Wanawake mtaacha lini ukatili huu mbona umezidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake mtaacha lini ukatili huu mbona umezidi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nitonye, Jan 26, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hii tabia sijui itaachwa lini maana ni ukatili wa hali ya juu. Leo niko zangu ndani ya daladala mara akapanda mwanamke mwenye mtoto mdogo kwa sababu seat zilikuwa zimejaa akamwomba mwanamke mwenzake ampakatie mtoto. Maskini mama wa watu alikubali ghafla yule mama mwenye mtoto akapotea katika mazingira ya ajabu hatukujua ameshukaje kamuacha mtoto mikononi mwa mtu mwingine. Na hii tabia imekuwa ikiendelea siku hadi siku.
   
 2. k

  kaishozi Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaume tuache kuwapa mimba na kuwakimbia
   
 3. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Bora huyo kuliko wale wanaowaweka kwenye malboro kisha wanawatupa mitaroni..
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  jibu zuri sana
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwani zinaingia kwa upepo au?
   
 6. h

  hayaka JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii tabia itaacha siku wanaume wote watakapojua matumizi ya condom
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Lakini si kuna condom za kike hata nyie mnaweza kutumia?
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ah wanawake wengine sijui wana roho katili kiasi gani, unamuacheje mwanao ulombeba tumboni miezi 9 kwa mtu kisa ugumu wa maisha,mungu asinijaalie fikra mbaya Kama hizo,mie mwanangu ntakufaanae shida raha ntakuanae.
   
 9. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,464
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hapo kweli akili zake zinakuwa hazijatulia
   
 10. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Na nyie muwe mnahakikisha nanihii zinazoingia kwenye nanihii zenu ziwe zimevalishwa condom sio mnajitegesha tu kila kinachoingia kwenye nanihii zenu halali yenu
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  zinaingizwa na mwanaume
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Basi mnauwezo wa kumwambia atumie zana ila tatizo mkisha lala kwenye 6/6 mnakuwa kama mmelogwa mnaishiwa nguvu hata kukataa hamuwezi
   
 13. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,452
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  Wanawake na sisi tuache kugawa uroda kwa kila mtu, tuwachunguze kwanza
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hapo umenena maana siku hizi mwanamke bila kugawa uroda sijui anajionaje
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Na wao waache ngono zembe!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Angalau wewe umenena!
   
 17. e

  ejogo JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenye maamuzi ya kupata au kutopata mimba ni mwanamke kwani yeye ndiye mwenye kujua siku zake za mimba. Kwanini mnaipeleka wakati mnajua mpo kwenye siku za uchavushaji!!!
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  no woman no cry- bob marley!
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  naona kila mtu anafanya cross examination kwa mwenzie
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this
   
Loading...