na maandalizi kwa ujumla yahusishe kipi na kipi ambacho pengine ni nadra sana katika mechi za ndoa zingine. Asante karibu kuchangia.
 
Aisee, unataka bubadilisha mfumo, maji yatoke baharini yaende mtoni, na pia mito ipande milima sio?
 
Hakuna fomula.
Sijawahi ona maeking scheme ya tendo hilo wala ya ndoa.

Siri ya maisha ni kuwa kama kocha wa mpira, tena Sir Alex Ferguson.
Unapanga unachotaka, kwa matokeo unayoyataka, kwa wakati huo, haya mengine wizi mtupu.
 
hii tabia ya kuifanya mechi iwe formal kama interview ndo inaleta matatizo.watu wengi wanapenda wacheze uwanjani tu na kumbe mechi hizi zinachezwa popote ili mradi faragha ipo. ata kama mama alikuwa anaosha vyombo baba akapita kamshika pabaya ruksa waongozane.........................
 
tendo la ndoa halina formula

yoyote atakayekua na mzuka ndo atakayemwanza mwenzie

kikubwa ni wanandoa wote kuwa wabunifu, kujaribu mitindo mipya kukichwa, utundu muhimu

lakini tendo la ndoa ili linoge lazima kuwe na amani, furaha, mapenzi, kuheshimiana, kuthaminiana, kucare, kusikilizana nk hapo thamani ya tendo hilo hupatikana na kila mmoja hulifanya kwa mahaba na kuridhika
 
no formula hata mkianza na kupigana mateke,magumi halafu mmalize na game yote sawa ili mradi mkubaliane..........
 
Poa wapendwa wanajamii, i real appreciate your contributions, ila jamani wengine mmenivunja mbavu. Kwa maoni ya wachangiaji wengi, tendo la ndoa halina formula ok? je katika huo ubunifu, kwanini mwenza asimtamkie mwenzie jinsi roho yake inapenda afanyiwe kuliko uanze kubuni kitu ambacho pengine mwenzio hatakipenda au kikawa kilekile anachokipenda. hii aibu au kigugumizi kinaweza kuwa kinatokana na nini wakati nyie ni wanandoa - mwili mmoja.
 
yani mawasiliano ni muhimu kwani hata hilo tendo la ndoa lazima hata psychologically mtu awe fit kuna vitu ambavyo mtu anatakiwa afanyiwe na vingine hapendi bila kuwa wazi hilo tendo sidhani kama litakuwa la furaha watu huanza kwa kusamehana kwanza kwa kufanya mapenzi kunaendana na hisia usitegemee umemkera mtu kuanzia asubuhi halafu jioni ukamrukia tu bila kuomba msamaha. pili kuwa msafi na mwenye kuvutia ili kumuonesha mwenza kuwa wewe ni muhimu kwangu hii humfanya mtu kufurahia tendo la ndoa. tatu,kuwa wazi kumuonesha mwenzio sehemu zenye msisimko, watu hawalingani kila mtu anasehemu ambayo husisimka zaidi hashikwapo.kuongea wakati wa tendo la ndoa humfanya mwenza kuwa huru zaidi na kueleza hisia zake.kutuliza mawazo na kuvuta hisia zote katika tendo hilo.baada ya tendo hilo ni vizuri kupumzika kwa pamoja kwa kukumbatiana na kumwambia mwenza jinsi gani unavyompenda na kumthamini hakika kila mtu atakuwa akifurahia tendo hili.
 
baada ya tendo hilo ni vizuri kupumzika kwa pamoja kwa kukumbatiana na kumwambia mwenza jinsi gani unavyompenda na kumthamini

aah, wengine wakishashusha mzigo sokoni tu wanageuka upande wa pili na kukoroma kama nguruwe pori...
 
Kuna siku tukiwa tumelala km saa kumi hivi wife kumbe mzuks ulimpanda, kwa kawaida mie simu yangu huwa inakuwa on masaa 24 usiku sizimi, wife yeye mara chache simu yake anaiacha on. siku hiyo alikuwa kaiacha on, kwenye sa kumi usiku akashtuka akaniona nimelala alichofanya hakunishtua akaamua kunitumia sms kwenye simu yangu kwamba naomba uni duu nna n.y.e.g.e. Mlio wa sms ukanishtua nikaifungua kwanza nikashangaa kanitumia sms! kusoma naona invitation ya kumega khaaaa mzee kuvuta shuka kumgusa yani yupo km alivyozaliwa duh! mpaka masikio yalipata moto kwa mshawasha, usingizi ulikata ghafla, nguvu zikanijia za ajabu dah nilifaudu mnoooooo! so wadau no formula taksi yasimama popote atii
 
mmh, talk of spontaneity plus creativity..!
 
huwa hakuna fomula ila kikubwa tu ni kuhakikisha kila mtu yuko happy yaani hakuna mikwaruzano ili game iwe tamu,pia nitamu zaidi baada ya kushusha mzigo mpongezane kwa kazi na kama kuna mapungufu mwambiane ili kuboresha ndoa yenu.
 
Back
Top Bottom