Msaada hapa

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Kuna jamaa yangu alikua na girlfriend wake kipindi 2nasoma alimpenda sana lakin yule dada hakuwa mwaminifu akawa anatoka na jamaa mwingine mi nakajua ikabidi nimpe habari jamaa yangu baada ya kumpa habari hiyo wakaenda wakazungumza mambo yao baadae ikaonekana mi ndo mbaya kama nataka kuwagombanisha wakaja wakanitukana sana (especially yule dada) kweli niliumia sana kumsaidia mtu halafu nikatukwana.Baada ya miaka 5 ambayo ndiyo sasa jamaa ameoa mwanamke mwingine mbaya zaidi huyu mdada cyo mwaminifu kwa jamaa yangu coz namuona anatoka na watu mbalimbali bila mumewe kujua.
So tatizo lililonifanya niombe ushauri ni kwamba nilisha apa sitakuja kumwambia lolote kuhusu mambo yake ya mapenz je nishikirie msimamo huu au nifanyeje?
Msaada jamani
 
ulishamweleza akakuona mbaya asijekuona unataka kuvuruga ndoa yake mwache ipo siku atayaona mwenyewe...bora lawama kuliko fedheha
 
ulishamweleza akakuona mbaya asijekuona unataka kuvuruga ndoa yake mwache ipo siku atayaona mwenyewe...bora lawama kuliko fedheha

asante kwa ushauri ingawa naamini mara ya kwanza yule msichana ndo alimcomvic anione mbaya
 
asante kwa ushauri ingawa naamini mara ya kwanza yule msichana ndo alimcomvic anione mbaya

ulijuaje ni msichana na sio huyo rafiki yako......hebu jiulize huyo rafiki yako atakuelewa vipi kwamba wewe ndio unajua tabia za GF/mke wake na sio rafiki zake wengine au kwamba unampenda sana mpaka unakuwa mpeleleze kutambua mambo za mke wake!! ulishajaribu mwanzo ukaambulia matusi na kejeli basi jiweke pembeni atakuja kupata ukweli kupitia wengine usije kuwa adui
 
kama unaelewa maeneo au sehemu anazoingia huyo mwanamke na hao jamaa zake wa nje mchukue jamaa bila kumwambia then ashuhudie basi kazi yako itaisha maana yawezekana hawezi kuelewa kwa kuelezwa je hata picha napo asielewe???
 
Kama jamaa yako ni Bushoke mpotezee utafanya nini. Kama una real care then mpe hints, let him find out mwenyewe. Halafu, start to mind your business.
 
ulijuaje ni msichana na sio huyo rafiki yako......hebu jiulize huyo rafiki yako atakuelewa vipi kwamba wewe ndio unajua tabia za GF/mke wake na sio rafiki zake wengine au kwamba unampenda sana mpaka unakuwa mpeleleze kutambua mambo za mke wake!! ulishajaribu mwanzo ukaambulia matusi na kejeli basi jiweke pembeni atakuja kupata ukweli kupitia wengine usije kuwa adui

asante nimekuelewa kwa undani sana ndugu yangu
 
Back
Top Bottom